Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa

Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa

moyo kweli mfano kwenye kupasua mende na panya nilikuwa naona kinyaa sana. ,ila baadaye nilizoea na nilikuwa naweza kupasua muda mwingine bila ya kuvaa gloves
Ila tuliokuwa tunasoma boarding ndio ilikuwa balaa......yaan mnaenda kukamata mende chooni ili kesho muwapasue
 
Ila tuliokuwa tunasoma boarding ndio ilikuwa balaa......yaan mnaenda kukamata mende chooni ili kesho muwapasue
dah aisee mule mule yaan, ila mimi niliwatumia zaidi day scholar wanitafutie na mimi nikiendelea kuwatafuta au muda mwingine niliwatumia wafanya usafi chooni pamoja na lab tech wanisaidie
 
Unaambiwa uonyeshe
Vicera general
Digestive system
Nerve system
Reproductive system za chura

Ni mwendo wa kunywa michoro tu
Ha ha haa haa
I love biology
 
Mzee kweny physics kun kidudu kimoja kinaitwa projectile motion hap hakuna mjanjaaa mm nilikuw nasukuma maswal lkn nlikua cjiamin maan niliumbuk san kun swal lip kweny pam la ally abdala lilinitoa jasho tangia hap nlipunguz moto
 
Ila bora za chura kuliko za mende
mimi kwangu mende na panya ndio niliokuwa nawapenda zaidi af rahisi kuwa dissect ,pia michoro yao ni mi rahisi , mziki kwa chura baba, mara uufunge na kamba mshipa ili usitoe damu , dah ilikuwa ni shida kwa kweli
 
Back
Top Bottom