Gluk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 1,859
- 3,026
Matching guy yaani mtu anayetembea tembea kutoka sehemu moja hadi nyingine.
Kifua mberee na kitambulisho cha mjasiriamaliWakuu huu uholela wa wafanyabiashra wanaojiita wamachinga unakera sana, kila kona ya jiji barabara zote wamejaa wao.
Tena ni bora wangekuwa hata na mabanda ya maana, humu barabarani umejaa uchafu tu..
Ukienda Mbagala wamejenga mabanda mpaka katikati ya barabara, na TANROADS wanawaangalia tu.
Wakuu hivi nyie mliowahi kutembea nchi za wenzetu je kuna uholela wa biashara na kujenga vibanda hovyo hovyo kama hapa dsm?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaji wa kura huo
Unayolalamikia mkuu wa nchi aliwaruhusu na akasema wasisumbuliwe. Alisema barabara hizo ni zenu na zimejengwa kwa ajili yenu hivyo fanyeni biashara.Wakuu huu uholela wa wafanyabiashra wanaojiita wamachinga unakera sana, kila kona ya jiji barabara zote wamejaa wao.
Tena ni bora wangekuwa hata na mabanda ya maana, humu barabarani umejaa uchafu tu..
Ukienda Mbagala wamejenga mabanda mpaka katikati ya barabara, na TANROADS wanawaangalia tu.
Wakuu hivi nyie mliowahi kutembea nchi za wenzetu je kuna uholela wa biashara na kujenga vibanda hovyo hovyo kama hapa dsm?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uholela ni mkubwa ajabu Tz kulinganisha na nchi zote nilizowahi kutembelea. Miji yetu kuacha mipango miji iliyofanywa na Wajerumani na Waingereza, sehemu nyingine ni hovyo na haya yanatokea na viongozi wetu wala hawajui kama ni hovyo!Wakuu huu uholela wa wafanyabiashra wanaojiita wamachinga unakera sana, kila kona ya jiji barabara zote wamejaa wao.
Tena ni bora wangekuwa hata na mabanda ya maana, humu barabarani umejaa uchafu tu..
Ukienda Mbagala wamejenga mabanda mpaka katikati ya barabara, na TANROADS wanawaangalia tu.
Wakuu hivi nyie mliowahi kutembea nchi za wenzetu je kuna uholela wa biashara na kujenga vibanda hovyo hovyo kama hapa dsm?
Sent using Jamii Forums mobile app
..... Katiba inakuruhusu ufanye chochote bila kuhojiwa na mbwa yoyote yote
NIMEKAA MUDA MREFU NIKIWAZA NINI HASA ULIMAANISHA HAPA?
ITABIDI NIKUULIZE:
INA MAANA WATANZANIA WANAOHOJI NI MBWA?
UMEANDIKA VIZURI KOTE LAKINI HAPA UMENITIA KICHEFU NA HASIRA NDUGU YANGU! AU NA WEWE BABA YAKO AU MAMA YAKO NI MIONGONI MWA HAO WALIOPEWA NGUVU YA KUFANYA CHOCHOTE NA KATIBA KWA HIYO WENGINE WAKIWA MBWA NI SAWA ILA WEWE HAUTOKI KIZAZI CHA MBWA?
Ndio maana tangu awali nimetanmgulia kusema wewe jamaa hatuelewani.UNA UHAKIKA KUWA HELA ZA WATALII ZINANUNUA DAWA KWA WANYONGE? NA NI KWELI WANYONGE WANAPOKWENDA HOSPITALI WANAPATA TIBA STAHIKI?
ANDAA PROPOSAL YAKO WAPELEKEE TWAWEZA USEME WAMACHINGA WAKAE WAPI NA WATAWEZA KUFANYA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA BILA KUHISISI UGUMU. WEWE SI UNATAKA KUONDOA UHOLELA?
UNAPOTAKA KUMZUIA MMACHINGA ASIFANYE BIASHARA KAMA USEMAVYO LAZIMA UWE UMEJENGA MAZINGIRA STAHIKI ILI YEYE AJUE KWAMBA NATENDEWA HAKI! NDIYO MAANA MWENYE NGUVU ALISEMA UNAPOTAKA KUWAONDOA LAZIMA UWAONYESHE MAHALI PA KWENDA NA SIKUWAONDOA TU NA HAPO UNAPOTAKA KUWAPELEKA HAKIKISHA KUWA WANAFANYA KILA KITU KAMA KAWAIDA.
JE KUNA MTU ALISIMAMA NA KUJA MBINU MBADALA? JIULIZE SWALI KWANINI SI RAHISI KUWAONDOA KAMA USEMAVYO. UNAPOTAKA KUWAZUIA WACHINGA MCHAKATO WAKE NI TOFAUTI NA KUNUNUA BOMBERDIER AU DREAMLINER!
WACHINGA YALE NI MAISHA YAO. UNAPOWAZUIA K/KOO DAR ES SALAAM AU HUKO ARUSHA AU MWANZA JUA UNAZUIA MAISHA YAO! KAMA UNAWAZUIA K/KOO UTAWAWEKA WAPI ILI WAENDESHE MAISHA YAO KAMA KAWAIDA?
KUBADILI SHUGHULI ZA MACHINGA NI KUBADILI MAISHA YAO! JE SERIKALI INA MKAKATI GANI KUBADILI MAISHA YA SHUGHULI ZA MACHINGA? ULISHAWAHI KUSIKIA KUNA MUSWADA AU HOJA ZA KUHUSU SHUGHULI ZA MACHINGA?
JIULIZE KWANINI?
SIKU NJEMA,
Sasa nashangaa kuna jamaa hapo kazi yake kupinga tu.Chief niliwahi kupata fursa kutembelea namibia yaan wapo very organise hadi raha sio km bongo kila kitu shaghala baghala
Sent using Jamii Forums mobile app