Waliotimuliwa UDOM waibuka, watoa ya moyoni

Waliotimuliwa UDOM waibuka, watoa ya moyoni

Hapa ndipo falsafa ya kuwa na taasisi imara na sio viongozi imara inapoleta maana.
 
Sijui kama tunaelewana!! Wale wote wana sifa kuwafukuza ni kosa kubwa na JPM amedanganywa...aibu!!
Hakuna aliyemdanganya ila alijifanganya mwenyewe na ndo maana wametofautiana mbali sana na majibu ya waziri wake juu ya sababu iliyopelekea wanafunzi kuondolewa.
Magu kalikoroga mwenyewe sijui anaenda kupozea wapi hii ishu!
 
tuombe Mungu,maana ye ndo anajua kila mja kamuandikia nini,au Magu ana maagano ya
Kama tulishindwa kumuangusha magu last year unatengemea miujiza kwa 2020,haiwezekani tunasafari ndefu sana,kuweza kuindoa ccm ,siyo issue ya kujifari ,coz mi nishakata tamaa ,na sipigi kura tena!!wenye endeleni mtatusaidia wengine!
 
Kwa taarifa za ndani zilizonifikia hivi punde yule kilaza mkuu wa div. 5 yuko hoi hata break fast haikupanda, kanisani nako hakwenda anadai kichwa kinauma sana. Nahisi atakuwa amechungulia JF na kuona upepo ukivuma ile mbaya kuanika nyeti za kuku! Aisee nyeti nzima nje mstirini huyu kuku huu upepo noma
 
Kwa taarifa za ndani zilizonifikia hivi punde yule kilaza mkuu wa div. 5 yuko hoi hata break fast haikupanda, kanisani nako hakwenda anadai kichwa kinauma sana. Nahisi atakuwa amechungulia JF na kuona upepo ukivuma ile mbaya kuanika nyeti za kuku! Aisee nyeti nzima nje mstirini huyu kuku huu upepo noma
Hahhahaaaa nyeti za kuku
 
Mkuu nyeti za yule kuku zimeanikwa nje kabisa kila mwenye macho (smartphone au computer) kaziona. Mimi mwenyewe nimeziona nikawa naangalia kwa umakini kabisa huku kichwani nikiwaza kwa sauti, "kweli huyu ni kilaza"
Hahahahaa nyeti za kilaza hadharani
 
Huu ni upuuzi. Vilaza wanatafuta huruma ya wananchi. Haikubaliki! Haikubakiki! Naomba nitumie Maneno ya mhe. rais "it can't be".
Ufuje pesa za walipa kodi huku ukiwa huna sifa!!?

Nendeni kwenye vyuo vya saizi yenu.
 
JPM wangu weeee kalishwa kasa! Kama kweli hakuna Kilaza.....ni hatari kwa nchi kumdanganya President! Isije kutokea kumbe Kilaza ni Jesca pekee alieko UDOM! Naendelea kula pop corn movie ikiendelea!! Aje aombe radhi kwa lugha ya kuudhi!
Kukurupuka na misifa ya hovyo hivi viwili vitamcost big!
 
Movie inanoga....mpaka ofisa wa chini kabisa....msemaji wa UDOM amepingana na magufuli bila woga kabisa.....kuna mahali nchi hii haiko sawa,nampongeza sana msemaji wa UDOM ....siyo Yale mazee yanayosema yanaogopa kufukuzwa kazi

Ameongea ukweli , Prof Kikula alisema aliogopa kufukuzwa,tunaenda wapi?
 
"Ukitaka kutawala, tawala peke yako. Ukitaka kuongoza, ongoza na wenzako!"

kauli za waziri na Rais ni vichekesho. ni dalili ya kutokuwepo na uwajibikaji wa pamoja. kuna timu ya wataalam na kundi la watawala ambalo linamuweka Rais katika dhima ya ukurupukaji..... hali si shwari
 
Sasa kama msemaji wa UDOM anasema hao walioitwa vilaza walikuwa na ufaulu wa division one,two,na wachache three,mh rais atawaambia nini watanzania anapodai walikuwa na division four? Hii si ushahidi kwamba rais hapati taarifa sahihi na mwisho wa siku anafanya maamuzi ya kuumiza watu? Ni nani alimpelekea rais taarifa hizo? Mbona UDOM kupitia msemaji wao na bi ndalichako kauli zao zinafanana? Za rais zinatoka wapi na ni naani mpasha habari wake? Wangapi wameshaumia kwa staili hii tangu aingie madarakani? Hawa watoto wakienda mahakamani watashinda kwa hakika,serikali itachukua kodi za nani kuwalipa fidia? Hiyo fidia na kuwaacha waendelee kusoma kipi cha busara?
Mimi wasiwasi wangu si kuwa Rais anashauriwa vibaya, ila huwa anaongea tu kuonesha naye analifahamu suala lililo mbele yake...which is absurd
 
Kihongwe wewe. Yalete hayo matokeo ya kureseat!! Kama hauna funga hilo bakuli lako.Watu tumechoshwa na mambo ya kipuuzi ndani ya nchi hii wewe unaleta upuuzi wako.
Kubwa jinga wewe unaropoka tuu tumia akili hata ya mbuzi kuelewa
 
We nawe
Mbona umeandika utumbo? ali reset wapi? na kwanini alidahiliwa na NACTE na sio TCU kama alireset?
Poyoyo wewe sio wote wanarisiti waende form v fundukulukumunyu utaponzwa
 
Back
Top Bottom