Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 4,730
- 11,082
Bodaboda wamekuwa ni kero. wanajifanya wamekata tamaa ya kuishi wanajifanya ni machizi fresh, wavuta bangi mbichi.
Ni wao tu ndio wanaopitia maisha magumu Sana hapa nchini Hawataki kabisa kufuata sheria za usalama barabarani ni Juzi tu nusura bodaboda anigonge na pikipiki nilipokuwa nikimvusha mwanafunzi kwenye mataa ya kiruvya kwa komba Kibaha, na bila aibu aliondoka huku akinionyesha kidole cha katikati sijui alimaanisha nini.
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani kitengo cha Usalama Barabarani, tunaomba sana zitungwe sheria kali za usalama barabarani ili kuwabana hawa watu, wamekuwa ni kero Sana wanasababisha ajali na kukimbia.