Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,512
- 272,211
Hayo yamesemwa na Mh Halima Mdee ambaye ni msemaji wa kambi ya upinzani wa wizara ya fedha na mipango , wakati akisoma maoni ya kambi hiyo kuhusu mapendekezo ya mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa mwaka 2017/18.
" Tumeshuhudia serikali ya CCM ikijitapa kutumbua majipu iliyotengeneza yenyewe kwa mbwembwe , kumbe nyuma ya pazia serikali hiyo hiyo inayalipa majipu hayo mishahara pamoja na marupurupu mengine "
" Septemba bil 2.2 zilitengwa kwa ajili ya kuwalipa viongozi waliotumbuliwa , ikiwemo tsh mil 198.8 kama POSHO YA USUMBUFU . "
Chanzo: Mwananchi .