Waliosema Pep hawezi kuchukua EPL back to back , vipi mnalipi tena?.

CalvinPower

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
1,538
2,000
hivi kila kocha epl pale apewe kila mchezaji anaemtaka kitatokea nini uwanjani!?...mourinho,wenger,ferguson,klopp,pochetino uwape kila mchezaji wanaemtaka,wawe na uwezo wa kununua timu nzima..epl itakuwaje!?..pep ananunua mafanikio,anakua na timu imara kuliko wenzake,ukiniamabia nichague kocha nachagua klop
Hayo ni waoni yako. Unamchagua klopp ila haleti kombe. Mm namchagua Pep maana analeta nakombe.
Acha chuki. Domestic anachukua zote
Legue cup, epl cup, FA cup.
Pep is numbari 1
Acha chuki
 
Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
992
1,000
Pep hawezi chukua EPL mara mbili mfululizo , maana ligi ya Epl ningumu sana. Vipi mnalipi tena ndugu zangu juu ya Pep.

Au kingumu England nikuendesha gari tu.Maana Sasa hivi naona anaondoka nivikombe vyote vya England.
Ingawa mimi si mmoja wa waliosema hayo, ila nachelea kusema Pep ni aina ya kocha anayevizia timu iliyoundwa na yeye uwezo mkubwa wa kifedha kwaajili ya usajili. Kwangu mimi, Pochettino, Klopp ni bora mara mia zaidi....nikiwafikilia wakina Claudio Ranieri, Harry Redknap wa enzi zile, Rijkard, Van Gaal, Del Bosque, Wenger, Ferguson, na yule aliyekuwa kocha wa Brazil 2002, jina nimelisahau, sioni uwezo wa Pep kihivyo, ujanja tu.
 
inamankusweke

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
6,212
2,000
Hayo ni waoni yako. Unamchagua klopp ila haleti kombe. Mm namchagua Pep maana analeta nakombe.
Acha chuki. Domestic anachukua zote
Legue cup, epl cup, FA cup.
Pep is numbari 1
Acha chuki
naona umeamua kukoma kufikiri,na hutaki kuelewa,wanafungiwa uefa na bdo kapewa 200m anunue tena
 
RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
1,470
2,000
Ingawa mimi si mmoja wa waliosema hayo, ila nachelea kusema Pep ni aina ya kocha anayevizia timu iliyoundwa na yeye uwezo mkubwa wa kifedha kwaajili ya usajili. Kwangu mimi, Pochettino, Klopp ni bora mara mia zaidi....nikiwafikilia wakina Claudio Ranieri, Harry Redknap wa enzi zile, Rijkard, Van Gaal, Del Bosque, Wenger, Ferguson, na yule aliyekuwa kocha wa Brazil 2002, jina nimelisahau, sioni uwezo wa Pep kihivyo, ujanja tu.
Furgason kafundisha miaka 27 lkn ana uefa mbili hapo Man u, unalizungumziaje hili?.

Timu ipi mkuu ambayo haitumii pesa kusajili?.Au kocha yupi ambae hasajili, Pep msimu uliopita kanunua wachezaji wawili tu,Laporte na Maharez tena kwa bei zakawaida.

Mchezaji yupi man city kasajiliwa na Pep angalau kwa bei sawa na Lukaku,vvd,pogba,Allison?.
 
Maalim Shewedy

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
3,566
2,000
Hivi wewe mbona una unanzi mwingi kwa Pep...?

Ndani ya misimu 3 aliyokaa Pep pale Citizen unazani kanunua wachezaji wangapi mpaka sasa...,?

Na hiyo misimu 3 aliyotumia pesa Pep hapo Citizens kuna kocha gani unayemjua wewe aliyeweza kutumia kiasi akichotumia Pep ktk kununua Player...?

Mafanikio ya Pep pale Citizens yanaendana na nguvu ya pesa anayotumia tofauti na vilabu alivyopitia huko nyuma. Hata hilo hulioni...?

Na mpaka sasa Pep kinachomuumiza kichwa ni UEFA tangu akiwa Bayern mpaka Citizens hakuna alichopata. Ila msimu huu ndio alitakiwa achukue maana ukiangalia timu nyingi vigogo wapo hoi, lakini cha kushangaza ametolewa na timu ambayo haijafanya usajili wowote ndani ya msimu mmoja.

Acha unanzi bhanaa, Pep anatumia nguvu kubwa ya pesa kwa ajili ya UEFA....
Furgason kafundisha miaka 27 lkn ana uefa mbili hapo Man u, unalizungumziaje hili?.

Timu ipi mkuu ambayo haitumii pesa kusajili?.Au kocha yupi ambae hasajili, Pep msimu uliopita kanunua wachezaji wawili tu,Laporte na Maharez tena kwa bei zakawaida.

Mchezaji yupi man city kasajiliwa na Pep angalau kwa bei sawa na Lukaku,vvd,pogba,Allison?.
 
Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,313
2,000
Aisee mm ni liverpool damu kabisa ila kwenye Epl kwa kikosi alichonacho Pep nachelea kusema kwamba ata beba Epl mpaka watu watapoteana yani huu ni mwanzo tu.
 
Top Bottom