Waliopatwa na hii hali karibuni tufarijiane

Pole sana nadhani ni hali ya kisaikolojia kutokana na mazingira mapya yanayokuzunguka yenye hali mpya mbali na ile ya zamani .

Pole naelewa unachoongea na nahisi unachonahisi ijapokuwa nipo kwenye hali ya mwanzo kwasababu sasa naishi mazingira yako ya awali .

Pole mpate msaikolojia utakaa sawa 😭😭
Kuna kitu kinaitwa NEAR TO DEATH EXPERIENCE huwa kinawapa wagonjwa walio mahututi.! Kinaogopesha sana kikikupata ukiwa huumwi🤨
 
Kaka hiki kitu inaumiza sana ila pole sana .
Near to death experience ni hatari ukibahatika kumshuhudia mgonjwa anayepitia hali hiyo hasa akiwa katika hali ya mtanziko wa kukataa kifo achana na ile hali anayokuwa sawa kama hakuwahi kuumwa ,inaumiza sana .
Ila pole sana mpate msaikolojia ,ikiwa hautajali nenda regency hospital pale mnazi ,ulizia dokta Mattan ,huyu ni daktari ila ni msaikolojia nadhani kwa hali yako atakusaidia na utakuwa sawa
Pole sana nahisi hali yako
 
I had to write this! Ili kama kuna wenye the same problem wasaidike! To my Ade the situation is under control 🙏🏿
 
Chuo wapi? Bora hii kazi.
🥺🥺🥺
50fe88a4-c3cf-4455-9278-06e8078d13b2.jpeg
 
Back
Top Bottom