Wamachinga wamefanya Dar kuwa mji wa hovyo kabisa

Ulitaka wakaishi wapi na wafanye kazi gani na wapi? Ulitaka Dar iwe ya watu gani? Acha ubaguzi ndugu mungu anakuona hawajapenda kuwa hapo walipo ila hali ya maisha imewafanya kuwa hapo.

Hakuna anayeweza badili maisha ila maisha ya mbadili mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusijifiche kwenye kivuli cha kutafuta riziki.

Ni suala la kuumiza vichwa na kuona ni nini cha kufanya kila Mtu apate riziki bila kumkwaza mwingine.

Hivi hao Watalii tunaowatamani waweza kumpeleka kwenye zile vurugu pale friends corner Arusha mida ya jioni na ujisike fahari?
 
Mamachinga wamekuwa kero sana Has a sehemu zakushukia vituo vya daladala Wamejibana sana yaani mtu akiwa anashuka kwenye daladala inakuwa kazi kupita Wenyewe wapo tu wamebana njia hapo barabarani

Wangewatoaa hata sehemu zakushukia daladala ingepwndeza yaani wanabana njia kabisa Mtu kupita na daladala inashusha imekuwa vigumu sana kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya laana aliyopewa mswahili ni kuishi bila kufuata utaratibu ,tumezoea kuishi kimazoea na ubabaishaji huku siasa ikitangulizwa mbele. WTF!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Mkuu, Watu tunashindwa kupanga mambo alafu bado kuna Wanaoona ni sawa tu.

Lazima tujftofautishe na mifugo kama Ng'ombe, Mbuzi au Nguruwe.
 
Wakuu huu uholela wa wafanyabiashra wanaojiita wamachinga unakera sana, kila kona ya jiji barabara zote wamejaa wao.

Tena ni bora wangekuwa hata na mabanda ya maana, humu barabarani umejaa uchafu tu..

Ukienda Mbagala wamejenga mabanda mpaka katikati ya barabara, na TANROADS wanawaangalia tu.

Wakuu hivi nyie mliowahi kutembea nchi za wenzetu je kuna uholela wa biashara na kujenga vibanda hovyo hovyo kama hapa dsm?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawalaumu wamachinga badala ya kumlaumu aliyetoa go ruhusa na kuwapa jeuri ya kutembea kifua mbele
 
Wakuu huu uholela wa wafanyabiashra wanaojiita wamachinga unakera sana, kila kona ya jiji barabara zote wamejaa wao.

Tena ni bora wangekuwa hata na mabanda ya maana, humu barabarani umejaa uchafu tu..

Ukienda Mbagala wamejenga mabanda mpaka katikati ya barabara, na TANROADS wanawaangalia tu.

Wakuu hivi nyie mliowahi kutembea nchi za wenzetu je kuna uholela wa biashara na kujenga vibanda hovyo hovyo kama hapa dsm?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani kila mahali Sasa ni soko. Wakati wa awamu ya tatu na ya Nne waziri wa ujenzi wa wakati Huo alikuwa anapiga vita sana miundo mbinu ya barabara kuingiliwa hasa service road amekuja kuwa President karuhusu service road zimegeuka masoko Sasa watembea kwa miguu na magari watumia njia moja[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu huu uholela wa wafanyabiashra wanaojiita wamachinga unakera sana, kila kona ya jiji barabara zote wamejaa wao.

Tena ni bora wangekuwa hata na mabanda ya maana, humu barabarani umejaa uchafu tu..

Ukienda Mbagala wamejenga mabanda mpaka katikati ya barabara, na TANROADS wanawaangalia tu.

Wakuu hivi nyie mliowahi kutembea nchi za wenzetu je kuna uholela wa biashara na kujenga vibanda hovyo hovyo kama hapa dsm?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesahau Mh Rais amewaruhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msingi wa yote haya ni jiwe na jiwe karuhusu haya kwavile yeye binafsi hana exposure yoyote ile
Wakuu huu uholela wa wafanyabiashra wanaojiita wamachinga unakera sana, kila kona ya jiji barabara zote wamejaa wao.

