Waliotumwa kumuua Dr. Ulimboka wapata PIGO Afrika Kusini

Status
Not open for further replies.
Umedangaya!

Mimi ni mmoja ya walioongoza kumkata na kumhoji kwa njia ya mateso, na niliamua kwa agizo la bosi wangu kuwa tusimuue!

Lengo lilikuwa kujua kama mgomo unafadhiriwa na kundi la Lowasa au Chadema!

Hakuna kitengo cha AK katika nchi yetu,

Kikosi cha mwisho na maalumu cha mauaji ni LTK tu!

Labda kwa ufafanuzi tu ni kuwa LTK tumepewa jukumu la kunyamazizisha wanaharakati kwa vitisho kama tulivyomfanyia Ulimboka, lakini sio kuua!

Tulikuwa na uwezo wa kumuua Ulimboka hata akiwa kalala na mkewe kama ingelikuwa lazima kuumua kwa siri!

Mbinu za kuua tunazo nyingi sana tusingehangaika au kupoteza mda kwa ulimboka ambae hana mafunzo yoyote ya kijasusi!

Ulimboka kama atakuwa atakuwa kafa kwa mateso tuliyompa ila si kufuatwa RSA!

Nilikuwa nakuheshimu sana hapa JF kama mtu ambaye analeta inside story, kumbe wewe ni **** msengge kabisa wala huna hata chembe ya ukweli wowote zaidi ya kukariri movie za CIA na FBI mpumbavu kabisa wewe.
 
Serikali ijiandae

Tumefurahishwa na taarifa ya Pigo la ajali lililomkuta mmoja wa Kikosi kilichotumwa Huko AK kumwangamiza Dr Ulimboka. Ajali hiyo ambayo mpaka sasa ni Siri ya Kikosi haijulikani ilimpata wapi na kwa nini lakini kikosi kimeonekana kujitosa kumtibia mwenzao ambaye alitapakaa damu na kupoteza nyuzi kadhaa walizoziandaa juu ya kutafuta wapi alipo Dr. Ulimboka.

Kikosi Hicho ambacho kinalalamika kukosa ushirikiano na wenzao wenye makazi ya Kudumu AK, kinakiri mpaka sasa Madaktari wamekuwa werevu zaidi wa kuchezesha shilingi hii kuliko wao. Kikosi hiki ambacho kama nilivyoeleza kinaundwa na Askari wa majeshi yetu yote, wale ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakishiriki vitendo haram ndani ya jamii kama ujambazi na operation za kuua kwa malipo, hawawezi kwa lolote kuacha kutimiza lengo lao kwa kuwa kama wakiasi majeshi haya basi wako hatarini kushtakiwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kuwa sasa kifungu cha kitanza kimeshalegezwa.

Napenda kuitahadhalisha Familia ya Dr. Ulimboka na wazee waliotumwa kumpoza Dr. Ulimboka kwamba akae kimya au atafutiwe kazi nje ya nchi asirudi Tz, au asingiziwe amekufa ili jamii Imsahau, wakifanya kitendo kama hicho watakuwa tayari wameshahalalisha serikali kummaliza Mtu huyo haraka. Kama nilivyosema Dr. Ulimboka anawafaham Fika waliomtendea Kitendo hicho na miongoni mwao ni Ndugu zake waliomo kwenye “system”.. HILO LIKO WAZI KABISAA

Wazingatie ushauri wa wananchi wengi kwamba anatakiwa arudi TZ kwa siri kubwa na aibukie kwenye vyombo vyote vya habari LIVE na aelezee sakata lake mwanzo mwisho na hapo ndipo serikali itashindwa kumuua kwa maana macho ya jumuia zote yatakuwa Hapo. Zaidi ya hapo atabakia kuwa historia kama Balali..

Mods embu ondoeni hili povu, huu ni uzandiki kabisa! Watu kama hawa tukiwaacha watatusababishia matatizo katika nchi!
 
Source ?????????? kama ni ww wenyewe nenda kapeleke huu upuuzi kwa shigongo utalipwa hela nyingi sana ila humu JF utapuuzwa tu na kuonekana ni mtu wa kubabaisha.

