Wall street financial analyst is lying

Mijadala mingi imeibuka na si jambo la ulazima uwe na degree ya uchumi ujue couses ya financial crisis duniani.Its a shame kwa msomi na mwanaharakati kama John mashaka kupotosha umma kuwa mtikisiko wa kiuchumi unaondelea sasa hivi umetokana na sababu moja wapo ikiwa vita ya Iraq na ongezeko la bei ya mafuta.

John mashaka kama msomi ni reflection ya wasomi wetu tunaowapa dhamana ya kutoa maamuzi sahihi kwa manufaa ya wananchi na matokeo yake ni kutumbukiza kwenye matatizo.
Nimemsikiliza kwenye interview yake na daily news nikasitika….is this the man called financial analyst? Muoneni muongo mkubwa wa wall street

Daily News | The leading Online news edition in Tanzania

Yo Yo Americans can do anything. Ni vigumu sana kuwa amini wamarekani. Kuna baadhi ya wataalamu waliokubuhu wanasema msukosuko wa uchumi wa dunia umesababishwa na unhealthy imbalance between surplus kubwa ya budget na forex waliayonayo wachina na baadhi ya nchi za Asia kwa upande mmoja na deficit kubwa sana ya budget waliyonayo wamarekani na baadhi ya West Europe economies. Sasa huwezi kujua wamarekani wana taka kuufanya nini uchumi wa China. Independent analysts wamesema kuwa wamarekani wanawaogopa sana wachina kiuchumi kwa sababu China is the biggest buyer of US securities na wachina wakisema wa withdraw investments zao kutoka securities za marekani uchumi wa US unaweza uka collapse. So anything can happen, remember americans are masters of the speculative economy, so they can do anything. They used the great depression after WWII to dominate the world economically.
 
Uwiano Maalumu
(Your criticism do not really reflect well with your name)
I guess it was because of your bias. How come I did not see any plagiarism in his New York time article. Do you really think January is so stupid to put an article that he has not written and not acknowledge the author. Do not distort the truth. January never plagiarized.

My statement might be weak, but I think you should learn to respect other people's views. You lack the wisdom to constructively criticize people, instead you attack people.

Dude chill, why are you bringing someones wages in this topic. I do not really think thats an issue. It is just very annoying when you just pick a line and twist it for your own good. No matter what your motive is, you sound bitter though. I think being annonymous does not give you a right to trash people unfairly. It speaks volumes about you when you unfairly distort the truth. Lay down your arguments against Mashaka, but not his career.

Well, if he is Kilaza as you state, I would like you to come out of that closet and speak out and be in the same spotlight. I am sure you are a very intelligent man and have a lot to offer. Mashaka has been more than in Michuzi's website for your info. You focus on his appearance on Daily news, but you do not mention the fact that he has even been in some very prominent US media. There is a difference btn Wall street, but that does not mean someone living in Charlotte could not work with Wall street. As a matter of fact he works for Wachovia, so most likely the job has some level of affiliation with Wall Street. Lets chill and support this young man.

Enough of this nonsense of badmouthing people. January, Mashaka, Iddy Mwanyoka, GT, Inno, Che Solasi, Chami Chachage, Anna Kilango, Neema Mziray, and and many other Tanzanians wherever they are, should really be encouraged instead of being doubted and unfairly criticized.
 
Articles za huyo January Makamba zilishagundulika kuwa ni za kuiba, na siku ile ile zilipoletwa JF na kuwa exposed alizitoa haraka sana kwenye blog yake. Fikiria presidential aid anaenda ku plagiarize articles za NY Times, anafikiri Wabongo bado tu wajiiiiiinga hatusomi magazeti. Utaonea wivu watu kama hao?

Na huyo John Mashaka unasema anatoka kwenye humble beginnings, hivi ni Watanzania wangapi walikwenda US na utajiri? Hiyo hoja chovu ni kama Pinda alivyojisifu yeye ni mwana wa Mkulima wakati viongozi wenzake nao ni hivyo hivyo.

Halafu kama umeishi huko US na unaijua ile nchi ungefahamu kwamba huwezi kumuonea wivu mtu kama Mashaka. Mtu mwenye mafanikio ya kutengeneza $ 40,000 $ 60,000 $80,000 wote wako kwenye boti lile lile tu. Tena anaetengeneza $ 100,000 ndio unakuta ana mi stress ya mikopo ya nyumba na magari na malezi na ma baby sister na ma property taxes na ma home insurance na mi bills lukuki. Na kawaida huyu mwananchi wa $ 50,000 na wa $90,000 huwezi hata kujua tofauti. Na wala hata hawaogopani kwa sababu hata hujui mwenzio anatengeneza kiasi gani. Magari ya kukopa kila mtu anaweza kuwa nayo, nyumba huwezi kujua mtu ana renti au kanunua. Kununua kwenyewe unalipia renti miaka thelathini ndio inakuwa yako. Unamwonea mtu wivu na mafanikio ya kazi ya Wall Street ya North Carolina?

Yule Mashaka hana chochote cha kuonewa wivu. Ukimsikia anaongea tu unajua jamaa ni mjomba ni mwongo ni kilaza, aende akamdanganye Michuzi ndio labda hajui tofauti ya Wall Street na Charlotte offices, na financial analyst na paper pusher, na investment banker na bank teller. Mashaka ni wa kuonewa wivu? Wivu wa spotlight? Unafikiri kila mtu ana mcheche wa kutokea kwenye vi website vya Daily News na vya Michuzi?

Hahahahaaa....Salum aka Salim aka......una mambo braza kaka.
 
That was funny. I am not sure why man are so sensitive about it. It is genetics, why worry.
Ciao
 
1.
CCMAsili;Field Marshall,
Mkuu hata na wewe pia umelipanda hili Boti la YOYO,

- Hapana hapa JF kila member anajua kua ninasaifiri na boti langu, hata siku moja sijawahi kupanda boti la member mwingine, kwa hiyo hapa huna hoja. Yoyo ameweka hoja zake, kama unazipinga zijibu hoja kwa hoja, sio kutumia viroja na kujaribu kutuchonganisha.

2.
yaani mpaka mnamuita Mashaka Mkenya? Ndugu zangu manvuka mpaka. Huyu mtoto kasoma tu Kenya Secondary siyo Mkenya angekuwa mkenya ni kweli angediriki?Huyu mtoto amezaliwa Tanzania, tena kakulia pale Oysterbay, lakini kasomea nje.

- Hapa hasa ndio jibu la swali langu, ungesimama hapa basi ingekua ni jawabu zuri sana na linaloridhisha, sasa kwenda on and on and on ina maana moja tu nayo ni kwamba huliamini jibu lako, yaani unajishitukia mwenyewe, sasa sisi watazamaji tufanye nini kama sio kukushitukia?

3.
Yaani mnanisikitisha sana, mtoto kama mashaka mmpe majina ya ajabu ajabu ajabu. Nadhani ugonjwa wa Mashaka umetua Tanzania na wengi kweli wataugua

- Labda tungeanza kumonea wivu Dogo Thabeet ambaye ni for real, kabla ya huyu jamaa yako, ambaye kwa maneno yako ya wasi wasi, ni clear kwamba huna uhakika na uraia wake

4.
Field Marshal, kwetu sisi tulio NY na wewe,

- Hapa JF hatufahamiani, mimi sikujui na wewe hunijui wala sijawahi kukuona na wala hujawahi kuniona, na besides location zetu hazina anything to do na mawazo yetu, jaribu kuheshimu sheria za JF kwa kuto-speculate location za members wengine hapa usiowajua.

5.
tunakujua vizuri sana tena mtu mzima lakini sikujua wewe pia unawivu kiasi hichi hadi kumzushia mtoto mdogo kama yule. Pole Sana ndugu yangu lakini Heshima kwako, ila nadhani itabidi umuombe yesu.

- Ndani ya hii forum tuna watuwazima tu hatuna wanaonyonya maziwa ya mama, unamzushia mtu mwingine na wivu kama una njaa, mimi sina njaa, nilichouliza ni kama jamaa ni Mbongo au Mkenya, sasa wewe ulichotakiwa ni kujibu yes au hapana, yesu has nothing to do na swali langu kuhusu uraia wa jamaa, jaribu kuheshimu dini za watu maana huwezi kumtaja taja Yesu, mahali pasipohusika ni kukosa adabu kwa dini za wenzio.

6.
Inabidi tutoe haki panapostahili hapa naona ni uharibifu tu, na ikibidi nitajivua uhanachama JF kutokana na Aibu zenu wakuu

- Swali nilokuuliza ni dogo sana, je huyu jamaa yako ni mbongo au Mkenya?

