Waliokuwa 10 bora Tanzania (PCB) nane kati yao wamenyimwa mkopo

Hamna kitu kama hicho...kwanza nimegundua watu valuable katika jamii ni watu wenye ufaulu wa kati..div 2 ad 3....hao div one kwenye utendaji kazi ni mapunga kabisa, ukiangalia hata serikalini wasomi hao ndo mapoyoyo wakubwa tena from UD, kwenye kung'amua mambo ni poor...yaan ni one way thinking..hata shuleni huwez kuta wanapewa hata ukiranja....!!!.wapambane na hali zao

Wewe ni wale vilaza ukisoma between lines.😎😎😎
 
Mzazi kama ana uwezo in afadhali amlipie mtoto wake gharama za chuo badala ya kuchukua mkopo. Imagine mtoto wake anamaliza chuo na deni LA Milioni 30 ambazo atakatwa kwa muda mrefu, utajisikiaje kama mzazi wakati ulikuwa na uwezo was kumlupia?
 
Back
Top Bottom