GE2025 Waliozawadiwa Ubunge 2025 mbona hawa furaha?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,654
Reaction score
59,078
Wagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie.

Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana.

Au nafsi zinawasuta?

Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka?

Uzzuri hakuna Mbunge wa Dar ambaye hajafiwa..

Tunacheza ngoma moja. Mlijua wataksokufa hahawahusu
 
Huwezi kushiriki kuua watu wengi kiasi kile ukabaki salama. Wabunge ni kama washiriki wa haya mauaji sababu uchaguzi ulikuwa kiini macho, uhuni.

Hili ni janga kubwa kuliko yote toka Taifa hili lizaliwe lililotengenezwa na binadamu kwa makusudi kabisa bila sababu yoyote ya msingi kufanya hivyo.
 
Tatizo lako ni kuleta habari za kizushi na za umbea zisizojenga sasa habari kama hii inamaana gani kwa jamii wewe umeziona wapi hizo nyuso zooote za hao wabunge??acha uporoshaji bwana
 
Wagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie.

Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana.

Au nafsi zinawasuta?

Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka?

Uzzuri hakuna Mbunge wa Dar ambaye hajafiwa..

Tunacheza ngoma moja. Mlijua wataksokufa hahawahusu
Zawadi iliyolowa damu haiwezi kuwa na furaha!
 
Wafurahie vijana wawakate vichwa?
Jana nimekutqna na diwani wa kata yangu amedhoofu kwa hofu anamwangalia kila mtu Kama mvamizi wake ila nafurahia waishi maisha ya hivi maana walikuwa na sifa Sana mara wapo juu ya malorii wanaturingishia ,Mara sijui wapo kwenye nini ya mama wanapqnda tubaiskeli twao wanaendesha kwa madoido yaani ili tuumie Sasa kwisha kiburi na majivuno yao .

Tubaiskeli sidhani Kama hawatatubadili rangi maana kutuendesha muda huu inakutaka uwe na roho ngumu na uwe umeamua kuwa liwalo na liwe
 
samuya mwenyewe angekuwa anafanya mambo kwa uhuru wake bila uangalizi na ukaguzi wa kila anachokula au kunywa, angejiua nakuapia, anajitutumua tu ila, she is burning inside.
Sidhani. Yule sio binadamu nahisi. Anaonekana ndio wale mama wa kambo wanaowekea sumu watoto wafe au kuwapiga vibaya na kuwadhuru. Hana utu hata kidogo.
 
Huwezi kushiriki kuua watu wengi kiasi kile ukabaki salama. Wabunge ni kama washiriki wa haya mauaji sababu uchaguzi ulikuwa kiini macho, uhuni.

Hili ni janga kubwa kuliko yote toka Taifa hili lizaliwe lililotengenezwa na binadamu kwa makusudi kabisa bila sababu yoyote ya msingi kufanya hivyo.
Tangu na kabla ya uhuru nchi yetu haijawahi kushuhudia mauaji makubwa kiasi hiki
 
Wagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie.

Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana.

Au nafsi zinawasuta?

Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka?

Uzzuri hakuna Mbunge wa Dar ambaye hajafiwa..

Tunacheza ngoma moja. Mlijua wataksokufa hahawahusu
Kwani Ponjoro wa Kinondoni ame guswa na hao wengine.
 
Wagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie.

Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana.

Au nafsi zinawasuta?

Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka?

Uzzuri hakuna Mbunge wa Dar ambaye hajafiwa..

Tunacheza ngoma moja. Mlijua wataksokufa hahawahusu
Wanakuja kuwa face vipi so called wapiga kura?
waanzia wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom