Waliowahi kufumaniwa watupe ushauri

Waliowahi kufumaniwa watupe ushauri

Kwa hiyo uliishia ivo tu kupigwa mitama na mabanzi ina maana jamaa hakutaka kukufokonyoa kiboga, hapo nahic kama ushuhuda wako haujakamikika

!
!
haujakamikika.......anyway. Ni kwamba nilikuwa na demu barabarani natoka kufanya nae yangu na jamaa alikuwa anatokea mbele yetu anaelekea tunakotokea. Kuna gari ilikuwa inakuja kutokea upande wake ikamfanya atuone na kututambua bila ya mimi au yule demu kujua. So alipotufikia sikumuona ndio akaniambush, na ilikuwa kama sekunde tano mpaka kumi tu nikajinusuru nduki mbaya "husein bolt" ya maana kwa sababu nilikuwa naonekana kama wa kishua flani na nilishajua jamaa wamenikamiaga kitambo so sikujua wako wangapi. Kuna siku nae mchizi alikatiza anga zangu nikamuomba mtu mbili haikuwezekana hata baada ya kumrudishia mtama wake nikaona nikaushe tu. Ni hayo tu kaka.
 
Kumbe michepuko haifumaniwi! safi sana
 
usiombe ufumaniwe kaka ni dhahama,nakumbuka kijijini kwetu wakati nipo form two,kuna mshikaji alifumaniwakwa mke wa mtu,Jamaa alimkata mfumaniwa wake KENGELE ZOTE...:llama:
 
Back
Top Bottom