Waliogushi barua za kujitolea wachukuliwe hatua

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,864
Juzi nilienda stationery kushughulikia mambo yangu, nikakuta vijana wengi wamejazana pale wanatuma maombi ya ajira za ualimu, kwenye maombi ya Kuna kipengele cha uzoefu kama umewahi fundisha shule yeyote, cha ajabu kila kijana aliyekuwa anaingia pale alikuwa na barua ya kuonesha kwamba alikuwa anajitolea shule fulani, na wale ambao walikuwa hawana wenzao walikuwa wanawaelekeza namna ya kuzipata.

Huu ni udanganyifu kwenye ajira, ni wakati sasa serikali kupitia wizara ya Tamisemi iwachukulie hatua wote waliogushi kwamba wanauzoefu na wamejitolea shule kadhaa na kama Kuna wakuu wa shule na walimu wakuu watakuwa wamehusika nao vile vile wachukuliwe hatua.
 
Mind your damn business ass nigga.
 
Kuna mtu alisema ukizaliwa kwny umaskini tayari unakua na element za uchawi na unakua mganga automatically.

Nimekubali.
 
Nyie ndio wale hampendi wengine wafanikiwe kwenye ukoo.

Mijitu ya hivi seems ndio wale hawataki hata watoto wao wafanikiwe ili waonekane ndio top top kwenye familia. Kwetu Rombo / Marangu Utaja tengwa hadi na Familia yako.

BADILIKA
 
Kile kipengere kinazungumzia uzoefu wa kazi kama umewahi kufundisha shule yoyote unaweka barua. Kama walitaka barua za kujitolea wangenyumbulisha...Makosa ni yao wenyewe
 
Mkuu watanzania tumezoea ujanja ujanja na wizi. Tegemea kutukanwa sana humu lakini hoja yako ni ya msingi.

Kama wanadanganya ili waajiriwe hawatashindwa kudanganya kwenye wizi wa mitihani na kutuletea wahitimu bomu kwenye jamii.

Lakini pia serikali iondoe kigezo cha uzoefu kwenye hizi ajira zake. Hizi ni entry level position uzoefu wa nini? Hii ndio inapelekea watu wanaamua kudanganya.
 
Juzi nilienda stationery kushughulikia mambo yangu, nikakuta vijana wengi wamejazana pale wanatuma maombi ya ajira za ualimu, kwenye maombi ya Kuna kipengele cha uzoefu kama umewahi fundisha shule yeyote, cha ajabu kila kijana aliyekuwa anaingia pale alikuwa na barua ya kuonesha kwamba alikuwa anajitolea shule fulani, na wale ambao walikuwa hawana wenzao walikuwa wanawaelekeza namna ya kuzipata.
Huu ni udanganyifu kwenye ajira, ni wakati sasa serikali kupitia wizara ya Tamisemi iwachukulie hatua wote waliogushi kwamba wanauzoefu na wamejitolea shule kadhaa na kama Kuna wakuu wa shule na walimu wakuu watakuwa wamehusika nao vile vile wachukuliwe hatua.
Ila ww jamaa unaonekana una roho ya korosho narudia tena una roho ya karosho sasa kwanini nakwambia una roho ya korosho ni kwasababu

1.roho yako ni roho ambayo hupendi kuoana mtu akipiga hatua ktk maisha yake

2.roho yako ikiona mtu kafanikiwa moyo wako unaanza kuchukia na kumchukia mtu bila sababu

Watu wa aina hii ndio aina ya watu mkifika umri kuanzia miaka 60 ndo huwa mnalalamika mmetelekezwa na watoto wenu

Ndio huwa mnalalamika marafiki mliosoma nao wamewasahau
 
Sijui kama mleta uzi unajua ila kiukweli hata sehemu za kujitolea ni ngumu kupata.

