NTUZU star
Member
- Jul 4, 2015
- 41
- 8
Una utafiti wa kutosha mdau,ama unakipaji cha bofya huaweii yako ya msaada wa ccm pkee?.
Waje wapigevkampeni kutakuwa na akira nyingi. Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, etc nafasi zote za kisiasa
Una utafiti wa kutosha mdau,ama unakipaji cha bofya huaweii yako ya msaada wa ccm pkee?.
Nyani Ngabu njoo uthibitishe.Oh yeeeeeeah?
Richard Mugizi aka Jina Halisi la Nyani Ngabu in da house y'allll
Umesahau Manyara,Rukwa,Ruvuma,Singida, Dar es salaam ,Mtwara, Dodoma, Iringa , Tabora na Zanzibar.
Huko kote ni UKAWA tu hakuna namna nyingine.
mpaka sasa ukawa 5....ccm bila???
Hakuna ugumu wa kulielewa hili mkuu, lengo la upinzani ni kuondoa mfumo uliopo, Lowasa atawezesha hili, kwa nini wasimtumie?!Kulielewa hili jambo la leo inahitaji tafakari ya kina sana, any way.
Siasa sio kitu kizuri sana wakati mwingine
Hakuna ugumu wa kulielewa hili mkuu, lengo la upinzani ni kuondoa mfumo uliopo, Lowasa atawezesha hili, kwa nini wasimtumie?!
Hashim Lundenga kwa ajili ya kumtafutia totoz :A S-rap:
Wanaukumbi.
Tujulishane waliofuatana na EL UKAWA.
1. Ole Medeye aliyekuwa mbunge wa ARUMERU MAGH.
2. Regina Lowassa...
Wataje...
navyojua mimi arusha yote CCM imezikwa rasmi,Kilimanjaro,mbeya,morogoro,sinyanga kanda ya ziwa yote,na baada ya siku chache mtaona wengine wengi wakifuatana naye
navyojua mimi arusha yote CCM imezikwa rasmi,Kilimanjaro,mbeya,morogoro,sinyanga kanda ya ziwa yote,na baada ya siku chache mtaona wengine wengi wakifuatana naye
mumezoea kutafuta nje ya ccm maana ndani yenu hakuna kitu