ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 43,661
- 90,132
Hii aione mkuu Mshana Jr. Imekuwa hulka yetu kuwatupia lawama watu weupe kila tunapokosea. Well narrated kiongozi.Miafrika utaijua tu mawazo yao. Yenyewe huwa ikikosea inamtafuta wa kumsukumia makosa. Kiafrika imekaa kimajungu majungu tu. Sijui ikoje. Vita mnagombana wenyewe kwa kutoheshimu demokrasia au mawazo ya watu mnakuja kusingizia wazungu.huu ni maximum upumbavu. Vikitokea vita zanzibar mtasema wazungu, au uganda kwa uhuni wa museven au burund.huko mtasema ni wazungu. Hivi si tukoje? Unagombana na mkeo na familia yako unasema majirani wanawagombanisha nyie mnaakili timamu kweli?Ni kulia lia kila siku utadhan mitoto iliyodaa akili au ilizaliwa kabla ya wakati.