Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

kandaa ya ziwa hatumjui mamviiii aende kuwadanganyaa kaskazin na sio uku

Kanda ya ziwa tunaikubali CDM tunawaamini viongozi wa UKAWA. Tumempokea Lowassa kwa furaha. Kwa taarifa yako hadi chato nyumbani kwao Magufuli ni full shangwe kwa ujio wa jembe.
 
Hatuchagui mtu kisa ametoka kanda fulani,tunachagua mtu kutokana na uwezo wake!!!
 
Ikuluuuu uuu!!!! Magogoniiii !!!ukawaaaaaaaaa ileeee jama kaccm woiiii kamechoka kakufuli c kametekenywa na funguo malaya.
 
Wanaukumbi.

Tujulishane waliofuatana na EL UKAWA.

1. Ole Medeye aliyekuwa mbunge wa ARUMERU MAGH.

2. Regina Lowassa...
Wataje...

.....UPDATE....
-Madiwani 20 wa ccm Monduli.
-Madiwani wa Ccm Shinyanga.
-Ester Bulaya.
-James Lembeli.
-Diwani wa Moshono na Viongozi wa ccm kata Terrat.
- Madiwani wa ccm kahama.

Usimsahau kikwete akistafu uraisi atajiunga ukawa
 
Aliamini akiondoka yale mafuriko yake feki yatamfuata chadema, lakini mpaka sasa ni familia yake na wamasai wenzake wa monduli ndio wamemfuata huko

Ushauri wa bure tu kwa jamaa yangu unaeota urais , rudi kachunge ngombe, huna uwezo wa kuchunga wenye akili

Tunajua maumivu ya kukatwa bila ganzi ni makubwa lakini tulikata kimasai yero...
 
mm sio mshabiki wa aliekatwa, ila hujapost kitu hapa!!!!!!!!
 
[SIZE=4 said:
tunalazimika;13443478]unajua nin maaana ya chenekeeeeee !

Chineke is the creator goddess in the igbo tribe of Nigeria. depicted as a snake or dragon in mythology, second most worshiped of igbo gods to ALA (also Ani Ana) the earth goddess. Although each villiage also has a local diety. Chukwu the word for empty sky or storm sky in many african languages is often wrongly used in post christian era to mean god though zero temples are to such
[/SIZE]
 
Aliamini akiondoka yale mafuriko yake feki yatamfuata chadema, lakini mpaka sasa ni familia yake na wamasai wenzake wa monduli ndio wamemfuata huko

Ushauri wa bure tu kwa jamaa yangu unaeota urais , rudi kachunge ngombe, huna uwezo wa kuchunga wenye akili

Tunajua maumivu ya kukatwa bila ganzi ni makubwa lakini tulikata kimasai yero...

Upo dunia gani Shangazi?
 
Wanaukumbi.

Tujulishane waliofuatana na EL UKAWA.

1. Ole Medeye aliyekuwa mbunge wa ARUMERU MAGH.

2. Regina Lowassa...
Wataje...

.....UPDATE....
-Madiwani 20 wa ccm Monduli.
-Madiwani wa Ccm Shinyanga.
-Ester Bulaya.
-James Lembeli.
-Diwani wa Moshono na Viongozi wa ccm kata Terrat.
- Madiwani wa ccm kahama.
Baada ya uamuzi mzito wa wa Jemedari wetu mpendwa Kamanda Lowasa kuhamia rasmi CHADEMA,maelfu ya waliokuwa wafuasi wake mkoa wa Njombe jana walimiminika kwenye ofisi za mkoa Njombe wakiomba kujiunga na chama.Kwa bahati mbaya kadi zilikwisha mapema.Hadi kufikia jana jioni zaidi ya watu mia tatu walikuwa wakisubiri kadi ambazo ziliagizwa toka Kanda Mbeya ili waweze kupewa.Kwa bahati mbaya taarifa zilichelewa kwamba hakuna kadi hadi moja kutokana na wanachama wengi maeneo mengine ya kanda kujiunga na chama kwa siku nzima ya jana.Watu wa Njombe wamebadilika sana,wanachoma kadi za CCM na vipeperushi vingine vinavyoambatana na ccm.Habari ni kubwa,watu hawaelewi kitu.Lowasa amewaamsha wananjombe.
 
Aliamini akiondoka yale mafuriko yake feki yatamfuata chadema, lakini mpaka sasa ni familia yake na wamasai wenzake wa monduli ndio wamemfuata huko

Ushauri wa bure tu kwa jamaa yangu unaeota urais , rudi kachunge ngombe, huna uwezo wa kuchunga wenye akili

Tunajua maumivu ya kukatwa bila ganzi ni makubwa lakini tulikata kimasai yero...
NA WALE MADIWANI WA BARIADI, KAHAMA, MAKAMU MWENYEKITI KARAGWE, LEMBELI, BULAYA wote ni Wamasai kumbe! basi wamasai wapo wengi sana nchi hii.
 
Aliamini akiondoka yale mafuriko yake feki yatamfuata chadema, lakini mpaka sasa ni familia yake na wamasai wenzake wa monduli ndio wamemfuata huko

Ushauri wa bure tu kwa jamaa yangu unaeota urais , rudi kachunge ngombe, huna uwezo wa kuchunga wenye akili

Tunajua maumivu ya kukatwa bila ganzi ni makubwa lakini tulikata kimasai yero...

Mimi sio mmasai na nina hama na lowasa
 
Siasa haziendeshwi hivo ndugu yangu. Huwezi kugeneralise tu hivi hivi. Tupe numbers. Physical evidence pia inahitajika. Ingekuwa hivo NLD ingekuwa chama dola.
 
Kuna mtu anaitwa matson Chizi nae kajoin kwenye ukombozi
 
Last edited by a moderator:
Wanaukumbi.

Tujulishane waliofuatana na EL UKAWA.

1. Ole Medeye aliyekuwa mbunge wa ARUMERU MAGH.

2. Regina Lowassa...
Wataje...

.....UPDATE....
-Madiwani 20 wa ccm Monduli.
-Madiwani wa Ccm Shinyanga.
-Ester Bulaya.
-James Lembeli.
-Diwani wa Moshono na Viongozi wa ccm kata Terrat.
- Madiwani wa ccm kahama.
- Meya wa zamani wa jiji Arusha na diwani wa baraa Paul Laiser.

Hawa ndio mamilioni ya wafuasi wa Lowasa? tulisha waona na wanajulikana idadi yao
 
Kuna watu wanadhani kuihama CCM ndio kuonyesha huipendi au unampenda aliye chama cha upinzani. Hamna haja ya usumbufu huu ndugu zangu wafuasi wa Lowassa. CCM ipigwe kwenye sanduku la kura na wala hakuna haja ya kuhama chama. Upigaji kura ni siri ya mtu, unaingia, huku ukiwa na kadi la CCM na kuikataa kwenye sanduku la kura. HAKUNA HAJA YA KUHAMIA UPINZANI! Safari hii CCM watalia kilio cha mbwa mwizi, mlikataa kumsikia Kingunge, Oktoba 25, ndo mtajua kwamba siasa ni sayansi. Muulizeni Membe alichofanyiwa kwenye NEC, kura za chuki, yuko wapi? Kimyaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom