Asante mkuu.Karibuni sana.
Na ile siku ulipokutwa na Aisha mke wa Jamal, hali ilikuwaje?Niliwafumania mbwa wanafanya mapenzi nje ya nyumba yangu. Kabla binti zangu hawajatoka kuona, nikawatawanya kwa rungu. Hao.... Vinginevyo ingekuwa aibu.
Jamii ya kimasai wameweza kudhibiti hii kitu kupitia viongozi wao wa kimila.
Ukikuta mtu wa rika lako anamshugulikia mkeo, wewe pia nenda kwake kafanye hivyo hivyo na kesi imeisha. Hakuna mambo ya wivu
Hukuchezea kifiro?Mimi nilifumaniwa kwa sms..........mume wake alichukua simu ya mkewe toka asubuhi anayo, kumbe mumewe alikuwa amishahisi mchezo anaofanya mkewe na mimi, sasa mume wake alikuwa anaijua namba yangu akatuma sms kwenye simu yangu nikadhani ni mke wake, Daah! jamaa akaniambia ana hamu sana anataka siku hiyo agegedwe, loh! nikamwambia tukutane pale pale lodge nikaitaja!!....ni maeneo ya kwao huko wanapoishi.....
Jamaa akaniambia nikifika na nikachukua room nimwambie, muda huo najua nachart na mke wake........nikaenda nikachukua room akaniuliza namba ya room nikamwambia namba 19.....baadae machale yakanicheza kwamba niende getini nichungulie...........nafika tu getini loooh!!
Ukaludishwa ndani kwa nguvuMimi nilifumaniwa kwa sms..........mume wake alichukua simu ya mkewe toka asubuhi anayo, kumbe mumewe alikuwa amishahisi mchezo anaofanya mkewe na mimi, sasa mume wake alikuwa anaijua namba yangu akatuma sms kwenye simu yangu nikadhani ni mke wake, Daah! jamaa akaniambia ana hamu sana anataka siku hiyo agegedwe, loh! nikamwambia tukutane pale pale lodge nikaitaja!!....ni maeneo ya kwao huko wanapoishi.....
Jamaa akaniambia nikifika na nikachukua room nimwambie, muda huo najua nachart na mke wake........nikaenda nikachukua room akaniuliza namba ya room nikamwambia namba 19.....baadae machale yakanicheza kwamba niende getini nichungulie...........nafika tu getini loooh!!
Mimi nilifumaniwa kwa sms..........mume wake alichukua simu ya mkewe toka asubuhi anayo, kumbe mumewe alikuwa amishahisi mchezo anaofanya mkewe na mimi, sasa mume wake alikuwa anaijua namba yangu akatuma sms kwenye simu yangu nikadhani ni mke wake, Daah! jamaa akaniambia ana hamu sana anataka siku hiyo agegedwe, loh! nikamwambia tukutane pale pale lodge nikaitaja!!....ni maeneo ya kwao huko wanapoishi.....