Waliosoma lyamungo

Waliosoma lyamungo

Lyamungo haha!mlikuwa mnakuja machame girls kuimba lol!
 
Lyamungo shule yetu mchepuo wa kilimo pamoja na fani nyingine. Elimu tuipatayo tuzingatie nidhamu ...nimeukumbuka sana wimbo wetu wa shule
 
Lyamungo chama tupo hapa,
Mimi nilimaliza pale o level 2004 kipindi hicho yuko bureta,shoo(ameshastaafu na kwa sasa ana bar yake inaitwa snake bite iko karibu na kcmc hospital), lyaruu(sasa anafundisha mawenzi sekondari).
Nawakumbuka mwl. Kanyindo,masawe,nyela,lyatuu,kitalawe,vaileth,temba,mugogo n.k
Mugogo yupo kwao tukuyu. Ni mkuu wa shule
 
Lyamungo chama tupo hapa,
Mimi nilimaliza pale o level 2004 kipindi hicho yuko bureta,shoo(ameshastaafu na kwa sasa ana bar yake inaitwa snake bite iko karibu na kcmc hospital), lyaruu(sasa anafundisha mawenzi sekondari).
Nawakumbuka mwl. Kanyindo,masawe,nyela,lyatuu,kitalawe,vaileth,temba,mugogo n.k
Duuuuu umemsahau maza wangu...alikuwa mtaalamu Wa hesabu...mkumbuke basi
 
Back
Top Bottom