Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,180
- 22,801
Kwa nini mnunuzi alisema amenunua kwa wamachinga na hakusema nmenunua kwa watembeza kwa miguu au wamakonde?
Nini hasa asili ya neno machinga.tuanzie hapo.
Nini hasa asili ya neno machinga.tuanzie hapo.
Nimeelezea kuwa ni kutokana na waliokuwa wanafanya biashara ya kutembeza bidhaa hasa kwenye jiji la Dar es salaam miaka ya mwanzoni mwa themanini kuwa ni watu kutoka mtwara. Kwa ivo watu wakawa wanaulizana "hiyo bakuli umenunua wapi" na mnunuzi hujibu " nimenunua kwa wamachinga" muuliza swali huelewa kwamba imenunuliwa toka kwa watu watembezao bidhaa mitaani.