Tena ni bora wangekuwa hata na mabanda ya maana, humu barabarani umejaa uchafu tu..

Ukienda Mbagala wamejenga mabanda mpaka katikati ya barabara, na TANROADS wanawaangalia tu.

Wakuu hivi nyie mliowahi kutembea nchi za wenzetu je kuna uholela wa biashara na kujenga vibanda hovyo hovyo kama hapa dsm?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka wakaishi wapi na wafanye kazi gani na wapi? Ulitaka Dar iwe ya watu gani? Acha ubaguzi ndugu mungu anakuona hawajapenda kuwa hapo walipo ila hali ya maisha imewafanya kuwa hapo.

Hakuna anayeweza badili maisha ila maisha ya mbadili mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umuulize wewe mkuu, vijana wameamua kujiajiri na kodi wanalipa waacheni wafanye biashara popote pale mambo yakibadilika wenyew watatoka au anahisi kuwa kuna anayependa kuwa machinga:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUU UGONJWA NI COUNTRY WIDE.
ila kwa kipindi hiki cha kwanza lazima wawepo eneo lolote wanalopenda isipokuwa maeneo intelligent tu.

Lakini hebu subirini kipindi cha pili tuone mtanange utamalizikaje.
 
H
Wakuu huu uholela wa wafanyabiashra wanaojiita wamachinga unakera sana, kila kona ya jiji barabara zote wamejaa wao.

Tena ni bora wangekuwa hata na mabanda ya maana, humu barabarani umejaa uchafu tu..

Ukienda Mbagala wamejenga mabanda mpaka katikati ya barabara, na TANROADS wanawaangalia tu.

Wakuu hivi nyie mliowahi kutembea nchi za wenzetu je kuna uholela wa biashara na kujenga vibanda hovyo hovyo kama hapa dsm?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika umesema kweli kabisaa
 
Mtalii atalipia hotel na kila kitu kitaishia kwa wenye hotel. Je yule masikini umemjengea mazingira gani ili asimzuie mtalii?

Kuna watu mnaonekana hamna utu hata chembe! Umapowaza kuendeleza utalii kwa kumzuia mmachinga lazima ujue kuwa mmachinga wapi atakwenda.

Umejenga masoko mangapi kuwaweka Machinha
Tusijifiche kwenye kivuli cha kutafuta riziki.

Ni suala la kuumiza vichwa na kuona ni nini cha kufanya kila Mtu apate riziki bila kumkwaza mwingine.

Hivi hao Watalii tunaowatamani waweza kumpeleka kwenye zile vurugu pale friends corner Arusha mida ya jioni na ujisike fahari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtalii atalipia hotel na kila kitu kitaishia kwa wenye hotel. Je yule masikini umemjengea mazingira gani ili asimzuie mtalii?

Kuna watu mnaonekana hamna utu hata chembe! Umapowaza kuendeleza utalii kwa kumzuia mmachinga lazima ujue kuwa mmachinga wapi atakwenda.

Umejenga masoko mangapi kuwaweka Machinha

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa sijui hata kama tunaelewana.

Hakuna hoja yoyote inayoweza kuhalalisha uholela wa mambo, kwa maneno mengine unachokitetea hapa ni kama kunyoosha mikono juu na kusema tufanye tu mambo bora liende kwani nchi hii hatuna akili ya kiwango cha kutosha kutoka hapa tulipo.

Ndio maana nimetoa mfano wa Watalii, Arusha ni jiji la Kitalii..sasa kama tunahitaji utalii ili tupate pesa za kuwanunulia Wanyonge dawa na kujenga hospitali basi na tujue namna ya kukirimu hao Wageni/Watalii sambamba na kuwa wasafi.

Na usafi ni pamoja na kupanga Miji ionekane kama wanaishi Watu wenye akili timamu. Sio unaishi chumba kimoja basi Mgeni akiingia anakuta chumba shaghalabhagala, mmeanika vyupi kila kona kwa kisingizio cha 'mtuvumilie sisi masikini hatuna uwezo'...huo ni umasikini wa akili wala sio mali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom