Waliokuwa wanamshangilia na kumsifu anayejiita 'Mdude Chadema' wako wapi?

Alikuwaga anadhani ni sifa kutukana Wakubwa ni sifa anahangaika pekeyake sasa wenzie aamekosa hata ubunge naniahangaike naetena anajutakuijuwa chadema
Kama nilivyosema, alizivamia siasa bila kujua kikomo chake!
 
Huyo ni mdude ni mhalifu na amevuna alichokipanda
Waweza shangilia na kumcheka aliyeko jela huku ukiamini wewe utakuwa huru milele.
Vema kukumbuka "hakuna aijuae kesho yake..." màana si wote walioko jela ni wahalifu.
 
56 Reactions
Reply
Back
Top Bottom