Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

Hadi watakapoenguliwa kwenye kura za maoni ndo watakuja ukawa, na si kwa ajil ya uchungu wa nchi bali kwa ubinafsi wa vitambi vyao

Nyie ndo mlikuwa mnamuimbia mnaimani naye mbele ya viongozi wenu wa kamati kuu
 
Ngoma imeanza tutatumia mifweza yao kukampenia lazima uwe na resources
 
navyojua mimi arusha yote CCM imezikwa rasmi,Kilimanjaro,mbeya,morogoro,sinyanga kanda ya ziwa yote,na baada ya siku chache mtaona wengine wengi wakifuatana naye

Wapare watatawaliwa na CCM maana bado wamelala fofofofooooo. Kuna jimbo la Mwanga na majimbo mawili ya Same, pale wakipewa kanga, kofia, kalenda na t-shirt za CCM kazikwisha wanasahau matatizo yote maana waliahidiwa maji tangu mwaka 1995 ila mpaka sasa wanasubiri kwa imani.
 
Unamaliza mbafu zangu
 
C mchezo hapa kwetu diwani wa ccm kahamia chadema wakat el anapokelewa ukawa
 
Back
Top Bottom