GE2025 Waliozawadiwa Ubunge 2025 mbona hawa furaha?

GE2025 Waliozawadiwa Ubunge 2025 mbona hawa furaha?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tatizo lako ni kuleta habari za kizushi na za umbea zisizojenga sasa habari kama hii inamaana gani kwa jamii wewe umeziona wapi hizo nyuso zooote za hao wabunge??acha uporoshaji bwana
Sawa mkuu. Ila usiwe unapost siku kichwa chako kimecchanganyikiwa. Unajidhalilisha
 
Tangu na kabla ya uhuru nchi yetu haijawahi kushuhudia mauaji makubwa kiasi hiki
Vp kuhusu uharibifu wa Mali halali za wananchi, uharibifu wa Mali zilizojengwa kwa Kodi zetu tunaotembeza karanga barabarani na uporaji (dhulma) kubwa zilizofanywa kwa watu wasio na hatia vimewahi kutokea tangu taifa hili liundwe au kabla?!!!! Tuseme na hilo bs, tusiwe WANAFIKI
 
Wagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie.

Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana.

Au nafsi zinawasuta?

Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka?

Uzzuri hakuna Mbunge wa Dar ambaye hajafiwa..

Tunacheza ngoma moja. Mlijua wataksokufa hahawahusu
Supporting a system of murderers it will cost them. They need to resign and stand with the people.
 
Kama ameangalia zile video za mauaji ya kikatili hata clip 2 tu

Na bado amekaza fuvu basi hana roho ngumu mno.
 
Arusha ndo naskia kuna mkakat..hao madiwan na wabunge kazi wanayo...ni mwendo wa kuzipigq moto nyumbaza tu..huku mwanza naona ni kama wamemqliza cz hao madiwan walikionq cha moto
 
Huwezi kushiriki kuua watu wengi kiasi kile ukabaki salama. Wabunge ni kama washiriki wa haya mauaji sababu uchaguzi ulikuwa kiini macho, uhuni.

Hili ni janga kubwa kuliko yote toka Taifa hili lizaliwe lililotengenezwa na binadamu kwa makusudi kabisa bila sababu yoyote ya msingi kufanya hivyo.
SAHIHI..ni bora ukose vyote ila uwe upstairs vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom