Waliowahi kufumaniwa watupe ushauri

lsn

Member
Jul 22, 2013
57
14
Jamani kumekuwa na mivutano mingi sana kuhusu michepuko kwamba ni dili ama sio dili.

Wakati watu wanasisitiza kubaki njia kuu wengine wanadai njia kuu kuna foleni na kwamba wao sio malori hata wabaki njia kuu. Sasa nafasi hii inakwenda kwa waliowahi kufumaniwa tuu, wote wanawake kwa wanaume uwe ulifumaniwa na mke, mume au mtoto wa mtu.

Watupe uzoefu kidogo wa kilichowakuta halafu mwishoni wategue kitendawili hiki kwamba ni dili au siyo.

Wengine ambao hatujafumaniwa bado uwe una m/michepuko lakini arobaini yako bado haijafika, uwe huna lakini unatamani na uko mbioni kutafuta au huna na hutamani, tutapata nafasi kuchangia kesho leo tuwaachie wenzetu watupe uzoefu.
 
the payback..
attachment.php
images
 
Attachments

  • 4195940_2011_160.jpg
    4195940_2011_160.jpg
    37.9 KB · Views: 2,837
Jamani kumekuwa na mivutano mingi sana kuhusu michepuko kwamba ni dili ama sio dili.

Wakati watu wanasisitiza kubaki njia kuu wengine wanadai njia kuu kuna foleni na kwamba wao sio malori hata wabaki njia kuu. Sasa nafasi hii inakwenda kwa waliowahi kufumaniwa tuu, wote wanawake kwa wanaume uwe ulifumaniwa na mke, mume au mtoto wa mtu.

Watupe uzoefu kidogo wa kilichowakuta halafu mwishoni wategue kitendawili hiki kwamba ni dili au siyo.

Wengine ambao hatujafumaniwa bado uwe una m/michepuko lakini arobaini yako bado haijafika, uwe huna lakini unatamani na uko mbioni kutafuta au huna na hutamani, tutapata nafasi kuchangia kesho leo tuwaachie wenzetu watupe uzoefu.

eleza jinsia yako kabla ya kuendeleaaa

halafu mchana mwema
 
Ajabu ya kufumaniwa hata kama una mwili Mdogo kama wa kafulila halafu ukamfumania john cena unamfanya utakavyo....yaani mfumaniwa huishiwa nguvu kabisa
 
Tafuta Youtube "A man stuck into another man's wife" hapo uone wakenya walivyo ng'ang'aniana wakati wa shughuli na kufumaniwa.
 
Back
Top Bottom