Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Mimi najua Tabia za Marekani, hawa watu wanamasilahi yao kila nchi kila mkoa na wilaya. Mimi nadhani utumbuaji huu wa Majipu umewagusa Pakubwa sana.
Natamani kujua mipango yao kwa sasa!
Juzi kati walileta Mbwa zikae kuchunguza Bandarini na Airport sasa sijui watakata kupitisha nini!
Huyu balozi anahangaika kweli na Wizara ya Mambo ya Ndani sijui anatakia nini sisi na Rais Wetu!!
Hawa watu hawawapendi kabisa Magufuri na Mugabe type people!
Mimi sidhani kama tunahitaji msaada sana wa kiulinzi Nchi yetu ipo vizuri! Juzi kati Majambazi walizengua wamekiona cha moto.
Kitu kinachonifanya niwawazie vibaya kwanza ni majigambo yao pili ni maugomvia yao kila sihemu walipotia mguu ni kunashida kweli kweli hapatulii tena.
Nimefuatilia sana Ugomvi kati ya Urusi na Marekani
Ushirika kati ya Turkey na Marekani na Turkey na ISIS katika biashara ya Mafuta ya magendo.
Ugomvi kati Iran na Korea kaskazini na Iraq na Libya.
Hebu watuache tupumzike.
Ni hayo tu.