Waliotumwa kumuua Dr. Ulimboka wapata PIGO Afrika Kusini

Status
Not open for further replies.
waliomteka ulimboka hawakuwa na nia ya kumuua, kama wangekuwa na nia hiyo asingeachwa hai. kwani walikuwa na bunduki, pia wangeweza hata kumvunja shingo au hata kumnyonga akafa, kinachoonekana kwa wale wana intelijensia wataelewa, hakukua na nia ya kumuua, bali walikuwa na nia ya kumuadibisha tu kwa njia ya mateso alafu aachwe hai.

Kwa wale wenye akili watakubaliana na mimi kuwa, kiongozi wa mgomo kuuawa si rahisi sana kama wagomaji, kwasababu machafuko yanaweza kutokea mfano wananchi wangeandamana kupinga icho kitendo..hivyo hakukuwa na nia kabisa ya kumuua, kama nia hiyo ilikuwepo, hakika asingekutwa hai, angepiga tu bunduki hata palepale alipotekewa, angefuatwa nyumbani kwake akapigwa kama wale waliomfata Pro. Mwaikusa, angefanyiwa chochote na ingejulikana ni majambazi tu yamefanya hivyo....kama ulimboka ana akili, namshauri akipona aachane na mikumbo, atumie elimu yake ambayo kodi za wananchi watz masikini zilimsomesha ili wananchi hao wasife na pia ajenge maisha yake kabla hajazeeka. labda kama anataka kuwa mfia mgomo ndo aendelee kujilipua.

pamoja na kwamba ipo strong allengation kwamba serikali yaweza kuwa imehusika, cha ajabu ni kwamba ushahidi haupo. sasa kuituhuumu selikali si sahihi, labda kama serikali itakuwa inatuhumiwa kwa kushindwa kuwalinda raia wake ambapo hata hapo serikali inaonekana haijawa zembe......ulimboka ukipona, kama unanisikia, achana na mikumbo, tafuta maisha yako watoto wako waje waishi vizuri utakapozeeka au ukichukuliwa na Mungu.

Kwa hiyo ndo mlivyofanya kwa prof Mwaikusa?
 
Nashindwa kuelewa mantiki yako hapa. Unasema Chadema inaishutumu serikali lakini hii ni kawaida kisiasa na kimazingira na si Chadema tu wanaofanya hivo. Hata madakatri wenyewe wanahisi serikali inahusika. Je hujasikia wabunge wa CCM wakisema Chadema yuko nyuma ya mgomo huu?? Mh. Stella Manyanya anasema pia kuwa Chadema ndio waliomteka na kumtesa Dkt. Ulimboka.

Umechanganya habari hii na Yesu, hata sijui kama unafahamu unachoandika. Povu tuuuuu!!!

Wewe ndio unayetoka Povu umajua fika nina maana gani

Chama
Gongo la mboto DSM
 
waliomteka ulimboka hawakuwa na nia ya kumuua, kama wangekuwa na nia hiyo asingeachwa hai. Kwani walikuwa na bunduki, pia wangeweza hata kumvunja shingo au hata kumnyonga akafa, kinachoonekana kwa wale wana intelijensia wataelewa, hakukua na nia ya kumuua, bali walikuwa na nia ya kumuadibisha tu kwa njia ya mateso alafu aachwe hai.

Kwa wale wenye akili watakubaliana na mimi kuwa, kiongozi wa mgomo kuuawa si rahisi sana kama wagomaji, kwasababu machafuko yanaweza kutokea mfano wananchi wangeandamana kupinga icho kitendo..hivyo hakukuwa na nia kabisa ya kumuua, kama nia hiyo ilikuwepo, hakika asingekutwa hai, angepiga tu bunduki hata palepale alipotekewa, angefuatwa nyumbani kwake akapigwa kama wale waliomfata pro. Mwaikusa, angefanyiwa chochote na ingejulikana ni majambazi tu yamefanya hivyo....kama ulimboka ana akili, namshauri akipona aachane na mikumbo, atumie elimu yake ambayo kodi za wananchi watz masikini zilimsomesha ili wananchi hao wasife na pia ajenge maisha yake kabla hajazeeka. Labda kama anataka kuwa mfia mgomo ndo aendelee kujilipua.

Pamoja na kwamba ipo strong allengation kwamba serikali yaweza kuwa imehusika, cha ajabu ni kwamba ushahidi haupo. Sasa kuituhuumu selikali si sahihi, labda kama serikali itakuwa inatuhumiwa kwa kushindwa kuwalinda raia wake ambapo hata hapo serikali inaonekana haijawa zembe......ulimboka ukipona, kama unanisikia, achana na mikumbo, tafuta maisha yako watoto wako waje waishi vizuri utakapozeeka au ukichukuliwa na mungu.

dhaifu
 
Mkuu, mbona chama chako na serikali yako dhaifu inapinga uchunguzi huru? Umesikia wapi mtuhumiwa anajichunguza?

Uchunguzi huru mpaka awemo Dr. Slaa au Tundu Lissu?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hatua iliyobaki kwa usalama wa Ndugu yetu Ulimboka ni kumpeleka kwenye maombi kule Nigeria kwa TB Joshua kwa ajili ya msaada wa Mungu. Human hand has come to its END Mungu pekee ndiye anayeweza kufanya kila kitu kwa upya. Please naomba madaktari kwa sababu ya usalama wake hapa Tanzania haitawezekana kurudi huku naomba mpelekeni Nigeria akapate maombi ya mtumishi wa Mungu Nabii TB Joshua. Amen

Mkuu una ushauri mzuri - lakini Mungu alifanya kazi ya kuumba na huwa mkali sana kwa watu kama kina Ulimboka ambao wameongoza mgomo wa mauwaji ya watanzania wasio hatia. Kuna watu huenda kule kwa TB Joshua na hushauriwa kama Yesu alivyomshauri kijana tajiri akauze mali zake zote na awagawie maskini ndipo amfuate - kijana aliyeyukia kusikojulikana. Ulimboka aje huku Tz kwanza, kabla hajakata roho aombe radhi kwa roho zilizopotea kutokana na yeye kuongoza uuwaji na umumiani. Kama atakata roho kabla hajaja basi waliomzaa waombe radhi kwa niaba yake.
 
Kama gvnt hausiki mbona hawataki kusikia mada kama hizi iwe Bungen au tbc? Why
 
Hizo tume zimewaikuleta tija gani kwa taifa hili?hususani kwenye majanga na matukio kama haya?hivi tume ya mabomu ya gongolamboto,mbagala iliishia wapi?

Wale ni Polisi wanafanya uchunguzi wa tukio la uhalifu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu, mbona chama chako na serikali yako dhaifu inapinga uchunguzi huru? Umesikia wapi mtuhumiwa anajichunguza?



mkuu ukikaa karb uwarid nawe utanukia utanukia pia, sasa ukibishana na anaye talk plakata plakata na wewe pia utaonekana hivyo pia!
Sasa huyo jamaa jina lake tu ni CHAMA Ina maana yeye ni kada na akiongelea lazma
ataje cdm!
 
Wewe ndio unayetoka Povu umajua fika nina maana gani

Chama
Gongo la mboto DSM



Nimeona posts zako kadhaa kuhusiana na topic hii na kweli ni masikitiko kuwa kuna waTanzania kama wewe!! Una consipracy theories kama mtu wingine yeyote lakini povu linakutoka mpaka ndevu zinalowa kuaminisha watu unachoamini wewe. Mchanganyiko wa ujambazi, usalama wa taifa, kuwa Ulimboka si mwajiriwa wa serikali (unadhani haki zinapaswa kutolewa kwa watu wa serikalini tu). Je unajua vyama vya kifanyakazi ni kwa yeyote raia aliye kwenye fani au taaluma husika??

JF inakutaka uwe thinker. Kama vipi hili povu kaweke Facebook!! Siwezi kukuelewa kwa sababu hauko analytical wala objective. Ushabiki uko mbele ya reasoning, neutral hawezi kutoa points kama zako huku akisisitiza uchunguzi!!
 
Sera kubwa ya Chadema uongo, majungu na fitina je ikithibitika kuwa serikali haihusiki na kisa hiki utasema nini? Dr. Ulimboka hakuwa nabii kama Yesu subiri uchunguzi ufanyike usitulee porojo

Chama
Gongo la mboto DSM

Una kichaa?cdm hapa inaingiaje?
 
Serikali ijiandae

Tumefurahishwa na taarifa ya Pigo la ajali lililomkuta mmoja wa Kikosi kilichotumwa Huko AK kumwangamiza Dr Ulimboka. Ajali hiyo ambayo mpaka sasa ni Siri ya Kikosi haijulikani ilimpata wapi na kwa nini lakini kikosi kimeonekana kujitosa kumtibia mwenzao ambaye alitapakaa damu na kupoteza nyuzi kadhaa walizoziandaa juu ya kutafuta wapi alipo Dr. Ulimboka.

