Waliosoma lyamungo

tupooooooooo tumejaaaa sema mimi nimesoma o level mpaka 2007. Baada ya form four yetu ndo wakahamishwa wale wengine.
 
tupooooooooo tumejaaaa sema mimi nimesoma o level mpaka 2007. Baada ya form four yetu ndo wakahamishwa wale wengine.

aina mbaya man, tupo wadau, mi nilikuwepo pale tangia mwaka 2000

mkuu tupo sana-mambo ya kombo,sere. Na mitaa mingine ya huko-kina mwalimu shoo na wadau wengine

sure mkuu, na mitaa ya kijiweni sana tu, hivi shoo bado yupo?

tumewachapa sana nyie watoto wa buretta
aaah wapi, wewe utakuwa mtoto wa umbwe wewe. Tulikuwa tunawaonea sana nyie
 
hahaha tuliking'oa kibao cha umbwe tukaenda kichomeka kielekee maputo(chooni) walikua hawatuwezi hata kidogo. Wanakabwa pale kwenye nyasi za kombo hawawezi kujitetea maskini mpaka wawaite vijana wa lyamungo wanaojua karatee then ndo tuwasaidie kuwapiga vibaka
 
hamna kitu mkuu.hamkuwa mnatuweza hata kidogo.tulimchapa bureta mpaka akashika adabu.mnakumbuka safari za kwenda machame girls?
 
Lyamungo chama tupo hapa,
Mimi nilimaliza pale o level 2004 kipindi hicho yuko bureta,shoo(ameshastaafu na kwa sasa ana bar yake inaitwa snake bite iko karibu na kcmc hospital), lyaruu(sasa anafundisha mawenzi sekondari).
Nawakumbuka mwl. Kanyindo,masawe,nyela,lyatuu,kitalawe,vaileth,temba,mugogo n.k
 
Hahahaaa ilitokea ile ishu ya bureta kupeleka watu polisi watu kama ledo boy..lairumbe...msolopa na wengine kibao....lyamungo ilikuwa sheeeda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom