Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

Ngoma ndio kwanza imeanza hii.. kuanzia kesho mafuriko yaliyozuiliwa kwa mkono yanaanza kubomoa.. na yatakula mpaka misingi

Tulishachimba mtaro so mafuriko yatapita tu tutabaki nchi kavu salama salimini
 
Lowassa unakaa wapi? Njoo nawe utaona. Vipofu wanaona,viziwi wanasikia, bubu wanasema.hakika huyu ndiye
 
yaani Leo mikoa mingi tz ilikuwa haina umeme sababu dawa ya Leo Ni kali kwa hawa kunguru wa Lumumba fc (chama cha majizi) CCM

Bila ya kujua kuwa kwa kuzima umeme maeneo hayo, serikali imepoteza shilng ngapi!!!
 
Lowasa ni Fisadi zaidi ya Richmond!
Ana RB UN Si muda mrefu atakamatwa na kkupelekwa ktk mahakamaya ya Kimataifa
 
mfumo hupi wakati ndo huo umewaweka mifukoni viongozi wako kwa billion 10,
Mkuu unatia kinyaa kwani lazima uchangie unaongea utumbo kwa mambo ya msingi wacha wajuvi wa mambo wapambane kwa hoja tutolee vioja hapa kaa pembeni ushuhudie watu wanapambana kwa hoja
 
Wale waliokua wanasema lowasa ananunua watu waende kwenye mikutano yake ya kutia nia wasubiri sasa wauone ukweli halisi.
 
Back
Top Bottom