Waliooa ni vijembee nawakubali

Nioe ili iweje? Mtoto ninaye,mbunye uhakika mda wowote,sipendi stress mimi nitaoa nikianza kuwa mzee
 
Ngoja nitafute nyumba ndogo
 
Umeandika wakiwa single wanahonga Malaya hela zinaisha Bora waoe halafu ukasema wanaume walioa wanajua kucare that means wanatoa pesa na penzi motomoto , zezeta ukamalizia ukioa unapata mademu wengi..

Mwisho wa siku maana yako ilikuwa ukiwa single unatumia hela nyingi sababu unakuwa na mademu wengi

Humu Jf Kuna baadhi ya wanawake wajinga sana ni vile tu huwezi mdharau tu mwenye Id fake unaweza mdharau mwanamke kumbe mwanaume..
Sikia upuuzi upi bhana si kweli ukiangalia wanawake wengi hawataki single men wanataka marriage men why they know how to care.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza vizuri ila mwisho apo umetuchafua tengua kauli.
Ndoa tamu ikiw kila mtu anajua mwenzake anataka nn hataki nn. nyingine changamoto zinazungumzika za kurudi uko chupa izo ni minor issues
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…