Waliooa ni vijembee nawakubali

Katoto kazuri hua kanaishi kwenye ulimwengu wa peke yake. Yani mawazo na akili zake ni nje ya uhalisia!

She lives in a bubble!

As you grow up, the bubble will burst sweetheart!
 
Kumbe nina karibia muongo mzima wa kujipanga ...kwenu kuna jinsi ke mwenye sifa ulizotaja yaani mwenye uchungu na Mali yangu, heshima na usikivu nataka nije
 
Inawezekana ningekuwa hivyo ama kinyume chake

Kimsingi point yangu ya ningekuwa mwanaume nisingeoa ni sababu ya namna navyoona waume za watu walivyo siku hizi...ni heri wasioe kwa mambo wanayoyafanya
sio wote lkn
 
You'll start to see the real colours of the world. Ndoa sio jambo la kukimbilia. 75% ya wanaume hua wanaingia kwenye ndoa bila kupenda. Matokeo yake ni migogoro isiokwisha!

You're walking in the air, someone needs to bring you back on the ground!
Nimewahi ishi na mtu so huniambii chochote eti cha ndoa.
Huyo mtu alikuwa hatujaoana just we have strong relationship so kama nitaolewa na wajua fika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mwanaume mmoja ajitokeze maana username yake haimsaidii tena anaamua afungue nyuzi, anataka kuolewa....
Kajificha nyuma ya pensi ya baba yake
 
Toa sababu za kuonesha kuoa ni jambo jema
1 . Unakuwa msafi mwenye afya mwenye kujipenda.
Unafuliwa unapikiwa unapewa penzi kwa tani yako haulipii kitu yako kila baada ya service.
2.Unapata baraka mbali mbali hata kazini unapeza kuomba uzuru ukapewa kazi zako sio unapewa nyingi ili uchelewe home na kama ni dharura anaitwa masingle boys wakamalizie kazi.
3.unapewa bahati bahati urudi mikono mitupu unakuwa unaraha hata mlikwazana couse furaha ya watoto wako wakupa moyo wakujituma.
4.Mara nyingi huna wasiwasi wanani atafanya majukumu ya home.
5.Unakuwa unapanga vitu vya kujenga kuliko kubomoa .
Kama ijumapili pasaka sikuku hiyo unaenda na familia kuenjoy.
Ila wewe single men wanaenda kusaka magonjwa.
Supermarket unanunua vitu vya watoto yeye ananunua condom na bia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…