FMES
 
Articles za huyo January Makamba zilishagundulika kuwa ni za kuiba, na siku ile ile zilipoletwa JF na kuwa exposed alizitoa haraka sana kwenye blog yake. Fikiria presidential aid anaenda ku plagiarize articles za NY Times, anafikiri Wabongo bado tu wajiiiiiinga hatusomi magazeti. Utaonea wivu watu kama hao?

Na huyo John Mashaka unasema anatoka kwenye humble beginnings, hivi ni Watanzania wangapi walikwenda US na utajiri? Hiyo hoja chovu ni kama Pinda alivyojisifu yeye ni mwana wa Mkulima wakati viongozi wenzake nao ni hivyo hivyo.

Halafu kama umeishi huko US na unaijua ile nchi ungefahamu kwamba huwezi kumuonea wivu mtu kama Mashaka. Mtu mwenye mafanikio ya kutengeneza $ 40,000 $ 60,000 $80,000 wote wako kwenye boti lile lile tu. Tena anaetengeneza $ 100,000 ndio unakuta ana mi stress ya mikopo ya nyumba na magari na malezi na ma baby sister na ma property taxes na ma home insurance na mi bills lukuki. Na kawaida huyu mwananchi wa $ 50,000 na wa $90,000 huwezi hata kujua tofauti. Na wala hata hawaogopani kwa sababu hata hujui mwenzio anatengeneza kiasi gani. Magari ya kukopa kila mtu anaweza kuwa nayo, nyumba huwezi kujua mtu ana renti au kanunua. Kununua kwenyewe unalipia renti miaka thelathini ndio inakuwa yako. Unamwonea mtu wivu na mafanikio ya kazi ya Wall Street ya North Carolina?

Yule Mashaka hana chochote cha kuonewa wivu. Ukimsikia anaongea tu unajua jamaa ni mjomba ni mwongo ni kilaza, aende akamdanganye Michuzi ndio labda hajui tofauti ya Wall Street na Charlotte offices, na financial analyst na paper pusher, na investment banker na bank teller. Mashaka ni wa kuonewa wivu? Wivu wa spotlight? Unafikiri kila mtu ana mcheche wa kutokea kwenye vi website vya Daily News na vya Michuzi?

Uwiano Maalum,
Field Marshall ES
YOYO.

Mimi kama mtanzania, nadhani nimechukizwa mno na hii tabia ya hawa ndugu zetu ambao siku zote wanajiona kwamba ndio Mungu watu. guys you must stop this insanity; Mnawaombea hadi wenzenu kupoteza hajira kama siyo uchawi ni kitu gani? Wamesoma unadhani wakipoteza kazi hawatapati kazi zingine?

Nadhani muda umefika kwenu either kunyamaza au kunyamazishwa. You must be some of those wazamiaji ambao maisha imewashinda matokeo yake mmebakia na hasira za kujadili watu. Hapa au kwenye hii mada January Makamba ameingiaje?

Yoyo wewe unafanya kazi gani na nani anakufahamu? Field Marshal na Heshima yako Unafanya kazi gani, Uwiano na wewe unafanya kazi gani. Mkishindwa Maisha na kuendesha Lori rudini makwenu. Mkishindwa kuosha wazee, rudini mkapumzike makwenu. Hacheni hizi tabia za kimbea na majungu

Mlikuwa mnamsengenya mashaka ambaye pamoja na umri mdogo, kawashinda kwa mbali mizee mizima. Sasa January kaingiaje humu, kumjadili mashaka kumeingiaje kwa January au Dr. Shayo?

January mnamfahamu kwa Jina tena anakofanya kazi, Hebu kama mna ushahidi kwamba anaiba articles, leteni huo ushahidi. Bring Evidence ! You are people hiding under the cover of darkness with pants half naked hitting key boards like fools, you may think you are not known but you are known clearly well. Field Marshall, who doesnt know you? what better do you have better than January? or you want us to start talking about you too? how would you feel?

Yes, Janaury works for the President, he is well known and a very brilliant guy. What is your main intent of discussing him? He is very well educated with valid credentials, what do you have? Vyeti vilivyounganishwa? January is only 32 and you; meaning has a long and a healthy career ahead.

Dr Shayo Maybe is approaching 40, but atleast we know his name, he is teaching at a university, he is consulting extensively, he is using his real names. anawaelemisha, na kama mnajiona mko so clever kwa nini mnasoma vitu vyake, mkiwa na akili kwa nini mna hasira za ajbu na wenzenu?

Back to Mashaka, the so called Yoyo a Looser, brought some undercooked paper, calling Mashaka a liar. Mashaka is only 31 if not 30, he works for one of the major investment banks, extremely brilliant and well educated. whether he is a teller in carolina or sweeper in NY. That is his job, he is proud to have a job and helping his people . He has never came to you to beg

Mybe he is the smartest teller to have ever lived, yuko BBC, Yuko CNBC,Yupo Business Week Nyie mko wapi?

Jamii Forums mnajadili watu.

Uwiano maalum mm nakuonea huruma jinsi unavyojidhalilisha, kwani Kazi za investment Banking zimefungwa sehemu moja? Hebu kasoma hata simu moja kuhusu Investment Banking jobs au "Capital Markets" Nadhani wwwe ni ignorant kwa kifupi. Limbukeni

What I can tell you, majitu kama YOYO I know for Sure, you can never even be close to Mashaka and January, not even an inch close, na hata wew unajua hilo ndo maana unaamua kuwaita kila aina ya majina. Na huyu jini Uwiano Maalumu azidi tu kuwiana. Wivu wake dhidi ya January ndio chanzo cha uchizi wake.

Field Marshall anadiriki kuuliza mtoto aliyezaliwa Tanzania ikiwa ni Mkenya wewe ni wa wapi? Field Marshall wewe ni Mnyarwanda? au Mgogo? ukishajibu hilo swali basi swala la Mashaka utakuwa umelijibu mwenyewe. Swali lako la Mwisho, Je tuanze kumjadili mkeo anavyogawa TIGO?

Yoyo, na wewe unadhani siku zako za Udokozi zimesahaulika?

Machungu mnayoyasikia ndo yale wenzenu mnaowajadili wanayoyasikia. Au ndo mnajaribu kuwavunja moyo ili ndoto zao zisitimie?

Hawa watoto ni nyinyi ndo mnaozidisha umaarufu wao kwa umbea wenu na majungu mliyonayo. Sijaona kati yao hata mmoja anayejigamba, January hajajigamba. Mashaka ni mstaarabu mno. Nyie ndo wenye majigambo, arrogant for nothing, sore losers. na kama Sikosei mliingia majuu kupitia posta ya zamani ndo maana mna machungu na wenzenu. Mnazusha kweli

Nadhani hii forum imeanzishwa kwa ajili ya mijadala ya kijamii siyo kujadili watu. Mkishindwa kujadili mada zao, basi rudini nursing homes mkamalize kazi zenu, hacheni chuki binafsi kwa hawa watoto. they are real people, and real humans using their real identities, unlike you calling yourselves with devilish names

Lazima tusitishe hii tabia chafu ya Usenene. Nami pia najificha nyuma ya computer jinsi mnavyojificha kuwachafua wenzenu

Lengo langu kubwa ni kukataza hii tabia ya kujadili watu badala ya mada zao. Jifikirieni nyie wenyewe ikiwa mtu atawavamia na kuanza kuwajadili kila siku, au mnadhania kuanza kuandika majina yenu humu ndani ni kazi ngumu hadi na wake zenu mnavyowaandika wengine?

Tuseme hawa vijana hawana lolote la maana, basi tuleteeni la maana nasi tuone
 
Last edited:

Lengo langu kubwa ni kukataza hii tabia ya kujadili watu badala ya mada zao.
Jifikirieni nyie wenyewe ikiwa mtu atawavamia na kuanza kuwajadili kila siku, au mnadhania kuanza kuandika majina yenu humu ndani ni kazi ngumu hadi na wake zenu mnavyowaandika wengine?

- Mkuu chinga, kwa kawaida huwa ninakuheshimu sana kwa sababu wakulu wengi unaoshirikiana nao ni washikaji zangu, na bado nitaendeleza hiyo heshima na nitajaribu kukujibu maswali yako machache:- mimi ni ex-baharia, nina degree mbili za US, na ninamiliki kampuni yangu ndogo ya Tractor & Trailers, na moja kati ya hizo Trailers ninalikung'uta mwenyewe.

- Sina noma na Januari kwa sababu ni mshikaji wangu wa karibu sana, Mashaka sio kwa karibu sana, lakini ninamjua demu wake mmoja kwa karibu sana, kwamba nina wivu hapana, kwamba nina njaa ya kumuonea wivu hapana. Mke wangu anafahamika na society nzima ninapoishi kama mimi ninavyofahamika, unaweza kusema anything you want on her wala sitajali maana the record iko clear who she is, kwanza utachekwa mkuu, na mimi mwenyewe kama unamjua mwanamke yoyote yule anayenihusu nje ya mke wangu usiwe na wasi mtaje, wanaonifahamu vizuri watakusaidia.

- Nina swali moja tu nililouliza nalo ni kama jamaa yako ni Mbongo au Mkenya kwa sababu niliwahi kuwasikia hawa mademu wakiongea kuhusu hiyo ishu, sasa sina uhakika na hilo tu ndilo swali nililouliza, ukiweza nijibu au kama huwezi waachie wanaoweza kujibu na hata kama hakuna jibu hakuna noma kwangu, mimi baharia siwezi kuwa na noma na huyu Dogo kwa sababu na mimi ni mhangaikaji kama yeye.

Na heshima yangu kwako inaendelea pale pale, maana washikaji wako ni wangu.

Respect.

FMES!
 
Ligi kuu
 
ChingaMzalendo said:
Uwiano na wewe unafanya kazi gani.

Uwiano sasa hivi kwa mujibu wa redio mbao hana kazi. Anaishi kwa kutegemea severance pay na hiyo iki run out ata file unemployment. Pitiful!!

[Uwiano maalum mm nakuonea huruma jinsi unavyojidhalilisha, kwani Kazi za investment Banking zimefungwa sehemu moja?

Heheheheee...yeah...mwulize huyo. Mwulize yuko kwenye fani gani...

Nadhani wwwe ni ignorant kwa kifupi. Limbukeni

Wala hujakosea. Ni mjinga na hajui kwamba ni mjinga na ana kichwa kigumu kweli kweli.

Na huyu jini Uwiano Maalumu azidi tu kuwiana. Wivu wake dhidi ya January ndio chanzo cha uchizi wake.

Duh...imetosha sasa...nadhani amepata ujumbe licha ya kuwa na kichwa kigumu kama jiwe!!
 
- Mkuu chinga, kwa kawaida huwa ninakuheshimu sana kwa sababu wakulu wengi unaoshirikiana nao ni washikaji zangu, na bado nitaendeleza hiyo heshima na nitajaribu kukujibu maswali yako machache:- mimi ni ex-baharia, nina degree mbili za US, na ninamiliki kampuni yangu ndogo ya Tractor & Trailers, na moja kati ya hizo Trailers ninalikung'uta mwenyewe.

- Sina noma na Januari kwa sababu ni mshikaji wangu wa karibu sana, Mashaka sio kwa karibu sana, lakini ninamjua demu wake mmoja kwa karibu sana, kwamba nina wivu hapana, kwamba nina njaa ya kumuonea wivu hapana. Mke wangu anafahamika na society nzima ninapoishi kama mimi ninavyofahamika, unaweza kusema anything you want on her wala sitajali maana the record iko clear who she is, kwanza utachekwa mkuu, na mimi mwenyewe kama unamjua mwanamke yoyote yule anayenihusu nje ya mke wangu usiwe na wasi mtaje, wanaonifahamu vizuri watakusaidia.

- Nina swali moja tu nililouliza nalo ni kama jamaa yako ni Mbongo au Mkenya kwa sababu niliwahi kuwasikia hawa mademu wakiongea kuhusu hiyo ishu, sasa sina uhakika na hilo tu ndilo swali nililouliza, ukiweza nijibu au kama huwezi waachie wanaoweza kujibu na hata kama hakuna jibu hakuna noma kwangu, mimi baharia siwezi kuwa na noma na huyu Dogo kwa sababu na mimi ni mhangaikaji kama yeye.

Na heshima yangu kwako inaendelea pale pale, maana washikaji wako ni wangu.

Respect.

FMES!

Sawa Mkuu, Field Marshall. Ngoja tuyamalize ki-hutu uzima. Ila inaumiza sana jinsi watanzania tusivyopenda maendeleo ya wengine. Hawa ni watoto wadogo sana ambao wanajituma kuihamasisha jamii matokeo yake wanitwa majina ya kila aina. Yoyo na Uwiano lazima watoe uthibitisho kuhusu shutuma zao

Huyu Yoyo Anadhania hatumjui, katuma article kwa Michuzi akidhania kwamba asingejulikana, baadae kaja huku kusambaza uozo dhidi ya Janauary na Mashaka, na hata Dr. Shayo, Uwiano ndo usiombe namuonea huruma.

Hawa watoto wote ni watoto wa Kitanzania, walio zaliwa Tanzania. Heshima kwako Field Marshall. Jina lako tumelifuta kutokana na melezo yako ya hutu uzima.
 
Hii ni celebrity forums..kwa maana halisi maisha ya watu yanajadiliwa..asiyetaka ajinyonge.
 
ChingaMzalendo and all those who where disturbed with the constant distortion about other people, Asanteni. It is so inapproapriate to attack people with baseless evidence. I hope this will be taken as a lesson. Lets support one another. I think you are better off asking people how they got there. They might enlight you and teach you a whole lot. I personally never write a whole lot on this forum, but I felt the need to speak out about these unfair criticisms against Mashaka and January. Both of them have lots to offer and share with all of us here.

Thanks.
 
January Makamba ameingiaje? January ameingizwa humu na mpambe wa Mashaka, Kilandu, CCMasili (msome hapa na hapa). Tuwaulize nyinyi mliomchomeka hapa kumpamba.

January ni plagiarist, ni kilaza, ndio maana wala hata hakubisha akaondoa haraka iwezekanavyo zile articles alizokuwa amezibandika kama zake, akazirudisha na attribution ya NY Times siku ile alipoanikwa hapa JF. Na athubutu kuzirudisha kwenye blog yake na jina lake kama mwandishi. Muulizeni kwa nini aliondoa jina lake?

Kitu kingine January amefanya baada ya kuwa exposed hapa siku zile ni kuondoa access kwenye profile za wachangiaji wake, kama Waziri mstaafu Diallo ambae alitia aibu jinsi alivyo ji introduce occupation yake. Sasa hivi huwezi kuona profile/wasifu wa wachangiaji. Ukibonyeza jina inakwambia profile not available. Naona wamefanya mabadiliko. Wanaficha profile baada ya kukosolewa na JF. Umeshaona wapi watu wanaanzisha blog halafu wanaficha profile zao? Aibu tupu, vilaza, wezi wakubwa. Nadhani Waziri aliomba January amtoe, au January aliamua kuwahi kumsitiri Waziri Diallo. One or the other. Sasa watu kama January, Diallo, Shayo, Mashaka, watupu kama hawa ni wa kuwaonea wivu?

Professor Shayo nae mnamleta humu nae, duuu, maskini ya Mungu. Jamaa alijifanya ni expert wa masuala ya historia ya Valentine, akaandika article kwa Michuzi. Akapigiwa makofi na wasomaji wa Michuzi, kumbe article yenyewe kaiba nzima nzima halafu kachomekea vineno "Tanzania" humo ndani ionekane kama ni article ya Kibongo vile, kumbe kaiba mitandaoni. Halafu akijua ana dili na watu gani akasema hii article nimewaandikia wasomaji wa Michuzi. You know how wachangiaji wa Michuzi walivyo wepesi wepesi. JF watu kama Shayo wanajua hawathubutu kusogelea. Professor mwizi.

John Mashaka, duuu, huyu John Mashaka mimi nadhani kuna sababu ya wachangiaji kuuliza kama ni Mbongo huyu mtu. Ana sound kama mjomba. Anadai ni investment banker wa Wall Street. Hakuna Wall Street North Carolina. Ni mwongo, kilaza, mjomba. Eti hajaomba mtu msaada? Alishatembeza vibakuli kwa wananchi, Charlotte, kupitia foundation yake halafu akaongopa kuhusu usajili wa foundation yake kwenye interview Daily News mwaka jana. Anaficha nini, au ni mwizi?

Ni vizuri sasa mmeacha kung'ang'ania kwamba jamaa yuko Wall Street. Hakuna Wall Street North Carolina, ni mwongo kilaza. Akamdanganye Michuzi.
 