Mimi niliomba kujitolea Wilaya moja ya Mbeya (Siyo ualimu) kipindi hicho Magufuli kachagua DED wapya, niliyempa barua akanijibu huyu DED mpya kasema hawatapokea interns na waliopo wafukuzwe kwakua ndiyo huchukua siri za Wilayani na kuwapelekea chadema.

Marafiki zangu waliosoma ualimu, kuna walienda maeneo ya Mwanza, Makambako, Singida shule ina walimu 2 mpaka 4 tu anataka kujitolea anaambiwa hatukubali.

At times humu unakuta uzi mtu anaomba sehemu ya kujitolea hujiulizi kwanini?

So ni kweli siyo sahihi kuongopa lakini kama ndiyo namna pekee mimi sioni shida, urasimu ni upuuzi.
 
Juzi nilienda stationery kushughulikia mambo yangu, nikakuta vijana wengi wamejazana pale wanatuma maombi ya ajira za ualimu, kwenye maombi ya Kuna kipengele cha uzoefu kama umewahi fundisha shule yeyote, cha ajabu kila kijana aliyekuwa anaingia pale alikuwa na barua ya kuonesha kwamba alikuwa anajitolea shule fulani, na wale ambao walikuwa hawana wenzao walikuwa wanawaelekeza namna ya kuzipata.
Huu ni udanganyifu kwenye ajira, ni wakati sasa serikali kupitia wizara ya Tamisemi iwachukulie hatua wote waliogushi kwamba wanauzoefu na wamejitolea shule kadhaa na kama Kuna wakuu wa shule na walimu wakuu watakuwa wamehusika nao vile vile wachukuliwe hatua.
so far posts 12 ila post moja tu ndio inakutetea. Wengine wanakuponda.
Una point ya muhimu Sana mkuu. Ila wantanzania tumekuzwa ktk mfumo wa rushwa, uongo uongo nk. Kubadilika it'll take years.
 
Kujitolea yenyewe Kwanza Ni upumbafuuuu mtu km Ana sifa apate kazi na sio kurasimisha kujitolea
Mkuu kujitokeza sio upumbafu Bali ni njia nzuri ya kukufanya improve competency. Sio rahisi kuwa imara pindi unapoanza kazi Kama hukuwahi kujitolea. Mara nyingi new employees wanahitaji çlose supervision kuepuka kujaribu kazi. Lakini ukiwa umejitolea kwa muda wa kutosha, ukiajiliwa eneo Hilo una enjoy kazi.
 
so far posts 12 ila post moja tu ndio inakutetea. Wengine wanakuponda.
Una point ya muhimu Sana mkuu. Ila wantanzania tumekuzwa ktk mfumo wa rushwa, uongo uongo nk. Kubadilika it'll take years.
Mimi sitetei watu kufoji barua za kujitolea. Ila aliyebuni mfumo wa kuajiri watu eti waliokuwa wanajitolea kwanza ndiye mpumbavu na chanzo cha tatizo.

Huwezi kutoa kipaumbele hicho utafikiri uliweka mfumo wa kujitolea watu wakakataa. Mfano: internship ni lazima na watu wanalipwa, sasa ukijitokea bila kujua hata hizo ajira utapata lini utakuwa unakula nini ?

Na hizo sehemu za kujitolea kaziandaa yeye ?

Sasa huwezi kutengeneza tatizo kipuuzi halafu ukategemea watu watatafuta suluhisho la kistaarabu.
 
Mkuu kujitokeza sio upumbafu Bali ni njia nzuri ya kukufanya improve competency. Sio rahisi kuwa imara pindi unapoanza kazi Kama hukuwahi kujitolea. Mara nyingi new employees wanahitaji çlose supervision kuepuka kujaribu kazi. Lakini ukiwa umejitolea kwa muda wa kutosha, ukiajiliwa eneo Hilo una enjoy kazi.
Wakati unajitolea utakuwa unakula wapi ?

Na let's assume utakuwa unaishi kwa kuombaomba, haya utajitolea mpaka lini au hizo ajira kwa wanaojitolea inafahamika siku watakayopata.
 
Back
Top Bottom