Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,180
- 22,801
Nimeelezea kuwa ni kutokana na waliokuwa wanafanya biashara ya kutembeza bidhaa hasa kwenye jiji la Dar es salaam miaka ya mwanzoni mwa themanini kuwa ni watu kutoka mtwara. Kwa ivo watu wakawa wanaulizana "hiyo bakuli umenunua wapi" na mnunuzi hujibu " nimenunua kwa wamachinga" muuliza swali huelewa kwamba imenunuliwa toka kwa watu watembezao bidhaa mitaani.
Kwanza kwenye lugha ya Kiswahili hakuna neno "Machinga" bali kuna "mmachinga" na "wamachinga"Nini hasa asili ya neno machinga.tuanzie hapo.
Ndugu mwana jamvi, anachokisema mleta mada kiko sahii lakini anakosa mbinu za kujenga hoja.Kwa hiyo watu kutoka Mtwara ndiyo sababu ya kuitwa Wamachinga,kivipi? Hebu unganisha maana ya neno Wamachinga kwa uchuuzi mitaani,ulinganishe watu wa kusini hasa Mtwara,corelation iko wapi hapo? Hujatoa sababu. Kutoka Mtwara hakuwez kuwa ni sababu ya neno Wamachinga. Na kule Mtwara hakuna sehemu au affiliation yoyote na neno Wamachinga. Sababu yako inakosa hoja ya kimantiki. Hoja ile ya Matching Guys ina mashiko kuonyesha uchuuz(literally-Swahili-English direct interpreration)!
Tafuta sababu,hapo umekosa sababu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nakumbuka miaka hiyo hao machinga hata mitaani walikuwa wanapenda kuitwa chinga hata kama yeye hajihusishi na biashara hizo kama ulivyo kwa watu wa Tanga kujiita Mtanga na wa Gogo kujiita Mgogo ndivyo ilivyo kuwa kipindi hicho hivi karibuni niliwahi shangazwa na kiongozi mmoja serikalini akidai machinga imetokana na neno la kiingeleza nilimshangaa sana vijana wa juzi walio zaliwa miaka ya 90 wanaweza umiza kichwa lakini kwa watu wa miaka ya 70 hadi 1980 wanalijua hiliNdugu mwana jamvi, anachokisema mleta mada kiko sahii lakini anakosa mbinu za kujenga hoja.
Neno "Wamachinga "kiuhalisia limeanzia jijini Dar es Salaam mwishoni mwa miaka ya 80 kuja 90.Likimaanisha wachuuzi wadogo wadogo.
Kule mkoani Mtwara kuna kabila linaitwa wamakonde. Lakini kabila ili limagawanyika makundi mawili,wamakonde wa Msumbiji (Ndonya) na wamakonde wa Tanzania (Maraba-Machinga). Tofauti hizo zimejitengeza kutokana na mwenendo wa tamaduni za watu hao, hali iliyopelekea kujenga utambulisho rasmi. Wamakonde maraba ni Machinga na wale wengine (walio base sana Msumbiji) ni Ndonya.
Hivyo basi wakati harakati za uchuuzi kama vile, uuzaji wa MITUMBA, vyombo,maredio na kutembeza vitu vidogo vidogo vya madukani zinaanza kushika kasi jijini,watu waliokua washiriki wakubwa ni vijana wa Kimachinga kutoka Mtwara!. Kwani kipindi hicho walikua wanamiminika kwa wingi kuingia jijini na hawakua na kazi zingine zaidi ya uchuuzi. Hali hiyo ilipelekea jamii kuziita shughuli za namna ile ni UMACHINGA.
Hata ilipofikia watoto wengine wa uswahilini na ushuani kujiunga na hizo shughuli lakini haikuweza kubadili jina!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Allen hili liko wazi halina wala halijawai kuleta utata wa asili ya neno machinga. Hawa ni Chinga ktk wingi ndiyo huitwa Machinga. Na kazi yao kubwa ulikuwa kutembeza nguo hasa kike mitaani ingawa baadae waliojiongeza na bidhaa nyingine kama michezo ya watoto, vioo nk.Nimeelezea kuwa ni kutokana na waliokuwa wanafanya biashara ya kutembeza bidhaa hasa kwenye jiji la Dar es salaam miaka ya mwanzoni mwa themanini kuwa ni watu kutoka mtwara. Kwa ivo watu wakawa wanaulizana "hiyo bakuli umenunua wapi" na mnunuzi hujibu " nimenunua kwa wamachinga" muuliza swali huelewa kwamba imenunuliwa toka kwa watu watembezao bidhaa mitaani.
Viongozi wengi siku hizi wana asili ya ushuani,hivyo mambo mengi ambayo asili yake ni uswahilini hawayajui. Iliyobaki kutuvesha tuMimi nakumbuka miaka hiyo hao machinga hata mitaani walikuwa wanapenda kuitwa chinga hata kama yeye hajihusishi na biashara hizo kama ulivyo kwa watu wa Tanga kujiita Mtanga na wa Gogo kujiita Mgogo ndivyo ilivyo kuwa kipindi hicho hivi karibuni niliwahi shangazwa na kiongozi mmoja serikalini akidai machinga imetokana na neno la kiingeleza nilimshangaa sana vijana wa juzi walio zaliwa miaka ya 90 wanaweza umiza kichwa lakini kwa watu wa miaka ya 70 hadi 1980 wanalijua hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli gani unaoutaka tena. Au hujasoma nilichoandika na walichoandika wengine? Umemsoma kinandinandi na Namichiga kwenye bandiko namba 26 na 27?Umepinga nikatarajia utatupa ukweli...badala yake umebaki hewani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Band ilikuwa ikiitwa Mchinga Sound na siyo Nchinga Sound.Kwanza sina sababu ya kutafuta sababu kwani huo ndiyo ukweli na uhalisia. Sasa "Correlation" ya "Marching Guys" na "Wamachinga" iko wapi? Au kwa kuwa kimatamshi ni kama yanafanana?
