Wamarekani hawa

Wamarekani hawa

Aache uongo lugha yenyewe kwenye koran ni utata ataipendaje au kwa kuikalia tu... pengine hajasoma yaliyoandikwa humo na kuelekeza kutenda kama yalivyoandikwa... kwanza avae baibui na afunike sura yote abakize macho tu... kuna habari za ukweli na za uongo na habari hii ni ya uongo au ya waongo...

Koran mchezo mumewe amletee wake watatu home mziki utaanza hapo hapo na akiambiwa ni koran hiyo ndio imeagiza atakuambia i was not serious kudadeki... au akiambiwa kaue watu kwa bomu utaenda peponi na kupewa mabikra 70 khah

Sio kila kitu cha kukcomment vingne viache vipite
 
Labda kwa biblia iliyochakachuliwa, lakini katika uislam nguzo mojawapo ya imani ni kuamini vitabu vyote vya mwenyezi mungu yaani torati, zaburi, injili na qur'an

Qur an umechukua vitabu vyote ndo ukaona hata uwe na bible la kale majibu yapo katika Qur an, waislamu hatumtambui jesus tu kama mtoto wa mungu.
 
Mkuu samahani naomba ufafanuzi kidogo- 1- unaposema lugha yenyewe kwenye Qur'ani ni utata unamaanisha nini
2- Hapo kwenye kuvaa baibui na kufunika sura yote unakusudia kutufikishia ujumbe gani?????
3- Hapo kwenye kuletewa wake watatu,naomba andiko na maelekezo aliyopewa huyo mwanaume wa kuoa mwanamke zaidi ya mmoja
4 - Akiambiwa akaue na nani ?????????????? kwasababu gani ?????????? aliwakosea nini ???????? na unipe andiko na ufafanuzi wa andiko hilo lilikusudia nini ( kumbuka kila andiko la qur'an lina ufafanuzi wake wa nini kilikusudiwa kutolewa kwa hilo andiko)
Naomba majibu ya hayo maswali.

Mkuu hatokuelewa huyo kashibishwa propaganda zisizo na kichwa wala miguu, isomeni qur an jamaan sio kukaa na kuamin kila kinachosemwa na vyombo vya habar vya nchi za kimagharibi
 
Lakini Fahamu Muislam si Ndugu zako Muislam atakuita kafr hadi Kiama Chake.... na ana chuki kwa wewe usiye Muislam ndivyo wanavyofundishwa... mtaelewana kama kuna maslai kwake na si vinginevyo.... hili lipo wazi...
Si kweli, nakupinga haya unayoyasema na ni kinyume na mafundisho ya Uislam.

Labda hapa JF lakini kwa maisha yetu ya Uswahilini hakuna hii michongo mnayotaka kutuletea.

Ujue kuna vitu vingi vinaendelea hapa, hasa vya kidini kwa kweli ni tofauti na maisha yetu tunayoishi kila siku Uswahilini hadi mimi huwa nashangaa kwa kweli!

Mimi hata siku moja sijawahi kufundishwa hivi vitu unavyovitamka hapa, na kwa kweli ni vitu vigeni sana kwa upande wangu.

Tatizo kuna watu wanaangalia zile kanda za midahalo matokeo yake zinawapotosha na kuuchukulia Uislam tofauti.

Na vile vile kuna watu ambao wanachanganya Siasa na Uislam na kwa lengo moja tu, la kutuharibia, kutupakazia
 
Mimi bado Allah na mungu wananichanganya ukisoma quran Kuna wakati inaonyesha ni wawili tofauti.

Kimatira ni vema sana kama utatoa maana ya mungu na allah kwa kadri ya uelewa wako,pili ungetuwekea hivyo vifungu vilivyokuchanga kutoka ndani ya Qur'an tuweze kukuelewesha.
 
Kimatira ni vema sana kama utatoa maana ya mungu na allah kwa kadri ya uelewa wako,pili ungetuwekea hivyo vifungu vilivyokuchanga kutoka ndani ya Qur'an tuweze kukuelewesha.
Kuna Mwenyezi Mngu na Mungu na Allah Ewe Muislam hebu Tatua.... hivi Vitatu
 
Sio kila kitu cha kukcomment vingne viache vipite

Wewe Unaamini huyo Dada Anapenda kweli Koran? Maana vitu Vingine vipo Wazi kabisa ni Mzugaji... siwezi acha changia sababu huu ni uzushwaji wa Uongo uliopitiliza.... Ndio aliyoyasema Nyerere ukimsikia mtu anakemea Rushwa mtizame Machoni utamjua kama kweli kadhamiria ukimuangalia tu utamjua Huyu...!
 
Si kweli, nakupinga haya unayoyasema na ni kinyume na mafundisho ya Uislam.

Labda hapa JF lakini kwa maisha yetu ya Uswahilini hakuna hii michongo mnayotaka kutuletea.

Ujue kuna vitu vingi vinaendelea hapa, hasa vya kidini kwa kweli ni tofauti na maisha yetu tunayoishi kila siku Uswahilini hadi mimi huwa nashangaa kwa kweli!

Mimi hata siku moja sijawahi kufundishwa hivi vitu unavyovitamka hapa, na kwa kweli ni vitu vigeni sana kwa upande wangu.

Tatizo kuna watu wanaangalia zile kanda za midahalo matokeo yake zinawapotosha na kuuchukulia Uislam tofauti.

Na vile vile kuna watu ambao wanachanganya Siasa na Uislam na kwa lengo moja tu, la kutuharibia, kutupakazia

Tunaishi vizuri Mitaani ila ki ukweli ndio hivyo Mioyoni Waislam hawawapendi Wakristo zaidi ya Maslai tu... Hata Mwamedi alisema Waislam washirikiane na Wasio Waislam na Mayahudi katika Biashara na kuwapa uhuru wao wa Kuabudu ila Chuki ukitaka kuziona nenda Zenji huko ndio Balaa
 
Mimi naomba niishie hapa, siku njema
 
nadhani unawajua wanaongoza kwa kutolewa majini, siwezi sema huwa wanayatolea kwenye biblia,Uwamuzi wa mtume wangu Yesu kuyapeleka yale majini kwenye kundi la nguruwe siwezi sema alikurupuka.

Jihad john sijui alisoma Quraan na kusilimu wapi?

Nakushauri soma Quraan uwe na uwelewa,kusilimu ni maamuzi yako kama utauona ni muongozo sahihi,kwani hio Quraan imejipambanua yenyewe kua haikulazimishi uiamini.
Daah we jamaa kweli polite
Una "tone" flani ya kujieleza kwa ustaarabu na unyenyekevu at the same time unafikisha Ujumbe uliotaka uwafikie walengwa
Big up mkuu...
 
Mungu wa Bible na mungu wa quran ni tofauti.
Hawa wanaamini katika mungu wa utatu mtakatifu(trinity) hawa wanaamini katika mungu mmoja.

Quran, 5:73 ?They do blaspheme who say: Allah is one of three in a Trinity: for there is no god except One Allah. If they desist not from their word (of blasphemy), verily a grievous penalty will befall the blasphemers among them.?
Ukishajua kuwa Qur'an iliandaliwa ili kupinga baadhi ya mafundisho ya kikristu haita kupa shida tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom