Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Ahahahaaa Greatthinker huyoo....ahahaa
Utachekea chooni mwaka huu
Ahahahaaa Greatthinker huyoo....ahahaa
Mi nilianza nikawaambia marafiki lowassa atajua mwenyewe mi nimetangulia,,fortunatly na ye ameingia,,,,hata jiwe likiwekwa ukawa napigia kura.
Tunasubiri tuone demokrasia itakavyofanyakazi CHADEMA/UKAWA. Si ajabu akapitishwa ENL peke yake na wengine wakazuiwa kugombea.
Hivi kule mirembe uliruhusiwa?
KIRUMO![]()
Moja ya mambo yaliyowahi kunipa shida sana ni pale Nelson Mandela alipokubaliana na Makaburu alipotoka gerezani. Nilidhani kuwa angeendeleza harakati zile za kuwapinga Makaburu na kuendesha migomo na maandamano lakini nilishangaa akikumbatiana na De-Klerk. Alitoka kufungwa miaka 27 na Weusi wengi waliendesha siasa za harakati kwa ajili yake lakini ametoka gerezani na anakumbatiana na Kaburu! Wengi hata ndani ya ANC waliona kama anawadhalilisha na kuwasaliti. Hawakuelewa kuwa mwisho wa mapambano ni lazima kuweka chini siasa za uanaharakati na kupanga mikakati ya ushindi na utawala. Mandela alijua kuwa ni vigumu kushinda ubaguzi wa rangi kwa uanaharakati tu.
Chadema wamefanya siasa za uanaharakati kwa miaka 20 na katika hizo ni pamoja na kuwaita watu kama Lowasa kuwa ni mafisadi na majina mengine mabaya. Huo ulikuwa ni uanaharakati na walikuwa sahihi kabisa. Harakati hizo ndizo zimekifikisha chama hiki hapa kilipo leo. Hata Lowasa hajisikii vibaya kujiunga na Chadema kwa kuwa anajua kuwa walikuwa wanaedesha uanaharakati ambapo kila kitu kwa mwanaharakati kina kasoro. Alichotaka kujua kutoka Chadema ni kuwa wameacha siasa za uanaharakati au la. Wakati Mbowe na wenzake wameacha siasa za uanaharakati na sasa wanajenga chama na kukielekeza katika kuchukua dola, kuna wengine ambao bado wanataka uanaharakati! Sio kosa lao. Hata mimi sikumwelewa Mandela kwa kuwa nilitamani aendeleze harakati. Yeye alikuwa anaandaa ANC kuwa chama tawala na aliacha harakati pembeni akakumbatiana na wale aliokuwa anawachafua. Siajabu kuwa hata alipochaguliwa kuwa Rais wa kwanza mweusi alimteua De-Klerk kuwa makamu wake >>>Kaburu. Iliwaudhi wanaharakati wengi weusi!!
Kweli tulijitahidi kumchafua Lowasa kwa sababu ya uanaharakati, lakini kwa sasa tunaandaa Ukawa kushika dola ndo maana tunakumbatiana naye na wengine wote wenye mapenzi mema kuandaa taifa letu katika mwelekeo mpya. Wanachadema wenzangu walioshikilia fimbo ya harakati bado, sasa tuweke fimbo ile chini, tuandae chama chetu kushika dola. Tuwe radhi kuwakaribisha wote hata wale waliopinga harakati zetu kwa kuwa upepo wa ukombozi unavuma!!
Tunasubiri tuone demokrasia itakavyofanyakazi CHADEMA/UKAWA. Si ajabu akapitishwa ENL peke yake na wengine wakazuiwa kugombea.
Bora kuwa mkimbizi kuliko kuongozwa na juha kama mbowe noNakuhakikishia kuwa mwaka huu lazima mtaongozwa na cdm,ukawa!labda muende kwa jirani zenu burundi
Bora kuwa mkimbizi kuliko kuongozwa na juha kama mbowe no
yaani Leo nimepona ghafla, maana mtaa wetu wote Ni lowasa Tu! Washasahau komeo Lao limechacha! Lilipashwa alipashiki! Ngoyai ananyota kwakweli!
Mkuu ubongo wako siyo kuwa una tope bali unamavi
hatulingani uelewaHakuna Mtu kichwa kama Mbowe, Haongeki hata kwa dawa, vinginevyo CDM isingefikia hapo.
Wanaukumbi.
Tujulishane waliofuatana na EL UKAWA.
1. Ole Medeye aliyekuwa mbunge wa ARUMERU MAGH.
2. Regina Lowassa...
Wataje...
.....UPDATE....
-Madiwani 20 wa ccm Monduli.
-Madiwani wa Ccm Shinyanga.
-Ester Bulaya.
-James Lembeli.
-Diwani wa Moshono Paul Mathyssen na Viongozi wa ccm kata Terrat.
- Madiwani wa ccm kahama.
- Meya wa zamani wa jiji Arusha na diwani wa baraa Paul Laiser.
- MATSON CHIZII,KATIBU WA ZAMANI WA CCM DAR.