Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

Wema Sepetu, Shilole kiuno, Wastara na wengineo wengi waliopigwa chini kama yeye
 
Subirini Mafuriko, yale yalizuiwa kwa virungu! Haya hayana virungu.
 
Mtazamo tu wengi wangemfuta lowassa endapo angefanya maamuzi magumu kabla ya mchakato wa kuchukua form za ubunge wote katika majimbo na viti maalum.
 
Hao wanaohamia wasitegemee kupata uongozi wowote Ukawa. Waje kusaidia kupiga kampeni, labda ukuu wa wilaya na mkoa wanaweza kuupata.
 
Viongozi wote wa ccm, ccm inajivua gamba na kuwa cdm. Hii ndio siasa ya bongo
 
bashir awale Md wa zamani wa stanbic Bank

Hivi kumbe huyu jamaa ni mfuasi wa Lowassa?
Halafu nilisikia alikimbizwaga pale Stanbic kutokana na ile ishu ya Escrow kwa sababu kuna account moja nzito inasemekana ipo pale ya naniliu.....
 
Hivi kumbe huyu jamaa ni mfuasi wa Lowassa?
Halafu nilisikia alikimbizwaga pale Stanbic kutokana na ile ishu ya Escrow kwa sababu kuna account moja nzito inasemekana ipo pale ya naniliu.....

Swadataa nae muda ukifika atatoa yake ya moyoni.. Ni suala la muda tu
 
navyojua mimi arusha yote CCM imezikwa rasmi,Kilimanjaro,mbeya,morogoro,sinyanga kanda ya ziwa yote,na baada ya siku chache mtaona wengine wengi wakifuatana naye

Umesahau Manyara,Rukwa,Ruvuma,Singida, Dar es salaam ,Mtwara, Dodoma, Iringa , Tabora na Zanzibar.
Huko kote ni UKAWA tu hakuna namna nyingine.
 
Waje wapigevkampeni kutakuwa na akira nyingi. Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, etc nafasi zote za kisiasa
 
Kulielewa hili jambo la leo inahitaji tafakari ya kina sana, any way.
Siasa sio kitu kizuri sana wakati mwingine
 
navyojua mimi arusha yote CCM imezikwa rasmi,Kilimanjaro,mbeya,morogoro,sinyanga kanda ya ziwa yote,na baada ya siku chache mtaona wengine wengi wakifuatana naye

unapajua kanda ya ziwa au unakurupuka wewe,
 
Back
Top Bottom