Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

Mkisi program umenikumbusha mbali alikuwa anapita class chezea sana kichurachura na kushimva mashimbo ya uchafu

Alipo rithi mikoba ya Kiswaga akaanza kuja na bodyguard na afande Ismail...na kamsemo kake ka P power five...prior preparations prevents poor performance...
 
Hahahaa....kwenye ule mstimu mkabala na ukuta wa salvation...nimekula sana flight hapo...yaani palikuwa kama main gate kwa sie watoto wa hostel miaka hiyo.

hapo hapo Mkuu kuna kipindi nadhani miaka ya 2005/2006 kuna mshikaji walikuwa wanamwita Nature ilikuwa kila wakiongezea tofali yeye analibomoa
 
Kuna huyu afande huwa anajifanya mbabe sana anaitwa Kajimara ukizinguana naye anakutishi kukuwekea bangi sijui bado yupo?

kajimara hadi namaliza form6 2009 alkuwepo... jamaaa nishawahi ingia anga zake. Adhabu aliyonipa ni kuongea kingereza.

then kuna mtu mwingine anaitwa afande ismail yeye tulikuwa tukimpoooza kahela kidogo anatutorosha
 
Sasaivi mkuu wa shule ni nani?? Afande bruno yupo? Alinitesa sana yule afande. Nilikuwepo 2001to 2004 af nilikuwa hostel
 
...nilikuwepo enzi za masawe,bitozi mkisi alikuwa wa kawaida tu,alikuwepo afande mang'wela kamasikosei,alikuwa anafundisha uchumi. Alikuwa akiwakamata na kosa ukafanikiwa kumtoroka basi hakutafuti tena ila atakaye mkamata lazima aone chamoto. Bwenge mzee wa nidhamu,mambo ya below 50....
 
1782097_705481902815942_1692643582_a.jpg

Salaam kwa wote mliowahi kusoma Shule ya Sekondari ya Jitegemee lengo la uzi huu ni kusalimiana na kukumbushana vitu vizuri na vya kipekee vinavyopatikana/vilivyokuwa vinapatikana shuleni Jitegemee
binafsi nakumbuka sana vitu vifuatavyo
1. Mkungu Tree: Huu ni mti unaotumiwa sana kwa ajili ya kufanyia vikao na School baraza
2. Uwanja wa damu:

kuna eneo linaitwa loliondo eneo hili lipo kwenye hostel ya wavulana.maticha ninao wakumbuka ni mbonabucha,ndeha,wajadi others u name it
 
....nakumbuka ilikuwa taabu kutoroka mchana,alikuwepo mshikaji babayake ni brigedia basi tulikuwa tunampigia simu dereva wa babayake anakuja mapema tunajaa kwenye gari,getini wakiona gari inatoka makao makuu ina nyota,wanafungua geti kiulaiiiniii,watu haoo uswazi....
 
kwa wale watu wa hostel mnamkumbuka mama neema alikuwa anauza chapati na juice za 50 kwa anaekumbuka zile juice zinaitwaje? Cku ambayo ctasahau ni ile nilipoficha chakula kwenye tranka ili nikitoka prepo mwanaume nikandamize niliporud nikakuta wazee wakaz wamegeuza tranka bas nguo zote zilitapakaa chakula
 
mkuu wa shule nadhani ni huyu jamaa
1800252_705714672792665_394331270_n.jpg

Martine Mkisi

hapana martin mkisi hayupo jitegemee kwa sasa... amepanda cheo na kuwa luten kanali na sasa ni mkuu wa kambi ya Ruvu Jkt. Mkuu wa sasa hapo jite bado sijamfaham
 
hapana martin mkisi hayupo jitegemee kwa sasa... amepanda cheo na kuwa luten kanali na sasa ni mkuu wa kambi ya Ruvu Jkt. Mkuu wa sasa hapo jite bado sijamfaham

Asante kwa masahihisho mkuu bila shaka jamaa atakuwa ameshachukua Phd kabisa maana. hadi 2008 Alikuwa na masters na alikuwa anahangaikia Phd
 
mkuu wa shule nadhani ni huyu jamaa
1800252_705714672792665_394331270_n.jpg

Martine Mkisi

halafu huyu jamaa si alianzia pale pale olevel akapanda alevel
Duh alikuja kuwa headmaster kumbe
Mbonabucha sijui yuko wapi na yule mama wa skauti alikuwa mnoko kama nini
 
halafu huyu jamaa si alianzia pale pale olevel akapanda alevel
Duh alikuja kuwa headmaster kumbe
Mbonabucha sijui yuko wapi na yule mama wa skauti alikuwa mnoko kama nini
jamaa mtata mbaya, amevuga shule sana.....
 
jamaa mtata mbaya, amevuga shule sana.....

Enzi za akina Massawe akiwa headmaster na akina Bwenge na Wajadi shule ilikuwa shule kweli na hata ufaulu ulikuwa juu sana baada ya kuondoka Massawe shule ilianza kuporomoka sana na utoz ukawa mwingi mbaya
Viranja wetu akina Mbise walikuwa kama walimu na walikuwa wakitoa adhabu kama walimu na hata huyo Mkisi alikuwa Kiranja pia wakati akiwa Olevel na Alevel pia
Yaani ilikuwa ukishavaaa zile lebel nyekundu wewe ni kama mwalimu mwingine maana akikutana na wewe huna tai au umechomolea shati anakurudisha mpaka Jitegemee hata kama uko posta au kariakoo
 
miaka hii mitatu kati ya 2010-2013 shule kama imekufa vile, wale walimu wazoefu wa zaidi ya miaka 10 wote wameondoka, wengine ukikaribia kumaliza kamkataba kako unaambiwa ahsante endelea na maisha mengine.....
 
Wapi MTOKAMBALI, KWEMBE, NDIYAMUKAMA, NYAHONYO, NZIKU, CHAO bila kuwasahau walimu wng wa darasa wa 4m 5 na 6(HGE) 2011-2013 NGAMESHA na KINYERO..
 
Enzi za akina Massawe akiwa headmaster na akina Bwenge na Wajadi shule ilikuwa shule kweli na hata ufaulu ulikuwa juu sana baada ya kuondoka Massawe shule ilianza kuporomoka sana na utoz ukawa mwingi mbaya
Viranja wetu akina Mbise walikuwa kama walimu na walikuwa wakitoa adhabu kama walimu na hata huyo Mkisi alikuwa Kiranja pia wakati akiwa Olevel na Alevel pia
Yaani ilikuwa ukishavaaa zile lebel nyekundu wewe ni kama mwalimu mwingine maana akikutana na wewe huna tai au umechomolea shati anakurudisha mpaka Jitegemee hata kama uko posta au kariakoo

Hahahahaa....mkuu we kweli wa kale. Jite ya siku hizi nidhamu hakuna kabisa!!!
 
Back
Top Bottom