Wamarekani wanataka nini Wizara ya mambo ya Ndani?

Wamarekani wanataka nini Wizara ya mambo ya Ndani?

Marekani watakua na maslahi gani kwa nchi maskini kama Tanzania? Hatuna nguvu yotote kiuchumi wala kisiasa. Hao wazungu wakija Africa ni kutoa misaada au kutatuwa migogoro yetu ya kijinga. Hamna kingine zaidi ya hapo.
 
inawezeka hata huko mnakohisi marekani kuingilia kuna mambo ya kizanzibar zanzibar au ya kiumeya meya wa daressalaam, kama ndo hivyo bas wamarekani ni watu wema sana kwa walimwengu, hata pale zenjibar wakiingilia na kung'oa king'ang'anizi na kumuweka mshindi watakuwa wametusaidia sana
 
Mimi najua Tabia za Marekani, hawa watu wanamasilahi yao kila nchi kila mkoa na wilaya. Mimi nadhani utumbuaji huu wa Majipu umewagusa Pakubwa sana.

Natamani kujua mipango yao kwa sasa!
Juzi kati walileta Mbwa zikae kuchunguza Bandarini na Airport sasa sijui watakata kupitisha nini!

Huyu balozi anahangaika kweli na Wizara ya Mambo ya Ndani sijui anatakia nini sisi na Rais Wetu!!

Hawa watu hawawapendi kabisa Magufuri na Mugabe type people!

Mimi sidhani kama tunahitaji msaada sana wa kiulinzi Nchi yetu ipo vizuri! Juzi kati Majambazi walizengua wamekiona cha moto.

Kitu kinachonifanya niwawazie vibaya kwanza ni majigambo yao pili ni maugomvia yao kila sihemu walipotia mguu ni kunashida kweli kweli hapatulii tena.

Nimefuatilia sana Ugomvi kati ya Urusi na Marekani
Ushirika kati ya Turkey na Marekani na Turkey na ISIS katika biashara ya Mafuta ya magendo.
Ugomvi kati Iran na Korea kaskazini na Iraq na Libya.

Hebu watuache tupumzike.

Ni hayo tu.[/QUOTE


It is good that you raised this question and it worth our attention, but you need to back your claims with reliable text, research studies from schools of international relations and foreign policies. I can see some compelling elements -- in post Second World War U.S. policy was dictated by Cold War Doctrine. As the results consequence, the newly independent African states like Democratic Republic of Congo suffered great draw backs when CIA joined venture with Belgium to eliminate Patrice Lumumba and installed Mr. Bling AKA all time dictator -- Mobutu Seseseko who ruled the country for 31 years. This is just one example of East and Central Africa. During the same timeframe the Cold War Doctrine was extended to political strives in other parts of the region including Angola, Sierra Leone and later interventions in Somalia.

In 1970 South American countries suffered great deal of political intervention. I would recommend some people who just dismissed your question without doing any further research to read about Nicaragua Contra war -- learn about Sandinistas. Also, Post Cold War has had so much unnecessary wars -- Iraq, Afghanistan, and many more in recent years. In all this conflicts the Subject country has been implicated to have so much influence.

Now the tide is shifting towards Africa as its bound to grow economically for next ten years. I believe every economic power from China, EU, U.S. are up to strengthening their influence and secure their interests. However, some economic power have nasty foreign policies of zero some game. For them its either their economic interests are fully insured or ....! I dont think if they don't like leaders with authoritarian elements but I am sure that they hate leaders who they cannot influence or control remotely.

I know Mugabe has not been a good leader and he has failed to some extent. You cannot be 92 years old still in power without grooming young blood to take over the country and lead it to prosperity. But its not only him, what about our Ugandan Neighbor, Yoweri Museveni? No body is talking about him because he knows how to leak a&&&s of powers. He offer sacrifices of hundreds of troops whenever they are being asked to send to Somalia. Yoweri know how to capture Kony but he is not gonna do. He want to have someone who detract attention from him. Neither U.S. nor E.U. complain about his barbarism.

Sorry for going off topic but I just wanted to demonstrate how big powers behave. If Magufuli threatens their interest they wont care. They will act. Its too early now to tell -- Magufuli hasn't had a year yet.

Please if you get time read a book from Derek Reveron -- Exporting Security.
 
naskia wairan wametia timu bandarini Na manowari zao nahisi wanataka kucheza jecha style
 
Hii ni myth mi siamini kama kila tukio bovu basi chief architect ni US. mfano issue ya Libya unaachaje kuwalaumu walibya wenyewe unalaumu Marekani. We should stop this kind of thinking kwamba kila kitu Marekani anaamua.
Labda kama huzijui sera za nje za Marekani na mbinu anazotumia. Marekeani sio 'Architect' bali pia ni injinia anayehakikisha alichokibuni kinafanikiwa hata kama ni miongo kadhaa kupita ili mradi malengo yake yatimie. Libya ni mhanga wa mkakati huo tangu miaka ya sabini (Wakati wa vita baridi na Mrusi) Gaddafi amekuwa akipambana nao hadi kuwekewa vikwazo vya kiuchumi baada ya 'Rockerbie Scandle' 1988 ambavyo havikuletea madhara pamoja na kutenga bajeti kila mwaka kufanikisha mkakati wa kumong'oa madarakani.

Wakaja na mbinu ambayo ilimlainisha Gaddafi ya 'kubali kuwa rafiki na adui' akanasa, hao unaowaita wananchi ni wanaharakati waliopewa fulsa kuingia, kusomeshwa Marekani na kisha kurudi kwao kwa kisingizio cha kwenda kudai demokrasia. Kumbuka msimamo wa Gaddafi kwa wa Marekani juu ya mafuta ni sawa na msimamo wa Mugabe kwa Waingereza juu ya ardhi.
 
so baada ya hayo tunachukuwa hatua gani sisi kama watanzania?
 
mi naona waafrika tuna ukosefu wa fikra kwa kiasi kikubwa sana. KAMA MAREKANI ANAWAINGILIA KILA SEHEMU BASI MJUE NINYI NDO MNATATIZO. so ni ujinga kulalamika kuwa ni wamarekani kwenye kila jambo. wewe unaishi na mkeo na watoto wako. unagombana kila siku na mkeo na watoto wako unasema jirani ndo anawachonganisha. kwa nini usikae wewe na familia yako mkaamua kuwa hakuna kuchonganishwa?
kama mnachonganishwa au mkeo anatumika huko nje jiulize na wewe tatizo ni nini katika uhusiano wako au familia yako. siyo MWANAUME MZIMA UNAPITA UNALALAMIKA NA KULIALIA TU KUHUSU MAREKANI. WAO SI NI BINADAMU KAMA WEWE? KUBALI WAMEKUZIDI AKILI BASI LAKINI ONDOA UJINGA kila kitu kusema marekani. KAMA WALIBYA WANGEKATAA KUPIGANA MAREKANI INGEWALAZIMISHA VIPI? WALIBYA wanapigana wenyewe kwa wenyewe kwa mambo yao. kuna waarabu wanapigana kwa sababu ya imani/madhehebu yao na huko MNASEMA WAMAREKANI. nenda IRAQ nenda SYRIA. nk. habari za kukaa vijiweni eti marekani ilikuwa na LIST YA NCHI ZA KUZIVAMIA NI habari za kwenye vijiwe vya kahawa mnapokuwa mnalishana ujinga kuhamasishana kuichukia marekani au wazungu.
ni ujinga kuwachukuia watu kwa upuuzi wako mwenyewe. CIA walihusika au hawakuhusika but wanaopingana ni akina nani? MIAFRIKA TUACHE UJINGA JAMAN,TUACHE UPUMBAVU WA KUTUMIKA VIBAYA NA KUJITUMIKISHA VIBAYA. mwanaume unaingiliwa halafu unapita kulalamika kwa watu?

Inawezekana walihusika hao CIA. CIA wapo every where ila mimi msimamo wangu ni kwamba ni walibya wenyewe ndio waliangusha nchi yao. Hao CIA wangekuwa peke yao wasingeweza kufanya chochote...
 
Ukipenda kula vyawenzio sharti uliwe

Mnaogopa non mbona amrudishi pesa za tacaids

Globalfunds mnajengea magorofa NA kwente kampen mnaogopa nn
 
We uliyeandika unajua nini? si bora na wewe ungekaa kimya. Kama unaona sijui kitu ungenionesha kwa hoja kwamba sijui na sio kuninyima uhuru wa kuandika. Unaninyima uhuru wa kutoa maoni??? Who are you brother????
leo sina mood wa kujibu. jaribu siku nyingine.
 
Hawawezi kuja kinyemela, wamekuwa wakikaribishwa, lakini inaonekana kuwa huyu anayefanya kazi pale jengo jeupe kwa sasa, hajatoa ushirikiano kwao. Anayeishi ndani ya jengo jeupe kwa sasa, anavaa beji ya ramani ya afrika kwenye suti zake, ni mzalendo asiyepapatikia umarekani au uzungu mwingine.
ni sahihi mkuu
minapenda style ya rais wetu..,...
hapapatiki na kinachoitwa kunyenyekea kwa whites......
marais waliopita wangekuwa kama huyu jamaa nahisi TZ ingekuwa kma US 2day........
 
Back
Top Bottom