Waliokufa kwenye Maandamano, wanataka kuwazika kwenye Kaburi ya Pamoja. Tunaomba watoto wetu tukawazike

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,662
Reaction score
59,100
Haya ni malalamiko nimetumiwa na mdau. Sijathibitisha.

Kama ni kweli, naomba mtuupatie miili ya watoto wetu tukawazike wenyewe kwa gharama zetu.

TAARIFA MUHIMU.

Serikali inaendelea kutoa miili ya wapendwa wetu waliouwawa na Vikosi vya Samia Mahospitalini na kwenda kuwazika kwenye Makaburi ya pamoja usiku.

Watanganyika pigeni kelele kuzuia uhalifu huu, vijana wetu wamewaua basi watupe haki ya kuhifadhi Miili yao kwa heshima. Hawa ni mashujaa na wazalendo wa Taifa, tuachwe tuwazike kwa HESHIMA.!!
::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::

IMPORTANT NOTICE.

The government continues to release the bodies of our loved ones killed by Samia Forces from hospitals and bury them in mass graves at night.

Watanganyika shout to stop this crime, Samia has killed our youth, so give us the right to preserve their bodies with respect. These are heroes and patriots of the Nation, let us bury them with HONOR.!!
FB_IMG_1762284880377.jpg
 
Haya ni malalamiko nimetumiwa na mdau. Sijathibitisha.

Kama ni kweli, naomba mtuupatie miili ya watoto wetu tukawazike wenyewe kwa gharama zetu.

TAARIFA MUHIMU.

Serikali inaendelea kutoa miili ya wapendwa wetu waliouwawa na Vikosi vya Samia Mahospitalini na kwenda kuwazika kwenye Makaburi ya pamoja usiku.

Watanganyika pigeni kelele kuzuia uhalifu huu, Samia ameua vijana wetu basi atupe haki ya kuhifadhi Miili yao kwa heshima. Hawa ni mashujaa na wazalendo wa Taifa, tuachwe tuwazike kwa HESHIMA.!!
::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::

IMPORTANT NOTICE.

The government continues to release the bodies of our loved ones killed by Samia Forces from hospitals and bury them in mass graves at night.

Watanganyika shout to stop this crime, Samia has killed our youth, so give us the right to preserve their bodies with respect. These are heroes and patriots of the Nation, let us bury them with HONOR.!!
View attachment 3497363
Ila picha ni ya mauwaji ya Gaza sio ya Bongo.....tuwe realistic kwenye kipindi hiki so that hawapati advantage kutokana na posts zetu
 
Unaona shida gani kuwataja kwa majina ?
 
Nimesoma post moja kuwa 'wengine wamechomwa moto huko wazo kwenye kiwanda cha saruji.

Mbona hali ni mbaya hivyo kama kweli!.
 
Back
Top Bottom