Acha zako kule ndipo ustaarabu umeanzia , wazungu hawana historia ni watoto wa juzi ..Ukiinza hata uingereza ni ya juzi hapa tena baada ya kuanzishwa kwa Aglican , kule USA walikuwa jamii kama red indian .
Katika uislamu , unatumbua kipind cha ujahili(watu kabla ya kustaarabik) , uislamu unaenda mbali kwa kuonyesha watu walifikiwa na ujumbe kwa wale ambao hakuwafikiwa basi hawana kosa . Dini ni ustaarbu ndiyo maana kulikuwa na muendelezo wa manabii kuja kuwajuza watu ...America , Europe za juzi tu kihistoria kama mwafrika, wengi wamepata nguvu kipind cha utumwa na mapinduzi ya viwanda .