Iacheni timu ya kamanda Kova ifanye kazi yake haijashindwa kutekeleza majukumu yake!! Porojo zenu wekeni pembeni

Chama
Gongo la mboto DSM

usitake kila mtu afikiri kama wewe! Unaflkiri ukiwa na upande tayari. Chuki zako peleka kwako
 
Serikali ijiandae

Tumefurahishwa na taarifa ya Pigo la ajali lililomkuta mmoja wa Kikosi kilichotumwa Huko AK kumwangamiza Dr Ulimboka. Ajali hiyo ambayo mpaka sasa ni Siri ya Kikosi haijulikani ilimpata wapi na kwa nini lakini kikosi kimeonekana kujitosa kumtibia mwenzao ambaye alitapakaa damu na kupoteza nyuzi kadhaa walizoziandaa juu ya kutafuta wapi alipo Dr. Ulimboka.

Kikosi Hicho ambacho kinalalamika kukosa ushirikiano na wenzao wenye makazi ya Kudumu AK, kinakiri mpaka sasa Madaktari wamekuwa werevu zaidi wa kuchezesha shilingi hii kuliko wao. Kikosi hiki ambacho kama nilivyoeleza kinaundwa na Askari wa majeshi yetu yote, wale ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakishiriki vitendo haram ndani ya jamii kama ujambazi na operation za kuua kwa malipo, hawawezi kwa lolote kuacha kutimiza lengo lao kwa kuwa kama wakiasi majeshi haya basi wako hatarini kushtakiwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kuwa sasa kifungu cha kitanza kimeshalegezwa.

Napenda kuitahadhalisha Familia ya Dr. Ulimboka na wazee waliotumwa kumpoza Dr. Ulimboka kwamba akae kimya au atafutiwe kazi nje ya nchi asirudi Tz, au asingiziwe amekufa ili jamii Imsahau, wakifanya kitendo kama hicho watakuwa tayari wameshahalalisha serikali kummaliza Mtu huyo haraka. Kama nilivyosema Dr. Ulimboka anawafaham Fika waliomtendea Kitendo hicho na miongoni mwao ni Ndugu zake waliomo kwenye "system".. HILO LIKO WAZI KABISAA

Wazingatie ushauri wa wananchi wengi kwamba anatakiwa arudi TZ kwa siri kubwa na aibukie kwenye vyombo vyote vya habari LIVE na aelezee sakata lake mwanzo mwisho na hapo ndipo serikali itashindwa kumuua kwa maana macho ya jumuia zote yatakuwa Hapo. Zaidi ya hapo atabakia kuwa historia kama Balali..

You Guys STOP CONFUSING PEOPLE!!

Mtu akikubalina na taarifa yako yote hii na kukupongeza atalazimika kukubalina na yafuatayo.

1. Kuwa Ulimboka alifanyiwa unyama ule na Ndugu Zake ...

Jambo ambalo honestly Umechemka!!
Si Ndugu zake ni hao ambao wewe una lengo la kuwa cover up kwa thread hii!

2. Na unataka ku twist nini na hii sentensi? ... " ...Napenda kuitahadhalisha Familia ya Dr. Ulimboka na wazee waliotumwa kumpoza Dr. Ulimboka kwamba akae kimya au atafutiwe kazi nje ya nchi asirudi Tz, au asingiziwe amekufa ili jamii Imsahau, wakifanya kitendo kama hicho watakuwa tayari wameshahalalisha serikali kummaliza Mtu huyo haraka..."
 
Jason bourne huna gutts wala sifa yoyote ya LTK kwa sababu cha kushangaza hujui hata maana ya IP Address wewe ni mpumbavu wa kwanza kabisa.

Kama mimi napewa kazi ya kukutress bwegge kama wewe nakutia mkononi ndani ya masaa mawili tu.
 
Last edited by a moderator:
1ndugu gani wanaotaka kumuangamiza
2. anatibiwa wapi huyo aliyekuwa katumwa
3.ajali ilitokana na nini?( gari, bajaji, boda boda, ndege )
4. aina za nyaraka zilizopotea umeziona
5. huenda mmeshafika SA na hapa unataka kubadilisha fikra za watu ili mtimize kazi yenu sawa sawa.
6. nitajie anayemtibu huyu majeruhi wa ajali
7. source ya nfo zako ni wapi ?

usirudie kupika story mkuu..rudi kawambie waliokutuma kuwa nimeenda nimewakuta bado hawajalala wako macho

Haahaaa umempa bila kukopesha! Watu wanatunga stori za ajabu kweli ilimradi watuhangaishe tu!
 
Umedangaya!

Mimi ni mmoja ya walioongoza kumkata na kumhoji kwa njia ya mateso, na niliamua kwa agizo la bosi wangu kuwa tusimuue!

Lengo lilikuwa kujua kama mgomo unafadhiriwa na kundi la Lowasa au Chadema!

Hakuna kitengo cha AK katika nchi yetu,

Kikosi cha mwisho na maalumu cha mauaji ni LTK tu!

Labda kwa ufafanuzi tu ni kuwa LTK tumepewa jukumu la kunyamazizisha wanaharakati kwa vitisho kama tulivyomfanyia Ulimboka, lakini sio kuua!

Tulikuwa na uwezo wa kumuua Ulimboka hata akiwa kalala na mkewe kama ingelikuwa lazima kuumua kwa siri!

Mbinu za kuua tunazo nyingi sana tusingehangaika au kupoteza mda kwa ulimboka ambae hana mafunzo yoyote ya kijasusi!

Ulimboka kama atakuwa atakuwa kafa kwa mateso tuliyompa ila si kufuatwa RSA!
Ndugu yangu unajua Kuna Mungu? Kwanini kufanya mateso yale kwa binadamu mwnzako? Mkuu Jason Hata kama unalipwa vizuri but usifurahie kuua binadamu kuwafurahisha akina Kikwete et al
 
JB acha fix.

siku ulimboka alipookotwa huko mabwepande, katika moja ya post zako siku hiyo ulisema kuwa dr ulimboka hakutekwa ila alichukuliwa na wanausalama na kwenda kuhojiwa kisha akaachiwa huru na hakuteswa na wala hawakupata kitu chochote...leo unakuja na hii kuwa wewe ulikuwa mmoja wao na kiongoza...
 
waliomteka ulimboka hawakuwa na nia ya kumuua, kama wangekuwa na nia hiyo asingeachwa hai. kwani walikuwa na bunduki, pia wangeweza hata kumvunja shingo au hata kumnyonga akafa, kinachoonekana kwa wale wana intelijensia wataelewa, hakukua na nia ya kumuua, bali walikuwa na nia ya kumuadibisha tu kwa njia ya mateso alafu aachwe hai.

Kwa wale wenye akili watakubaliana na mimi kuwa, kiongozi wa mgomo kuuawa si rahisi sana kama wagomaji, kwasababu machafuko yanaweza kutokea mfano wananchi wangeandamana kupinga icho kitendo..hivyo hakukuwa na nia kabisa ya kumuua, kama nia hiyo ilikuwepo, hakika asingekutwa hai, angepiga tu bunduki hata palepale alipotekewa, angefuatwa nyumbani kwake akapigwa kama wale waliomfata Pro. Mwaikusa, angefanyiwa chochote na ingejulikana ni majambazi tu yamefanya hivyo....kama ulimboka ana akili, namshauri akipona aachane na mikumbo, atumie elimu yake ambayo kodi za wananchi watz masikini zilimsomesha ili wananchi hao wasife na pia ajenge maisha yake kabla hajazeeka. labda kama anataka kuwa mfia mgomo ndo aendelee kujilipua.

pamoja na kwamba ipo strong allengation kwamba serikali yaweza kuwa imehusika, cha ajabu ni kwamba ushahidi haupo. sasa kuituhuumu selikali si sahihi, labda kama serikali itakuwa inatuhumiwa kwa kushindwa kuwalinda raia wake ambapo hata hapo serikali inaonekana haijawa zembe......ulimboka ukipona, kama unanisikia, achana na mikumbo, tafuta maisha yako watoto wako waje waishi vizuri utakapozeeka au ukichukuliwa na Mungu.

Si ungesema tu Chukua Chako Mapema!. Alafu achana na walipa kodi wafe kwa kukosa huduma za afya.
 
Malipo ni hapa hapa Duniani,Haya yote yanasababishwa na Viongozi wetu kukosa Uzalendo kila wakati wanakuwa na wasi wasi na hali ya watanzania ilivyo hivi sasa kwani mawasiliano ya utandawazi Tanzania imekuwa kama kijiji.HUWEZI KUMDANGANYA MTANZANIA SASA HIVI KWA LOLOTE.TUMUOMBEE DR. ULIMBOKA APONE HARAKA PUMBA NA CHENGA ZITAJULIKANA
 
Nilikuwa nakuheshimu sana hapa JF kama mtu ambaye analeta inside story, kumbe wewe ni **** msengge kabisa wala huna hata chembe ya ukweli wowote zaidi ya kukariri movie za CIA na FBI mpumbavu kabisa wewe.

ni mjinga na mpumbavu tu huyu...siku za nyuma alikuwa anapinga na kuitetea serikali...mjinga sana
 
Tuliwahi ambiwa wanausalama kugeuza JF ionekane kijiwe cha porojo kwa taarifa za kupika! This is happening now!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom