Miaka zaidi ya 50 baada ya Uhuru Afrika bado inalia lia. Bado inalaumu ukoloni kana kwamba mataifa mengine hayakuwah kutawaliwa. Bado tuna story za how europe underdeveloped africa.hii ni story ya kutupa faraja tu. Ninyi mnakuja kutawaliwa na watu 20 -3000 mpo 3,000,000 mna akili kweli? Ninyi mnawauza wenzenu kwa tende na halua au shanga ninyi mna akil kweli? Leo miaka zaidi ya 100 bado ni watumwa katika nchi zenu wenyewe. Kila tatizo mnasema wazungu wazungu. Africa wamevumbua nini? Mauaji ya albino na vikongwe. Marais kugomea madarakani na kila aina ya uovu. Wananchi wakiamua kuingia vitani mnasema wazungu. Kila taifa lipo kimaslah.binadam in nature ni greedy. Waarab hawa si ndo wanapeleka wanyama kwao? Au wao ni Watu wema?hawa nao si wanafadhiri makundi haram ya kuua?wachina so ndo wanaua wananch wetu huko maeneo ya kazi na kuwadhalilisha?si ndo hawa wanaingia nasi mikataba ya kinyonyaji?wahindi?wanani? Watanzania si ndo hawa wa epa,iptl,escrow hawa si ni watanzania? Uoga,majungu,unafiki ndo nguzo kuu za waafrika.
Lawama na uongo uongo ndo sera za waafrika. Sisi tuna matatizo si kidogo sema tumepata watu wa kuwasingizia. Mugabe aitishe uchaguz huru na wa haki aone kama ni wazungu wanaoenda kumchagua mpinzan wake au wazimbabwe wenyewe. Miafrika ni milizi na milalamishi tu.