Waliosafilisha wanyamapori kupitia KIA mbaroni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliosafilisha wanyamapori kupitia KIA mbaroni.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mtoka Mbali, Jun 10, 2011.

 1. Mtoka Mbali

  Mtoka Mbali JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jana ilikuwa ni siku ya kamata kamata kwa wale wote waliojihusisha na kusafirisha wanyama pori kupitia KIA. Sina uhakika na idadi ya watuhumiwa waliokamatwa ila uhakika nilionao ni kwamba wahusika wakuu Jana walikamatwa na walishindwa kutimiza masharti ya dhamana hivyo kuwekwa selo mpaka hivi sasa. Nitakuwa nikiwajuza kadri mambo takavyokuwa yakiendelea.
   
 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,383
  Trophy Points: 280
  Majina please..
   
 3. a

  andry surlbaran Senior Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kusafirisha si kusafilisha!!
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wakanyee debe!
   
 5. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  CCM kidumu ili kiwe chama cha upinzani! Wakiandamana iwe virungu mpaka majumbani mwao! Duh! Hapana, kisasi ni cha Bw. Mungu wa Yakobo! wakidumu wataanza kujenga hoja wakiwa wapinzani.
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  naomba uendelee na hii kazi..
   
Loading...