Waliowahi kufumania wapenzi/wake zao tupeane uzoefu

Mimi nilifumaniwa kwa sms..........mume wake alichukua simu ya mkewe toka asubuhi anayo, kumbe mumewe alikuwa amishahisi mchezo anaofanya mkewe na mimi, sasa mume wake alikuwa anaijua namba yangu akatuma sms kwenye simu yangu nikadhani ni mke wake, Daah! jamaa akaniambia ana hamu sana anataka siku hiyo agegedwe, loh! nikamwambia tukutane pale pale lodge nikaitaja!!....ni maeneo ya kwao huko wanapoishi.....

Jamaa akaniambia nikifika na nikachukua room nimwambie, muda huo najua nachart na mke wake........nikaenda nikachukua room akaniuliza namba ya room nikamwambia namba 19.....baadae machale yakanicheza kwamba niende getini nichungulie...........nafika tu getini loooh!!
,Marinda yalipona kweli??.
 
Iliwai nitokea Hii. Nilikuwa na demu wangu moja huyo nilimkubali sana aseee. Siku moja nikatonywa na msela wangu moja kuwa manzii yuko anakwichi na msela nikaenda mpaka geto kwa msela nikabisha hodi wanafungua na mimi nikazama ndani nikamkuta nikamwambia mwana nisingeoana angenibishia huyu kwakuwa nimefuma mimi ndio tumetemana na kweli tulitemana kuanzia pale
Mkuu si ungemtmba tu hapo hapo na wewe mkiwa na jamaa, huenda hasira zingeisha.
 
Mimi nilifumaniwa kwa sms..........mume wake alichukua simu ya mkewe toka asubuhi anayo, kumbe mumewe alikuwa amishahisi mchezo anaofanya mkewe na mimi, sasa mume wake alikuwa anaijua namba yangu akatuma sms kwenye simu yangu nikadhani ni mke wake, Daah! jamaa akaniambia ana hamu sana anataka siku hiyo agegedwe, loh! nikamwambia tukutane pale pale lodge nikaitaja!!....ni maeneo ya kwao huko wanapoishi.....

Jamaa akaniambia nikifika na nikachukua room nimwambie, muda huo najua nachart na mke wake........nikaenda nikachukua room akaniuliza namba ya room nikamwambia namba 19.....baadae machale yakanicheza kwamba niende getini nichungulie...........nafika tu getini loooh!!
Ulifanya vyema kuchungulia getini yangekukuta mkuu.
 
mkuu maliziaa baada ya hapoo
 
Jamii ya kimasai wameweza kudhibiti hii kitu kupitia viongozi wao wa kimila.

Ukikuta mtu wa rika lako anamshugulikia mkeo, wewe pia nenda kwake kafanye hivyo hivyo na kesi imeisha. Hakuna mambo ya wivu.
Na Kama ni mzee utaenda kumshughulikia nani na akikataa je?
 
Mimi nilifumaniwa kwa sms..........mume wake alichukua simu ya mkewe toka asubuhi anayo, kumbe mumewe alikuwa amishahisi mchezo anaofanya mkewe na mimi, sasa mume wake alikuwa anaijua namba yangu akatuma sms kwenye simu yangu nikadhani ni mke wake, Daah! jamaa akaniambia ana hamu sana anataka siku hiyo agegedwe, loh! nikamwambia tukutane pale pale lodge nikaitaja!!....ni maeneo ya kwao huko wanapoishi.....

Jamaa akaniambia nikifika na nikachukua room nimwambie, muda huo najua nachart na mke wake........nikaenda nikachukua room akaniuliza namba ya room nikamwambia namba 19.....baadae machale yakanicheza kwamba niende getini nichungulie...........nafika tu getini loooh!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom