Hyo roger ukipiga exercise swali la 1 hadi la 3 unapata bila shida ila yanayo endelea lazma jasho likutokeView attachment 395795
View attachment 395796
View attachment 395797 Hivi ni miongoni mwa vitabu vya phys nilivyokuwa navikubali
Acha mchezo wewe......huwezi fananisha ugumu wa phys na geog.......phys imepinda balaaaMbona utofauti ni somo moja tu, so one mbona inarelation na ya CBG tu.
Tatizo ni kutokuwepo kwa uwiano wa physics na geogi mkuuMbona utofauti ni somo moja tu, so one mbona inarelation na ya CBG tu.
hawezi akawa serious huyoTatizo ni kutokuwepo kwa uwiano wa physics na geogi mkuu
Unafananisha circuit za electronics au moment of inertia na volcanics eruption
Mkuu hyo functional approach hadi leo ninayo na cna mpango wa kuuza au kumpatia mtuView attachment 395801
View attachment 395802
View attachment 395803
View attachment 395804
View attachment 395806. Hivi vilikuwa vitabu vyangu pendwa vya bios bila kusahau kitabu cha Ernest Kira
kwa nini??Mkuu hyo functional approach hadi leo ninayo na cna mpango wa kuuza au kumpatia mtu
Hao wanastahili adhabu ya kifoEti kuna watu waliosoma CBA wanajilinganisha na PCB![]()
![]()
![]()
functional approach ni kitabu bomba sana ila watu wengi hawakijui tu ,jamaaa wanachimba sanaMkuu hyo functional approach hadi leo ninayo na cna mpango wa kuuza au kumpatia mtu
Kitabu kina mambo mazuri japokuwa co mazur sana kama kwenye BS...,,.ila kimechambua baadhi ya vitu kwa undanikwa nini??
well said!!!Kitabu kina mambo mazuri japokuwa co mazur sana kama kwenye BS...,,.ila kimechambua baadhi ya vitu kwa undani
Ila kusoma PCB yahitaji moyo wa ujasiriwell said!!!
Kwa nini unanyima wenzako material ...!Mkuu hyo functional approach hadi leo ninayo na cna mpango wa kuuza au kumpatia mtu
moyo kweli mfano kwenye kupasua mende na panya nilikuwa naona kinyaa sana. ,ila baadaye nilizoea na nilikuwa naweza kupasua muda mwingine bila ya kuvaa glovesIla kusoma PCB yahitaji moyo wa ujasiri
Co kuwanyima mkuu......mda mwingine napitia pitia......c unajua elimu haina mwishoo.......na kipindi cha shule sikuweza kumaliza kitabu choteKwa nini unanyima wenzako material ...!