Kikosi Hicho ambacho kinalalamika kukosa ushirikiano na wenzao wenye makazi ya Kudumu AK, kinakiri mpaka sasa Madaktari wamekuwa werevu zaidi wa kuchezesha shilingi hii kuliko wao. Kikosi hiki ambacho kama nilivyoeleza kinaundwa na Askari wa majeshi yetu yote, wale ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakishiriki vitendo haram ndani ya jamii kama ujambazi na operation za kuua kwa malipo, hawawezi kwa lolote kuacha kutimiza lengo lao kwa kuwa kama wakiasi majeshi haya basi wako hatarini kushtakiwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kuwa sasa kifungu cha kitanza kimeshalegezwa.

Napenda kuitahadhalisha Familia ya Dr. Ulimboka na wazee waliotumwa kumpoza Dr. Ulimboka kwamba akae kimya au atafutiwe kazi nje ya nchi asirudi Tz, au asingiziwe amekufa ili jamii Imsahau, wakifanya kitendo kama hicho watakuwa tayari wameshahalalisha serikali kummaliza Mtu huyo haraka. Kama nilivyosema Dr. Ulimboka anawafaham Fika waliomtendea Kitendo hicho na miongoni mwao ni Ndugu zake waliomo kwenye “system”.. HILO LIKO WAZI KABISAA

Wazingatie ushauri wa wananchi wengi kwamba anatakiwa arudi TZ kwa siri kubwa na aibukie kwenye vyombo vyote vya habari LIVE na aelezee sakata lake mwanzo mwisho na hapo ndipo serikali itashindwa kumuua kwa maana macho ya jumuia zote yatakuwa Hapo. Zaidi ya hapo atabakia kuwa historia kama Balali..

Umedangaya!

Mimi ni mmoja ya walioongoza kumkata na kumhoji kwa njia ya mateso, na niliamua kwa agizo la bosi wangu kuwa tusimuue!

Lengo lilikuwa kujua kama mgomo unafadhiriwa na kundi la Lowasa au Chadema!

Hakuna kitengo cha AK katika nchi yetu,

Kikosi cha mwisho na maalumu cha mauaji ni LTK tu!

Labda kwa ufafanuzi tu ni kuwa LTK tumepewa jukumu la kunyamazizisha wanaharakati kwa vitisho kama tulivyomfanyia Ulimboka, lakini sio kuua!

Tulikuwa na uwezo wa kumuua Ulimboka hata akiwa kalala na mkewe kama ingelikuwa lazima kuumua kwa siri!

Mbinu za kuua tunazo nyingi sana tusingehangaika au kupoteza mda kwa ulimboka ambae hana mafunzo yoyote ya kijasusi!

Ulimboka kama atakuwa atakuwa kafa kwa mateso tuliyompa ila si kufuatwa RSA!
 
Sera kubwa ya Chadema uongo, majungu na fitina je ikithibitika kuwa serikali haihusiki na kisa hiki utasema nini? Dr. Ulimboka hakuwa nabii kama Yesu subiri uchunguzi ufanyike usitulee porojo

Chama
Gongo la mboto DSM
Yaani wewe siku zinavyokwenda ndio unazidi kuwa mjinga na kituko humu JF! Sielewi sijui una tatizo gani? hapa Chadema inahusiana vipi na thread hii!? au na wewe ni kama yule Mwigulu chemba la mavi anayeweweseka na Chadema!?
 
Yaani wewe siku zinavyokwenda ndio unazidi kuwa mjinga na kituko humu JF! Sielewi sijui una tatizo gani? hapa Chadema inahusiana vipi na thread hii!? au na wewe ni kama yule Mwigulu chemba la mavi anayeweweseka na Chadema!?

Matola
Usigeuke chizi maarifa soma mtirirko post

Chama
Gongo la mboto DSM
 
1ndugu gani wanaotaka kumuangamiza
2. anatibiwa wapi huyo aliyekuwa katumwa
3.ajali ilitokana na nini?( gari, bajaji, boda boda, ndege )
4. aina za nyaraka zilizopotea umeziona
5. huenda mmeshafika SA na hapa unataka kubadilisha fikra za watu ili mtimize kazi yenu sawa sawa.
6. nitajie anayemtibu huyu majeruhi wa ajali
7. source ya nfo zako ni wapi ?



usirudie kupika story mkuu..rudi kawambie waliokutuma kuwa nimeenda nimewakuta bado hawajalala wako macho
 
Sera kubwa ya Chadema uongo, majungu na fitina je ikithibitika kuwa serikali haihusiki na kisa hiki utasema nini? Dr. Ulimboka hakuwa nabii kama Yesu subiri uchunguzi ufanyike usitulee porojo

Chama
Gongo la mboto DSM

kawaida yako! Si rahisi kuiangusha chadema. Take yo time
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom