Wall street financial analyst is lying

hajajiita mtaalamu wa wall street bali mtaalamu wa masuala ya fedha anayefanya kazi katika masoko ya fedha. Hebu silikiliza vizuri mahojiano kupitia http://www.dailynews.co.tz
umemsikia leo daily news arifu?

amekuwa aki kotiwa na bbc swahili zaidi ya mara 2 akihojiwa kama mtaalam wa masuala la fedha anaefanya kazi wall street NY.......
 
Binafsi nafikiri kuna aina fulani ya chuki dhidi ya huyu John Mashaka, na sidhani kama inatusaidia sana.... huu mjadala uongo wa kitoto kama mtu nafanya kazi sehemu fulani unamaana gani?au unafaida gani kwa mtu wa manerumango? Nafikiri tunamkuza sana huyu mtu hadi tunasahau mambo ya muhimu.

Siwezi kuwa na chuki na mtu kilaza mwongo kama John Mashaka. Na hatuwezi kuanza kuchambua aliyoyasema bila ya ku debunk uongo kuhusu wasifu wake. Eti tutamkuza. Huyu mtu ameshakuzwa, amewekwa kwenye home pages za gazeti la serikali wiki nzima anaongea uongo kuhusu wasifu wake akihojiwa na Michuzi. Siku hizi Daily News ni Michuzi ndio anali run? Michuzi mtu anaejipiga picha yuko dukani ananunua li dildo. Mwanamme sijui anataka sanamu ya uume ya nini. Na John Mashaka wake kama ndio analyst ambae Daily News wameona ndio anafaa kuchambua matatizo ya uchumi duniani kwa sababu ni investment banker wa Wall Street North Carolina basi tutasema jamaa ni mwongo mkubwa. Hakuna Wall Street North Carolina.

Halafu siku hizi hakuna mtu duniani anaetembea mtaani anajisifu yeye ni invesment banker. Investment banking as a field, as a profession, imepigwa dhoruba vibaya mno, huyu nae inawezekana alisha punguzwa kazi siku nyingi for all I care. Hivi anadhani kila mtu ni kilaza asiyefuatilia current affairs bana? Mfunge kamba Michuzi na wasomaji wa blog ya Michuzi. Hakuna Wall Street Charlotte.
 
Hakuna Wall Street North Carolina.

BANKING

Tough times on 'Wall Street South'
Charlotte, N.C., home to Bank of America and Wachovia, is feeling banks' pain.

CHARLOTTE, N.C. — The financial collapse has hit the city known as Wall Street South.

For years, Bank of America Corp. and Wachovia Corp. helped turn Charlotte into a financial powerhouse.

More click Tough times on 'Wall Street South'
 
Wa majuu huko mtueleweshe wall street ipo wapi? na zipo ngapi?
 
Yoyo,

Unapotaja Wall Street Marekani unaongelea New York Stock Exchange. Kama hufanyi kazi NYSE basi iwe ni eneo la jirani na hapo. That's the default Wall Street. Location nyingine mbali na hapo ni "Wall Street" either in inverted commas or with some extra clarification.

Pitia [ame=http://en.wikipedia.org/wiki/Wall_Street]Wall Street - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame] utagundua kuna "Wall Street" 383 duniani.

Unasemaje na sisi tuanzishe Wall Street hapo Sinza? Maana bongo ndio wenyewe kwa kuiga majina ya watu.

Hivyo bwana Mashaka kama anasema tu Wall Street pasipo kutaja kwamba ni Wall Street ya Wachovia huko Charlotte anakuwa anafanya propaganda. Pengine anajua kwamba watanzania wengi hata wale wa elimu ya kawaida huwa wanaangalia CNN kwa hiyo wameshasikia sikia neno "Wall Street"

Anyway bwana JM yuko on a mission (kama sote hapa tulivyo) katika kutafuta riziki. Bila shaka ajira yake imemezwa na kuyumba kwa uchumi wa Marekani. Kikubwa awe makini tu na kauli zake maana kauli ndio mali. Ni matumaini yangu ataendelea kurekebisha makosa madogo madogo ya hapa na pale ili umaarufu wa ghafla aliojijengea usije ukapotea.

Wa majuu huko mtueleweshe wall street ipo wapi? na zipo ngapi?
 
Jamani mimi ninachoona humu ni wivu kupita kiasi. mimi mashaka, nimemtafuta hadi nikampata na kufanya naye maongezi. nadhani wengi humu wanaomjadili ni waongo na wazushi. nimiltafuta sana mwaka jana, hapa nikamuomba hadi kelly lakini sikufanikiwa

Juzi nikiwa Dar, niliambiwa kwamba yupo, nikamtafuta hadi nikampata na kufanya naye maongezi pale Garden Bistro. jamani ni mtoto mgwana sana. Hili swali la Wall-street nilimuuliza na akanijibu kwamba siku za nyuma walikuwa wanafanya kazi pengine hata kwa mwezi mzima, lakini siku hizi kutokana na wateja kupungua, huko wall-street wanaenda pengine kwa wiki au mara chache kwa mwezi.licha ya hiyo kazi zao mara nyingi inakuwa ni nje ya nchi huko sijui ni wapi... muulizeni

Ila kwa sasa mara nyingi anafanya kazi makao yao makuu huko carolina. sasa hapo angejibu vipi? nadhani nyinyi ndo mnamjenga zaidi kwa uzushi wenu. na wala tusishangae kumuona kuwa waziri wa fedha siku moja kwa maana naona humu badala ya kujadili mada zao tunawajadili watu

kuhusu mada yake, nadhani siye wenyewe ndo wenye upeo mdogo na mtu mwenye akili timamu hawezi kabisa kuzuka na kipointi komoja, hasa mwenye uwezo wa kiuchumi, kusema kwamba Iraq ndio imechangia katika msukosuko

Alitaja 1. vita iraq na afghanistan, 2. nishati 3. credit pamoja na mortage

hapa tatizo ni nini? hebu mwenye uwezo wa kukosoa hapa aseme.... na pointi zilizotulia siyo tu kuongea ovyo ovyo
... yaani wizi mtupu.
 
Siwezi kuwa na chuki na mtu kilaza mwongo kama John Mashaka. Na hatuwezi kuanza kuchambua aliyoyasema bila ya ku debunk uongo kuhusu wasifu wake. Eti tutamkuza. Huyu mtu ameshakuzwa, amewekwa kwenye home pages za gazeti la serikali wiki nzima anaongea uongo kuhusu wasifu wake akihojiwa na Michuzi. Siku hizi Daily News ni Michuzi ndio anali run? Michuzi mtu anaejipiga picha yuko dukani ananunua li dildo. Mwanamme sijui anataka sanamu ya uume ya nini. Na John Mashaka wake kama ndio analyst ambae Daily News wameona ndio anafaa kuchambua matatizo ya uchumi duniani kwa sababu ni investment banker wa Wall Street North Carolina basi tutasema jamaa ni mwongo mkubwa. Hakuna Wall Street North Carolina.

Halafu siku hizi hakuna mtu duniani anaetembea mtaani anajisifu yeye ni invesment banker. Investment banking as a field, as a profession, imepigwa dhoruba vibaya mno, huyu nae inawezekana alisha punguzwa kazi siku nyingi for all I care. Hivi anadhani kila mtu ni kilaza asiyefuatilia current affairs bana? Mfunge kamba Michuzi na wasomaji wa blog ya Michuzi. Hakuna Wall Street Charlotte.

Hebu jaribu kuwa mtu mzima mwenye ustaarabu kajisifia wapi. umeshamuona mashaka wapi, kama siyo wivu huo?

wewe kama umeshindwa na kubeba boxi-hacha hasira zako huko rudi nyumbani muache mtoto wa watu wala hana time na mtu kama wewe.
 
Jamani mimi ninachoona humu ni wivu kupita kiasi. mimi mashaka, nimemtafuta hadi nikampata na kufanya naye maongezi. nadhani wengi humu wanaomjadili ni waongo na wazushi. nimiltafuta sana mwaka jana, hapa nikamuomba hadi kelly lakini sikufanikiwa

Juzi nikiwa Dar, niliambiwa kwamba yupo, nikamtafuta hadi nikampata na kufanya naye maongezi pale Garden Bistro. jamani ni mtoto mgwana sana. Hili swali la Wall-street nilimuuliza na akanijibu kwamba siku za nyuma walikuwa wanafanya kazi pengine hata kwa mwezi mzima, lakini siku hizi kutokana na wateja kupungua, huko wall-street wanaenda pengine kwa wiki au mara chache kwa mwezi.licha ya hiyo kazi zao mara nyingi inakuwa ni nje ya nchi huko sijui ni wapi... muulizeni

Ila kwa sasa mara nyingi anafanya kazi makao yao makuu huko carolina. sasa hapo angejibu vipi? nadhani nyinyi ndo mnamjenga zaidi kwa uzushi wenu. na wala tusishangae kumuona kuwa waziri wa fedha siku moja kwa maana naona humu badala ya kujadili mada zao tunawajadili watu

kuhusu mada yake, nadhani siye wenyewe ndo wenye upeo mdogo na mtu mwenye akili timamu hawezi kabisa kuzuka na kipointi komoja, hasa mwenye uwezo wa kiuchumi, kusema kwamba Iraq ndio imechangia katika msukosuko

Alitaja 1. vita iraq na afghanistan, 2. nishati 3. credit pamoja na mortage

hapa tatizo ni nini? hebu mwenye uwezo wa kukosoa hapa aseme.... na pointi zilizotulia siyo tu kuongea ovyo ovyo
... yaani wizi mtupu.

Mkuu Heshima yako,

- Binafsi ninawajua one on one wabongo wote wanaofanya kazi Wall Street ya New york, hawazidi wawili na huyu ndugu yako sio mmojawapo,

- Nijuavyo ni kwamba anafanya kazi kwenye tawi moja la benki kule NC, na wala sio siri kwa tunaomjua, sasa tunashangaa sana anaporudi bongo, anakuwa ametoka Wall Street na the rest of the story.

Samahani siyasemi haya kwa kumchukia au kumuonea wivu, hao wabongo walioko huko Wall Street, mmoja amekua kule over 30 years sasa, na mwingine ni dogo dogo na wote ni kitabu kikubwa sana kuliko cha huyu ndugu yako, cha muhimu ni kupingana na hoja zake, lakini anapofanya kazi pasiwe ishu.

Respect.

FMES!

- Huwezi kuwa Wall Street, halafu ukawa kila siku safarini kwenye mambo ya charity kama anavyofanya huyu mkuu, wengine hatumchukii ila ni kuweka ukweli wazi.
 
Mijadala mingi imeibuka na si jambo la ulazima uwe na degree ya uchumi ujue couses ya financial crisis duniani.Its a shame kwa msomi na mwanaharakati kama John mashaka kupotosha umma kuwa mtikisiko wa kiuchumi unaondelea sasa hivi umetokana na sababu moja wapo ikiwa vita ya Iraq na ongezeko la bei ya mafuta.

John mashaka kama msomi ni reflection ya wasomi wetu tunaowapa dhamana ya kutoa maamuzi sahihi kwa manufaa ya wananchi na matokeo yake ni kutumbukiza kwenye matatizo.
Nimemsikiliza kwenye interview yake na daily news nikasitika….is this the man called financial analyst? Muoneni muongo mkubwa wa wall street

Daily News | The leading Online news edition in Tanzania

Yoyo

Shame on you man, sasa utamuitaje mwenzio muongo? Hebu wewe tutajie sababu ambazo zimechangia matatizo ya kiuchumi

hakuna factor hata moja ambayo unaweza kusema kwamba ndiyo chanzo cha msukosuko wa matatizo ya kiuchumi . Kwa wasomi wote na wachumi, Iraq na Afghanistani ambazo zinanyonya sana uchumi wa marekani ni sababu ambazo hazitajwi, nadhani nyinyi mnalewa na infomation kidogo mnazosoma kwenye mitandao ambayo ni credit. Usituzingue na elimu yako ya jamii forum

Tumechoka kuzinguliwa na watu wasio na upeo wowote zaidi ya ku crame mambo

tatizo la kifedha nadhani Iraq, na Afghanistani itachangia kwa kiasi kikubwa sana kwa sababu serikali ya marekani inakopa fedha kutoka uchina kupigana hivyo vita. Hiyo mikopo lazima ilipwe kama madeni, na hapo CRDIT crunch inaingia kwa sababu gani, kwa maana social services nyingi zinapunguzwa, na hata governmental agencies nyingi zinakuwa hazina fedha za kutosha matokeo yake, fedha inapunguka kwenye mzunguko.

Hathari zake, watu wanapunguzwa na municipalities etc....

Hata kama sina elimu ya uchumi ila natambua kwamba, bei za nishati zinapokuwa juu, makampuni mengi lazima yajipime kiuchumi kwa kupunguza matumizi na kupunguza matumizi ni kadhalika na kupunguza wafanyakazi na matumizi yasiyo ya lazima, hapo hebu fanya hesabu makapuni 20,000 yakifanya hivyo katika nchi moja kwa nini ugumu wa miuchumi usiwepo?

Hapo ongea Subprime?

Ukishajibu hapo na logical reasoning ndio umuite muongo.

Vinginevyo nitakuita kwamba wewe ni wale masenene ambao hawaona chema cha mwenzao. kijana ni wetu, kwa nini tusimuunge mkono badal ya kumkashifu? nadhani wewe ndo mwandishi wa ile atiko iliyochambuliwa na kuonekana wa upeo mdogo.

Akili finyu bwana sioni hata kwa nini tujiite watanzania kwa sababu mnatuaibisha sana. pengine nyie ndo wale wasomi feki wa MUZUMBE wa kufoji vyeti.

Mimi namuona Dr. Shayo na Mashaka kama vijana wa kipekee ambao taifa letu linawahitaji sana, kutokana na kudiriki kwao katika kuhamasisha umma wa kitaznania. Nina uhakika haujawahi kumuona hata mmoja wao, na unatamani uwe kama wao, kwa hiyo chill out... ndugu yangu. ni watanzania wenzako
 
There are people here who wish they could be in the same spotlight as mashaka. I also know for sure and that he has some sought of an affiliation with Wall street. You do not have to be residing in New York to work for Wall street. Charlotte, NC is a home to Wachovia and that could explain why he worked in New york now and then. I think there is envy and fear combined when we have some intelligent and capable people such as Mashaka in the spotlight. There is a tendency of doubting out capabilities as Tanzanians. I remember when January started his blog there was so much negativity. Yet when you really read some of January's arguments or articles, they are so intriguing and insightful. It is important to acknowledge other people's talents. God rewards blessings at different times. I am sure your blessings are around the corner. Lets be supportive to the few Tanzanians that have been able to reach such a spotlight. I would rather speak highly on the accomplishment of my fellow Tanzanians than bashing them. If you think his arguments on what led to the crisis are misleading, then give us your alternatives instead of these pathetic personal attacks. When someone deserves to be praised for his accomplishment, just lower your ego and give the fella a nod.

Lets make arguments and not personal attack. After all, this man really has some humble beginnings. He had to really go throw lots of huddles to make it where he is. I am sure he had to work much harder than so many white people just to prove that regardless of his background he too can deliver. If he was not who he is then why there are so many postings and interviews about his work in Tanzania in American media. Lets just take a moment to think.

Mungu Ibariki Tanzania and Mungu Bariki all the young talented Tanzanian man.
Ciao
 
I don’t know Mashaka and also i dont care where he works but he is right .

What you all have to know is that, the global rescission is a vicious Circle which means High Oil prices, High food prices and subprime mortgages are causes.

But you all discussing and jumping on the subprime mortgage which is just one of the components which has caused the recession.

All economist agree that High Oil prices created hyperinflation and decreased the consumer confidence ,which means when people spend less it means the company loses sales and then wanapunguza wafanyakazi , then hao wafanyakazi hawawezi kulipa rent , then inasababisha more morgage default which means home value zinashuka, then banks they have to write loss on their balance sheet which reduce their ability to loan money to business, which means business they can’t pay their inventories and their payroll which means they lay more people off goes on and on--------we call this in economics vicious circle.

Without Vicious Circle, the banks could have maintained to hold its old toxic asset without affecting its ability to lend which caused the credit crunch.

That why now the USA Government have different programs in place to break the vicious circle Which includes.

Tax Cut to boost consumer spending
Foreclosure mitigation - Kuzuia house Foreclosure
Bank Bailout to boost Bank Liquidity
Small Business Loan Facilitation
787billion Stimulus Package to increase consumption
Public Private partnership kununua toxic asset so that increase lending

Kama tatizo lingekuwa ni Subprime mortgage peke yake ingekuwa rahisi sana , wangenunua tu hizo toxic asset off the bank balance sheet , But we are in deep rescission which need to restore the consumer confidence , that is the whole point of stimulating the global economy it means to incearease consumption!
 
...I remember when January started his blog there was so much negativity. Yet when you really read some of January's arguments or articles, they are so intriguing and insightful. It is important to acknowledge other people's talents. God rewards blessings at different times.

There are people here who wish they could be in the same spotlight as mashaka. .. I think there is envy and fear combined when we have some intelligent and capable people such as Mashaka in the spotlight.

...After all, this man really has some humble beginnings. He had to really go throw lots of huddles to make it where he is. I am sure he had to work much harder than so many white people just to prove that regardless of his background he too can deliver.

Articles za huyo January Makamba zilishagundulika kuwa ni za kuiba, na siku ile ile zilipoletwa JF na kuwa exposed alizitoa haraka sana kwenye blog yake. Fikiria presidential aid anaenda ku plagiarize articles za NY Times, anafikiri Wabongo bado tu wajiiiiiinga hatusomi magazeti. Utaonea wivu watu kama hao?

Na huyo John Mashaka unasema anatoka kwenye humble beginnings, hivi ni Watanzania wangapi walikwenda US na utajiri? Hiyo hoja chovu ni kama Pinda alivyojisifu yeye ni mwana wa Mkulima wakati viongozi wenzake nao ni hivyo hivyo.

Halafu kama umeishi huko US na unaijua ile nchi ungefahamu kwamba huwezi kumuonea wivu mtu kama Mashaka. Mtu mwenye mafanikio ya kutengeneza $ 40,000 $ 60,000 $80,000 wote wako kwenye boti lile lile tu. Tena anaetengeneza $ 100,000 ndio unakuta ana mi stress ya mikopo ya nyumba na magari na malezi na ma baby sister na ma property taxes na ma home insurance na mi bills lukuki. Na kawaida huyu mwananchi wa $ 50,000 na wa $90,000 huwezi hata kujua tofauti. Na wala hata hawaogopani kwa sababu hata hujui mwenzio anatengeneza kiasi gani. Magari ya kukopa kila mtu anaweza kuwa nayo, nyumba huwezi kujua mtu ana renti au kanunua. Kununua kwenyewe unalipia renti miaka thelathini ndio inakuwa yako. Unamwonea mtu wivu na mafanikio ya kazi ya Wall Street ya North Carolina?

Yule Mashaka hana chochote cha kuonewa wivu. Ukimsikia anaongea tu unajua jamaa ni mjomba ni mwongo ni kilaza, aende akamdanganye Michuzi ndio labda hajui tofauti ya Wall Street na Charlotte offices, na financial analyst na paper pusher, na investment banker na bank teller. Mashaka ni wa kuonewa wivu? Wivu wa spotlight? Unafikiri kila mtu ana mcheche wa kutokea kwenye vi website vya Daily News na vya Michuzi?
 
Last edited by a moderator:
Namuunga mkono bwana Uwiano Maalum na wengine wote wanaomchambua mashaka. Hoja ya wivu haina msingi.

Kama wanavyosema there's another side to every story. Hivyo mtu yeyote anapoleta side A ni vema side B ikajulikana pia.

Au basi mfano tuache kuwaonea wivu DECI maana wameshatuambia wana "secret formula" ya utajiri.
 
Yo YO mkuu heshima mbele; bei ya mafuta inaathiri mfumuko wa bei [INFLATION} dunia nzima!!
 
I don’t know Mashaka and also i dont care where he works but he is right .

What you all have to know is that, the global rescission is a vicious Circle which means High Oil prices, High food prices and subprime mortgages are causes.

But you all discussing and jumping on the subprime mortgage which is just one of the components which has caused the recession.

All economist agree that High Oil prices created hyperinflation and decreased the consumer confidence ,which means when people spend less it means the company loses sales and then wanapunguza wafanyakazi , then hao wafanyakazi hawawezi kulipa rent , then inasababisha more morgage default which means home value zinashuka, then banks they have to write loss on their balance sheet which reduce their ability to loan money to business, which means business they can’t pay their inventories and their payroll which means they lay more people off goes on and on--------we call this in economics vicious circle.

Without Vicious Circle, the banks could have maintained to hold its old toxic asset without affecting its ability to lend which caused the credit crunch.

That why now the USA Government have different programs in place to break the vicious circle Which includes.

Tax Cut to boost consumer spending
Foreclosure mitigation - Kuzuia house Foreclosure
Bank Bailout to boost Bank Liquidity
Small Business Loan Facilitation
787billion Stimulus Package to increase consumption
Public Private partnership kununua toxic asset so that increase lending

Kama tatizo lingekuwa ni Subprime mortgage peke yake ingekuwa rahisi sana , wangenunua tu hizo toxic asset off the bank balance sheet , But we are in deep rescission which need to restore the consumer confidence , that is the whole point of stimulating the global economy it means to incearease consumption!

Here you are explaining the causes of Global recession. I thought JM was trying to expalin the causes of the Financial Crisis. Of which High prices and Iraq War were not the causes! These are two completely different things-though related.
 
I think there are some people here who sound like the infamous US Blogger who has been very vocal against John Mashaka in Michuzi's blogspot. Listen, if you don't believe someone who is free entitled to his own opinion, just as you are to yours, you have the right to swicth him off and either don't listen to him or watch him! its that simple!

The way I understood it is that John Mashaka said that among many other reasons. Now, if you beg to differ then air your differences and mwaga sera zako unavyoelewa ili wadau tupate kujadili intelligently or even intellectually. Blatantly attacking the man does not make sense at all, and I think it just messes up others who might want to know a little more about the credit crunch or any other issue for that matter.

The Obvious?: Credit crunch explained

Credit Crunch Explained | Finance Blog

The Credit Crunch Explained: We review the roots of the global credit crunch.

YouTube - Credit crunch explained in simple terms
 
Mijadala mingi imeibuka na si jambo la ulazima uwe na degree ya uchumi ujue couses ya financial crisis duniani.Its a shame kwa msomi na mwanaharakati kama John mashaka kupotosha umma kuwa mtikisiko wa kiuchumi unaondelea sasa hivi umetokana na sababu moja wapo ikiwa vita ya Iraq na ongezeko la bei ya mafuta.

John mashaka kama msomi ni reflection ya wasomi wetu tunaowapa dhamana ya kutoa maamuzi sahihi kwa manufaa ya wananchi na matokeo yake ni kutumbukiza kwenye matatizo.
Nimemsikiliza kwenye interview yake na daily news nikasitika….is this the man called financial analyst? Muoneni muongo mkubwa wa wall street

Daily News | The leading Online news edition in Tanzania

This YOYO thing:
He is one of those academic frauds, he is using a very harsh language against country man yet he has no point or cause for the economic crisis. Mashaka has insight information, what does YOYO has? Hawa wachambuzi wa jamii forum mbuzi kweli.

It is good tumeanza kuwashitukiwa wakina Yoyo, wao ndo waliomfanya Mashaka kuwa Mungu mtu sasa. The guy is growing like a bush fire, and becoming unstopabble kuna na point zao feki, alafu YOYO hana aibu anatuma article kwa michuzi na ksuema mashaka is lying, basi huko katolewa mkuku na washabiki wa mashaka. Yoyo get your facts straight, nadhani ukiwa umeenda chuo kikuu, umesoma sociology

Naona wadau wengi wenye upeo wa uchambuzi wamemtosa kweli kweli, ni yeye na ndiye aliyemzushia January Makamba na Dr. shayo,
 
- Naomba kuuliza eti jamaa ni mbongo au Mkenya?

FMES!

Field Marshall,

Mkuu hata na wewe pia umelipanda hili Boti la YOYO, yaani mpaka mnamuita Mashaka Mkenya? Ndugu zangu manvuka mpaka. Huyu mtoto kasoma tu Kenya Secondary siyo Mkenya angekuwa mkenya ni kweli angediriki?

Huyu mtoto amezaliwa Tanzania, tena kakulia pale Oysterbay, lakini kasomea nje. Yaani mnanisikitisha sana, mtoto kama mashaka mmpe majina ya ajabu ajabu ajabu. Nadhani ugonjwa wa Mashaka umetua Tanzania na wengi kweli wataugua

Field Marshal, kwetu sisi tulio NY na wewe, tunakujua vizuri sana tena mtu mzima lakini sikujua wewe pia unawivu kiasi hichi hadi kumzushia mtoto mdogo kama yule. Pole Sana ndugu yangu lakini Heshima kwako, ila nadhani itabidi umuombe yesu.

Inabidi tutoe haki panapostahili hapa naona ni uharibifu tu, na ikibidi nitajivua uhanachama JF kutokana na Aibu zenu wakuu
 
Back
Top Bottom