Last edited by a moderator:
Hii ni celebrity forums..kwa maana halisi maisha ya watu yanajadiliwa..asiyetaka ajinyonge.

Basi kama ni kujinyonga kaanze wewe, upuuzi hatutaki mjadili mtu ukione. Jadili mada zao siyo umbea mnaotuchosha nao. Mkiwa wasomi kafundishe chuo kikuu au fanyeni research kwenye fani zenu siyo research za umbea
 
Bua ha ha ha

Na mtapasuka mwaka huu. Sasa since umenipa motive, I will do my best to kuonesha ukilaza wa hawa mabosi wako.

Watch this space.
 
January Makamba ameingiaje? January ameingizwa humu na mpambe wa Mashaka, Kilandu, CCMasili (msome hapa na hapa). Tuwaulize nyinyi mliomchomeka hapa kumpamba.

January ni plagiarist, ni kilaza, ndio maana wala hata hakubisha akaondoa haraka iwezekanavyo zile articles alizokuwa amezibandika kama zake, akazirudisha na attribution ya NY Times siku ile alipoanikwa hapa JF. Na athubutu kuzirudisha kwenye blog yake na jina lake kama mwandishi. Muulizeni kwa nini aliondoa jina lake?

Kitu kingine January amefanya baada ya kuwa exposed hapa siku zile ni kuondoa access kwenye profile za wachangiaji wake, kama Waziri mstaafu Diallo ambae alitia aibu jinsi alivyo ji introduce occupation yake. Sasa hivi huwezi kuona profile/wasifu wa wachangiaji. Ukibonyeza jina inakwambia profile not available. Naona wamefanya mabadiliko. Wanaficha profile baada ya kukosolewa na JF. Umeshaona wapi watu wanaanzisha blog halafu wanaficha profile zao? Aibu tupu, vilaza, wezi wakubwa. Nadhani Waziri aliomba January amtoe, au January aliamua kuwahi kumsitiri Waziri Diallo. One or the other. Sasa watu kama January, Diallo, Shayo, Mashaka, watupu kama hawa ni wa kuwaonea wivu?

Professor Shayo nae mnamleta humu nae, duuu, maskini ya Mungu. Jamaa alijifanya ni expert wa masuala ya historia ya Valentine, akaandika article kwa Michuzi. Akapigiwa makofi na wasomaji wa Michuzi, kumbe article yenyewe kaiba nzima nzima halafu kachomekea vineno “Tanzania” humo ndani ionekane kama ni article ya Kibongo vile, kumbe kaiba mitandaoni. Halafu akijua ana dili na watu gani akasema hii article nimewaandikia wasomaji wa Michuzi. You know how wachangiaji wa Michuzi walivyo wepesi wepesi. JF watu kama Shayo wanajua hawathubutu kusogelea. Professor mwizi.

John Mashaka, duuu, huyu John Mashaka mimi nadhani kuna sababu ya wachangiaji kuuliza kama ni Mbongo huyu mtu. Ana sound kama mjomba. Anadai ni investment banker wa Wall Street. Hakuna Wall Street North Carolina. Ni mwongo, kilaza, mjomba. Eti hajaomba mtu msaada? Alishatembeza vibakuli kwa wananchi, Charlotte, kupitia foundation yake halafu akaongopa kuhusu usajili wa foundation yake kwenye interview Daily News mwaka jana. Anaficha nini, au ni mwizi?

Ni vizuri sasa mmeacha kung’ang’ania kwamba jamaa yuko Wall Street. Hakuna Wall Street North Carolina, ni mwongo kilaza. Akamdanganye Michuzi.

Aisee nataka kuwanunulia wapenzi wangu wawili vi gadget...unashauri niwanunulie nini? bluetooth...?....walkman?.....au niwapeleke Sin City
 
January Makamba ameingiaje? January ameingizwa humu na mpambe wa Mashaka, Kilandu, CCMasili (msome hapa na hapa).

January ni plagiarist, ni kilaza, ndio maana wala hata hakubisha akaondoa haraka iwezekanavyo zile articles alizokuwa amezibandika kama zake, akazirudisha na attribution ya NY Times siku ile alipoanikwa hapa JF. Na athubutu kuzirudisha kwenye blog yake na jina lake kama mwandishi. Muulizeni kwa nini aliondoa jina lake?

Kitu kingine January amefanya baada ya kuwa exposed hapa siku zile ni kuondoa access kwenye profile za wachangiaji wake, kama Waziri mstaafu Diallo ambae alitia aibu jinsi alivyo ji introduce occupation yake. Sasa hivi huwezi kuona profile/wasifu wa wachangiaji. Ukibonyeza jina inakwambia profile not available. Naona wamefanya mabadiliko. Wanaficha profile baada ya kukosolewa na JF. Umeshaona wapi blogger anaficha profile yake? Aibu tupu, vilaza, wezi wakubwa. Nadhani Waziri aliomba January amtoe, au January aliamua kuwahi kumsitiri Waziri Diallo. One or the other. Sasa watu kama January, Diallo, Shayo, Mashaka, watupu kama hawa ni wa kuwaonea wivu?

Professor Shayo nae mnamleta humu nae, duuu, maskini ya Mungu. Jamaa alijifanya ni expert wa masuala ya historia ya Valentine, akaandika article kwa Michuzi. Akapigiwa makofi na wasomaji wa Michuzi, kumbe article yenyewe kaiba nzima nzima halafu kachomekea vineno “Tanzania” humo ndani ionekane kama ni article ya Kibongo vile, kumbe kaiba mitandaoni. Halafu akijua ana dili na watu gani akasema hii article nimewaandikia wasomaji wa Michuzi. You know how wachangiaji wa Michuzi walivyo wepesi wepesi. JF watu kama Shayo wanajua hawathubutu kusogelea. Professor mwizi.

John Mashaka, duuu, huyu John Mashaka mimi nadhani kuna sababu ya wachangiaji kuuliza kama ni Mbongo huyu mtu. Ana sound kama mjomba. Anadai ni investment banker wa Wall Street. Hakuna Wall Street North Carolina. Ni mwongo, kilaza, mjomba. Eti hajaomba mtu msaada? Alishatembeza vibakuli kwa wananchi, Charlotte, kupitia foundation yake halafu akaongopa kuhusu usajili wa foundation yake kwenye interview Daily News mwaka jana. Anaficha nini, au ni mwizi?

Ni vizuri sasa mmeacha kung’ang’ania kwamba jamaa yuko Wall Street. Hakuna Wall Street North Carolina, ni mwongo kilaza. Akamdanganye Michuzi.

Toka zako hapa hauna kazi ndo maana unafuatilia maisha za watu subiri yako sasa. Umechokoza pabaya hiyo unathibitishiwa.... mbuzi wa jirani. Je unafahamu kwamba unaowasema wote wamekushinda?

January kakushinda mara Ngapi? Dr. Shayo Kakushinda mara Ngapi, na Mashaka Je? Kwa hiyo mashaka unamhukumu kwa sababu ya Ongea Yake.kwa taarifa yako, huyo mtoto kazaliwa tanzania lakini kasoma nje. Je unajua maana ya Foundation? Limbukeni

Unamsema January wakati yeye anazunguka dunia na Rais, Unamsema Mashaka wakati yeye anasafiri first class kwenye miji mikuu ya dunia na kukutana na ma CEO's. Unamsema Shayo wakati yeye ana fanya consulting work na mashirika makubwa?

Shayo anakodiwa na wizara kibao kuwafanyia kazi, makampuni makubwa ya uingereza na hata ya kimataifa yanamkodi. wakati wewe hata jirani yako hataki kuiona sura yako. Mbuzi mbea wee

Wewe unabaki kwenye Jamii Forum mchana kutwa na maasira kutukana watu, kumbafu. Heri na huyo mashaka ana Foundation, wewe una nini? Chama cha Utapeli kisichosajiliwa?

Limbukeni , Foundation uanzishwa na watu binafsi, to further their cause, and in most cases are self financed. Can you finance one on your own? Kama mama yako alimtolea mashaka donation basi mwambie atoe risiti

By the way Unafanya kazi gani? umechoka kuosha makalio ya wazee rudi kwenu hachana na maisha ya watu. Hasira na chuki za nini? wewe una ona raha kukaa kuanza kujadili watu, heri hata ungeenda kwa hao vijana watakusaidia. nina uhakika mashaka anaweza kukweka darasa bila ubishi. january anakufundisha bila kubisha. Nyie ndo wanga wanaotembea usiku na majina yasiyojulikana
 
Back
Top Bottom