Waliopokea Katiba pendekezwa wasotea posho Dodoma

Waliopokea Katiba pendekezwa wasotea posho Dodoma

WASANII%2B10.JPG

huyo tozi aliyevaa skafu ya mwigulu atembee kwa miguu kuanzia dodoma hadi mwanza kama kweli anaunga mkono hicho kilichompeleka hapo dodoma, au atumie nauli yake kama alisukumwa kwa utashi wake na uzalendo pia,
 
Hivi ni lini watanzania wataamka na kujitambua?
Ni lini wataacha kutumika kwa manufaa ya mtu binafsi?
Haiingii akilini kwa mtu kuacha shughuli zake za kumwingizia vijisenti vya kula na kwenda kushangilia jambo ambalo litakuja kukuumiza miaka mitano baadae.
Hao wanaosubiria vijiposho hawana tofauti na majuha wanaoshangilia hati ya kifo kwa uvivu wao wa kusoma wakifikiri ni barua za promotion! Hebu tubadilike na tuache kutumiwa kwa mambo yasiyo na maslahi mapana basi!.
 
Hao ndo akina Chukua Chako Mapema. Cjui wengine wamechelewa wap tukisema mafisad vijana wa kinana mnasema tunawatukana kaz mnayo safari hii CCM
Jamani waache waanikwe wajue watu tunajua kuwa jana ilikuwa ujinga tu hivi hawaoni hakuna hata chombo kimeleta mwendelezo wowote au kurudiarudia habari!!!!!!!!!!!!!!!! CCM! CCM! CCM OHEYEEEEEEEEEEE:hail:
 
Back
Top Bottom