Jamani kumekuwa na mivutano mingi sana kuhusu michepuko kwamba ni dili ama sio dili.
Wakati watu wanasisitiza kubaki njia kuu wengine wanadai njia kuu kuna foleni na kwamba wao sio malori hata wabaki njia kuu. Sasa nafasi hii inakwenda kwa waliowahi kufumaniwa tuu, wote wanawake kwa wanaume uwe ulifumaniwa na mke, mume au mtoto wa mtu.
Watupe uzoefu kidogo wa kilichowakuta halafu mwishoni wategue kitendawili hiki kwamba ni dili au siyo.
Wengine ambao hatujafumaniwa bado uwe una m/michepuko lakini arobaini yako bado haijafika, uwe huna lakini unatamani na uko mbioni kutafuta au huna na hutamani, tutapata nafasi kuchangia kesho leo tuwaachie wenzetu watupe uzoefu.