Waliokuwa wanamshangilia na kumsifu anayejiita 'Mdude Chadema' wako wapi?

Mtu mwenyewe anaitwa mdude, sasa unategemea nini ?
Wahenga walisema "Jogoo La Shamba Haliwiki Mjini "

- mtu wa kijijini aletwapo mjini shida kubwa sana hutokea !

- Just imagine ndege 11 cash money ?? Kama ni Utalii, kwa nini hoteli zinageuzwa Hostel ?

- Ushamba ni Shida Ya Zama Zote Ndugu Watanzania !
 
Watu wa mitandaoni wanazijadili mada kadri ya muda ulivyo. Sasa hivi habari ya mjini ni Dangote kuondoa uwekezaji wake wa kiwanda cha simenti.
 
Wahenga walisema "Jogoo La Shamba Haliwiki Mjini "

- mtu wa kijijini aletwapo mjini shida kubwa sana hutokea !

- Just imagine ndege 11 cash money ?? Kama ni Utalii, kwa nini hoteli zinageuzwa Hostel ?

- Ushamba ni Shida Ya Zama Zote Ndugu Watanzania !
Washamba ni wale wanaodhani kwamba kila kitu kitakwenda kadri ya mtu anavyotaka kiende. Kufa kwa biashara ni suala la dunia nzima kwa sasa.

Nenda Marekani uliza ni biashara ngapi za mahoteli zimekufa kwa mwaka huu tu wa 2020, jibu utakalolipata utaelewa nini kinaendelea duniani.

Nenda Ureno na Brazil nchi zenye kutegemea watalii wa ufukweni uliza ni biashara ngapi za mahoteli zimekufa mwaka huu, utapewa jibu la kusikitisha sana.

Na huko hakuna hao washamba kwa mujibu wa maana aliyoianzisha Zitto Kabwe. Corona imeua biashara nyingi sana achana na hii hoteli ya Arusha.
 
Siasa za nchi hii ukizivamia bila kujua vizuri historia yake lazima zitakupeleka sehemu ambayo ulidhani haiwezekani!

Wanasiasa wanaozijua vizuri siasa za nchi hii kwa sasa wako na familia zao huku wale ambao walizivamia bila kuzijua kwa sasa wako sehemu ambayo hawakutegemea!

Anayejiita ''Mdude Chadema'' ni moja ya watu waliozivamia siasa nchini bila kuwa na ufahamu mpana!

Shangwe na sifa alizokuwa anazipata kwenye mitandao ya kijamii zilimpa sense of invincibility fable! Akadhani ni zaidi hata ya wale wanaomsifia na kumshangilia!

Anayejiita ''Mdude Chadema'' hakujua wanaomsifia na kumshangilia wanamuona kama mtoa burudani kwa sababu baadhi ya watanzania wanazichukulia siasa kama burudani!

''Sense of invincibility fable'' ilimfanya azidishe burudani zake ambazo kiuhalisia hazikuwa na mwelekeo!

Baada ya ''kuguswa'' na wenye siasa, kwa sasa waliokuwa wanampa sifa na kumshangilia hawaonekani tena! Wamehamia kwa watu wengine ambao matendo yao ya kisiasa pia ni kama watoa burudani!

Nadhani anayejiita ''Mdude Chadema'' hakuwahi kuyasoma maneno ya hekima na busara yaliyosemwa na Mwanajeshi wa Kichina, Sun Tzu yasemayo, '' If you know neither the enemy nor yourself, you will succumb in every battle''.

Wazee wetu pia walituasa wakisema, ''Akili za kuambiwa, changanya naza kwako''! Hii ina maana sikiliza na uchambue kwa makini na kutafakari ulichokisikiliza kabla hujafanya maamuzi!

Kwa sasa aliyebaki anahangaika ni yeye na familia yake huku waliokuwa wanamsifia na kumshangilia wakiendelea na burudani zingine za siasa! Waliokuwa wanamsifia na kumshangilia hawaonekani hata mahakamani ili kuendeleza sifa na shangwe!

Siasa za nchi hii zina wenyewe na kama unataka kuzifanya siasa kama burudani lazima kwanza ujue kikomo chake!

Methali inayosema, '' wajinga ndio waliwao'' haikuandikwa kama burudani!
Soma vizuri historia ya siasa. Naona kutokufahamu historia hiyo kunakuhangaisha sana. Pole mkuu.
 
Washamba ni wale wanaodhani kwamba kila kitu kitakwenda kadri ya mtu anavyotaka kiende. Kufa kwa biashara ni suala la dunia nzima kwa sasa.

Nenda Marekani uliza ni biashara ngapi za mahoteli zimekufa kwa mwaka huu tu wa 2020, jibu utakalolipata utaelewa nini kinaendelea duniani.

Nenda Ureno na Brazil nchi zenye kutegemea watalii wa ufukweni uliza ni biashara ngapi za mahoteli zimekufa mwaka huu, utapewa jibu la kusikitisha sana.

Na huko hakuna hao washamba kwa mujibu wa maana aliyoianzisha Zitto Kabwe. Corona imeua biashara nyingi sana achana na hii hoteli ya Arusha.
Mwenye macho haambiwi ona. Endelea kujifariji.
 
Soma Historia ya Nelson Mandela na harakati zake dhidi ya ubaguzi wa rangi Afrika Kusini.
Aliyokuwa anafanya Mandela na ya Mdude Nyagali ni tofauti kubwa sana.

Kijana alipenda sifa kama ambavyo Lissu alipenda sifa, wote wakasahau misingi.

Angalau Lissu ana elimu kubwa, umri mkubwa na connection ndiyo maana yeye yupo Ulaya muda huu huku Mdude umri mdogo na elimu ndogo ameishia kuwa chini ya vyombo vya dola huku hajui kesho yake.

Wanachofanana Lissu na dogo Mdude ni ulemavu uliotokana na hiyo hulka yao ya kupenda sifa sana.

Pole yake dogo Mdude Nyagali na tumuombee atoke salama huko aliko majengo ya seri....
 
Siasa za nchi hii ukizivamia bila kujua vizuri historia yake lazima zitakupeleka sehemu ambayo ulidhani haiwezekani!

Wanasiasa wanaozijua vizuri siasa za nchi hii kwa sasa wako na familia zao huku wale ambao walizivamia bila kuzijua kwa sasa wako sehemu ambayo hawakutegemea!

Anayejiita ''Mdude Chadema'' ni moja ya watu waliozivamia siasa nchini bila kuwa na ufahamu mpana!

Shangwe na sifa alizokuwa anazipata kwenye mitandao ya kijamii zilimpa sense of invincibility fable! Akadhani ni zaidi hata ya wale wanaomsifia na kumshangilia!

Anayejiita ''Mdude Chadema'' hakujua wanaomsifia na kumshangilia wanamuona kama mtoa burudani kwa sababu baadhi ya watanzania wanazichukulia siasa kama burudani!

''Sense of invincibility fable'' ilimfanya azidishe burudani zake ambazo kiuhalisia hazikuwa na mwelekeo!

Baada ya ''kuguswa'' na wenye siasa, kwa sasa waliokuwa wanampa sifa na kumshangilia hawaonekani tena! Wamehamia kwa watu wengine ambao matendo yao ya kisiasa pia ni kama watoa burudani!

Nadhani anayejiita ''Mdude Chadema'' hakuwahi kuyasoma maneno ya hekima na busara yaliyosemwa na Mwanajeshi wa Kichina, Sun Tzu yasemayo, '' If you know neither the enemy nor yourself, you will succumb in every battle''.

Wazee wetu pia walituasa wakisema, ''Akili za kuambiwa, changanya naza kwako''! Hii ina maana sikiliza na uchambue kwa makini na kutafakari ulichokisikiliza kabla hujafanya maamuzi!

Kwa sasa aliyebaki anahangaika ni yeye na familia yake huku waliokuwa wanamsifia na kumshangilia wakiendelea na burudani zingine za siasa! Waliokuwa wanamsifia na kumshangilia hawaonekani hata mahakamani ili kuendeleza sifa na shangwe!

Siasa za nchi hii zina wenyewe na kama unataka kuzifanya siasa kama burudani lazima kwanza ujue kikomo chake!

Methali inayosema, '' wajinga ndio waliwao'' haikuandikwa kama burudani!
Wako mtwara na msumbiji. Subiri wakishafika kwako utawaona
 
Eti nae ni walimwita shujaa,tunazo historia zao baada ya kukutumia hawana mpango nawe familia ya aqwilina iliwashtukia!
Je familia ya Aqwilina aliewatia simanzi ni nani? Je mmewafaidisha au mnawazidishia machungu kwa hii mibwato yenu?
Hayati Kolimba alikuwa CCM sana kuliko ninyi...
Hujafa hujaumbika.
 
Aliyokuwa anafanya Mandela na ya Mdude Nyagali ni tofauti kubwa sana.

Kijana alipenda sifa kama ambavyo Lissu alipenda sifa, wote wakasahau misingi.

Angalau Lissu ana elimu kubwa, umri mkubwa na connection ndiyo maana yeye yupo Ulaya muda huu huku Mdude umri mdogo na elimu ndogo ameishia kuwa chini ya vyombo vya dola huku hajui kesho yake.

Wanachofanana Lissu na dogo Mdude ni ulemavu uliotokana na hiyo hulka yao ya kupenda sifa sana.

Pole yake dogo Mdude Nyagali na tumuombee atoke salama huko aliko majengo ya seri....
Waweza shangilia na kumcheka aliyeko jela huku ukiamini wewe utakuwa huru milele.
Vema kukumbuka "hakuna aijuae kesho yake..." màana si wote walioko jela ni wahalifu.
 
Kwa hiyo unakubali kafungwa kwa sababu za kisiasa na sio kukutwa na madawa ya kulevya?
 
Waweza shangilia na kumcheka aliyeko jela huku ukiamini wewe utakuwa huru milele.
Vema kukumbuka "hakuna aijuae kesho yake..." màana si wote walioko jela ni wahalifu.
Umenielewa vibaya sijamcheka mtu, tena nimemuombea mwishoni mwa maoni yangu.

I was only stating the obvious!
Shangwe na sifa zilikuwa nyingi Hadi akasahau huku kwetu Afrika tuna utamaduni wa kuheshimu wakubwa hata kama tunapingana nao kiitikadi au kifikra.

Akasahau kuna kuheshimu mamlaka, n.k.

Wewe na mimi mbona tupo uraiani muda huu kama vyombo vya dola vina kamata watu arbitrary bila makosa?
Ukiona hata unahisiwa na vyombo vya dola kukosea basi jichunguze huenda kuna mazingira au tabia yako au marafiki wanachangia wewe kuhisiwa unafanya uhalifu.
 
Siasa za nchi hii ukizivamia bila kujua vizuri historia yake lazima zitakupeleka sehemu ambayo ulidhani haiwezekani!

Wanasiasa wanaozijua vizuri siasa za nchi hii kwa sasa wako na familia zao huku wale ambao walizivamia bila kuzijua kwa sasa wako sehemu ambayo hawakutegemea!

Anayejiita ''Mdude Chadema'' ni moja ya watu waliozivamia siasa nchini bila kuwa na ufahamu mpana!

Shangwe na sifa alizokuwa anazipata kwenye mitandao ya kijamii zilimpa sense of invincibility fable! Akadhani ni zaidi hata ya wale wanaomsifia na kumshangilia!

Anayejiita ''Mdude Chadema'' hakujua wanaomsifia na kumshangilia wanamuona kama mtoa burudani kwa sababu baadhi ya watanzania wanazichukulia siasa kama burudani!

''Sense of invincibility fable'' ilimfanya azidishe burudani zake ambazo kiuhalisia hazikuwa na mwelekeo!

Baada ya ''kuguswa'' na wenye siasa, kwa sasa waliokuwa wanampa sifa na kumshangilia hawaonekani tena! Wamehamia kwa watu wengine ambao matendo yao ya kisiasa pia ni kama watoa burudani!

Nadhani anayejiita ''Mdude Chadema'' hakuwahi kuyasoma maneno ya hekima na busara yaliyosemwa na Mwanajeshi wa Kichina, Sun Tzu yasemayo, '' If you know neither the enemy nor yourself, you will succumb in every battle''.

Wazee wetu pia walituasa wakisema, ''Akili za kuambiwa, changanya naza kwako''! Hii ina maana sikiliza na uchambue kwa makini na kutafakari ulichokisikiliza kabla hujafanya maamuzi!

Kwa sasa aliyebaki anahangaika ni yeye na familia yake huku waliokuwa wanamsifia na kumshangilia wakiendelea na burudani zingine za siasa! Waliokuwa wanamsifia na kumshangilia hawaonekani hata mahakamani ili kuendeleza sifa na shangwe!

Siasa za nchi hii zina wenyewe na kama unataka kuzifanya siasa kama burudani lazima kwanza ujue kikomo chake!

Methali inayosema, '' wajinga ndio waliwao'' haikuandikwa kama burudani!
Nikionacho kwani ni ile hali aisikiayo mtu pale mwenzie asagapo tofali. Huhisi kama meno yanapata shida lakini msagaji yupo na Furaha. Mdude huo mchezo anaupenda hasa pale anapoibainisha bayana uovu wa serikali kuonea wananchi wake.
Mdude anaungana na wanasiasa nguli duniani waliofungwa kwa sababu ya misimamo mkali ya kisiasa. Hata wewe Unajua siasa yake ndio inayomuweka ndani na Unajua kuwa anaonewa kwa mujibu wa andiko lako. Yeye anatunukiwa prison graduation award like Jomo Kenyatta of Kenya, Mahatma Gandhi, Mandela na wengine wengi. Mwenzio anajilia pilipili yake wewe unatokwa chozi.
Sasa hivi Mdude yupo salama sana hasa Kipindi hiki cha kesi yake dhidi ya serikali. Mara mbili kanusurika kuuwawa baada ya kutekwa. Lengo ilikuwa ni kumzuia asifungue kesi pia asiendelee nazo. Hivi sasa yupo salama na kuendelea kujenga usugu na kuacha kuogopa magereza hata mapambano dhidi ya dola kama walivyofanya Lugemalila na Sethi
 
Ukweli ni kwamba Mdude Chadema katelekezwa na watu wake. Majuzi hapa kwenye post ya kuchangisha pesa za kusaidia wenye shida kuna mtu alimuuliza MALISA GJ kuhusu kumchangia Mdude lakini cha kushangaza Malisa alijibu kimkato na kujibaraguza kwamba kuna utaratibu ambao followers karibu wote hawaujui. CHADEMA ni janga la kitaifa. Inawadanganya sana vijana. Tukikatae hiki chama cha Mbowe.
 
Back
Top Bottom