Kwenye kiswahili kuna kundi la maneno "Mwa" ambalo neno "mmachinga" linakuwa "Wamachinga" sasa "marching Guys" iweje iwe "Wamachinga"?
Nimetoa Historia ambayo ni ya kweli wewe unaleta mapokeo ya zama hizi. Unaikumbuka bendi ya "Nchinga Sound" iliyokuwa inaongoza na Muumini Mwinyijuma? Sasa huko Nchinga ndiko wamachinga wanapotoka na wao ndiyo asili ya watembeza vitu mtaani kuitwa wamachinga.
Nimesema kwamba wazungu wamachinga wanawaita "Hawkers" basi ni kwa nini hawa wa huku kwetu waje wawaite "Marching Guys" wakati wanafanya biashara kwa mtindo unaofanana na ule wa "Hawkers" wa kule kwao?
Hao waha wanakopesha vitu gani huko mitaani mkuu? Tujuze ili tuchangamkie hizo fursa za kupata vitu kwa mkopo maana pesa taslimu imekuwa shida kupatikana siku hizi.Allen hili liko wazi halina wala halijawai kuleta utata wa asili ya neno machinga. Hawa ni Chinga ktk wingi ndiyo huitwa Machinga. Na kazi yao kubwa ulikuwa kutembeza nguo hasa kike mitaani ingawa baadae waliojiongeza na bidhaa nyingine kama michezo ya watoto, vioo nk.
Ni sawa kwa sasa hivi hawa Waha watu kutoka kigoma walivyo ishika biashara ya kukopesha vitu mitaani. Unakuta hata wasio Waha wakifanya hiyo kazi unaweza itwa Muha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wenyewe Nchinga na Mchinga ni sawa tu. Shukrani kwa masahihisho!!Band ilikuwa ikiitwa Mchinga Sound na siyo Nchinga Sound.
LabdaMsela-m-sailor
InawezekanaKariakoo-courier court
Mikocheni inatokana na jina la mti wa mkoche.Mikocheni-mike chain
InawezekanaMsasani-musa hassan
Hapa sawa.Ostabai-oysterbay
Labda
Inawezekana
Mikocheni inatokana na jina la mti wa mkoche.
View attachment 983334
Huu ndiyo mkoche!!
Inawezekana
Hapa sawa.
Uongo mtupu. Mimi mwenyewe natoka huko. Ukweli ni kwamba kuna wamakonde wa pwani(wamaraba,wengi wako eneo la Mtwara vijijini mwambao wa pwani ya bahari ya Hindi,na lafudhi yao ni "Broken Swahili)! Halafu kuna wamakonde wa Bara(kule Newala na Tandahimba-Makonde Plateu),hao matamshi yao huwa makali kuliko wale wa pwani. Lakini pia kuna wamakonde wa Msumbiji ambao wana machale na ndonya kama ulivyosema. Katika makundi yote hayo matatu,kuna baadhi ya maneno huwa ni tofauti. Lakini tofauti kubwa iko kati ya wale wa Msumbiji na aina yoyote ya Wamakonde wa Tanzania. Kote huko hakuna neno,jina,au mtaaa,mji,kijiji kinachoteflect Wamakonde na Wamachinga,hakuna. Na ndiyo maana hata wewe mtoa hoja hujaonyesha ni wapi Wamachinga wanahusishwa na mkoa wa Mtwara.Ndugu mwana jamvi, anachokisema mleta mada kiko sahii lakini anakosa mbinu za kujenga hoja.
Neno "Wamachinga "kiuhalisia limeanzia jijini Dar es Salaam mwishoni mwa miaka ya 80 kuja 90.Likimaanisha wachuuzi wadogo wadogo.
Kule mkoani Mtwara kuna kabila linaitwa wamakonde. Lakini kabila ili limagawanyika makundi mawili,wamakonde wa Msumbiji (Ndonya) na wamakonde wa Tanzania (Maraba-Machinga). Tofauti hizo zimejitengeza kutokana na mwenendo wa tamaduni za watu hao, hali iliyopelekea kujenga utambulisho rasmi. Wamakonde maraba ni Machinga na wale wengine (walio base sana Msumbiji) ni Ndonya.
Hivyo basi wakati harakati za uchuuzi kama vile, uuzaji wa MITUMBA, vyombo,maredio na kutembeza vitu vidogo vidogo vya madukani zinaanza kushika kasi jijini,watu waliokua washiriki wakubwa ni vijana wa Kimachinga kutoka Mtwara!. Kwani kipindi hicho walikua wanamiminika kwa wingi kuingia jijini na hawakua na kazi zingine zaidi ya uchuuzi. Hali hiyo ilipelekea jamii kuziita shughuli za namna ile ni UMACHINGA.
Hata ilipofikia watoto wengine wa uswahilini na ushuani kujiunga na hizo shughuli lakini haikuweza kubadili jina!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema VIJANA WA KIMACHINGA,una maana gani? Mtwara hakuna hilo neno wala mahali. Acha kupotosha.Ndugu mwana jamvi, anachokisema mleta mada kiko sahii lakini anakosa mbinu za kujenga hoja.