Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka

marks za mezani,aibu hiyo tunaaribu elimu yetu,elimu imeingiliwa na siasa,kiongoz wa siasa ana haki ya kufuta matokeo na kuyangapa apendavyo,aibu hiiii jaman tuikemeeeeeee
 
Acha kujifariji wewe. Sijaanzisha vita yeyote, nakusaidia unapoandika usiandike kama bata anaharisha. Unatuharibia lugha yetu tamu ya Kiswahili. Kwa kiswahili cha namna hiyo huwezi kumshawishi mtu yeyote kuwa kuna unachokifahamu. Kufahuru ndio nini? bila shaka na wewe ulifahuru...sisi wenzio tulifaulu....Ningekuwa msahihishaji halafu nikakutana na lugha ya namna hii nakulima ziro ukachunge ng'ombe kule Nyachabakeni.
Swali langu limekaa kifalsafa zaidi sasa kwa wenye vichwa vyepesi kama wewe hawawezi kung'amua ndio maana ukaishia kujibu ujinga wala usidhani kuwa nina maumivu yeyote bali nakufundisha nikiamini kuwa kuna siku utaelimika na kuwa mstaarabu.
Anyway umekiri umri mdogo unakusumbua, basi kojoa ulale acha kutoa mapovu kwa wenye uwezo wa kukuzaa kwani unaweza kujikuta siku moja nakuwa baba yako wa kufikia.

Mkuu Mkirua, you have made my day, yaani nimecheka sana jinsi unavyo jaribu kumuelewesha huyo bwana dogo, haswa hapo ulipo sema anaweza kujikuta siku unakua baba yake wa kufikia! hahaha...
 
Last edited by a moderator:
Taifa ambalo waziri na/au Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi hawajawahi kuwa na TSD NUMBER, usitarajie watafanya lolote la manufaa kuinua elimu zaidi ya kuganga njaa huku elimu yetu(hasa msingi na sekondari) ikiporomoka kwa kasi.
 
Hii ndio nchi yetu tu .hakijahalibika kitu yote kwa yote matokeo ni matokeo
 
Inakera sana, siasa hadi katika elimu, tunaandaa wanataaluma feki, sijawahi kuona taifa la wajinga kama Tanzania... Wakifika form six tutawapa marks tena, wakifika chuo tunafuta University exam na kazi watapata bila interview wala matokeo yeyote hayatatakiwa zaid ya CV zao,
 
nani ataiamini Tanzania kama inafanya hv katika elimu tumeshuhudia upasuaji wa kichwa badala ya mguu kisa eti majina yalifanana, maghorofa yanayojengwa na "waandisi mahiri" nayo yanaporomoka. sasa sijui hawa watafanya kituko gani?
 
Hata hivyo, habari kutoka Necta zinasema kuwa licha ya kuwezesha kuongezeka kwa waliofaulu, matumizi ya kanuni mpya ya kukokotoa matokeo hayo yalisababisha zaidi ya wanafunzi 2,500 kushuka ufaulu ikilinganishwa na awali.

Maofisa mbalimbali wa Necta pamoja na wale wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na taasisi zake, walikutana mwishoni mwa wiki iliyopita kukubaliana masuala mbalimbali juu ya matokeo hayo pamoja na suala la matokeo ya wanafunzi hao 2,500 kabla ya kutangazwa wiki hii.

“Baada ya wajumbe kujadili suala lile, busara ilibidi itumike kwa hiyo hakuna mwanafunzi ambaye alama yake itashuka, kwa kawaida isingewezekana mtoto ambaye matokeo yalitoka akiwa amefaulu leo umwambie ameshuka,” kilieleza chanzo chetu.

Sijaipenda hii kauli hata kidogo
 
hainiingii akilini
 
Kwa kuzingatia mfumo uliotumika katika kupanga matokeo ya awali mfumo ambao ulitumika bila kuandaa wadau wakuu wa elimu nchini zikiwemo Taasisi za Elimu, Wanafunzi, Wazazi na Jamii nzima ya watanzania. Tunashukuru uamuzi wa Waziri Mkuu kukubali mapendekezo ya Tume aliyounda kufuta matokeo ya awali na kuanza mchakato mya wa upangaji wa matokeo kwa kutumia mfumo wa awali.Angalao haki imetendeka. Lakini kuna uzembe mkubwa umefanywa na baadhi wa Maafisa wa ngazi za juu serikalini. Namuomba Waziri Mkuu apige hatua nyingine, kuueleza umma wa Watanzania tatizo halisi lilisababisha Taifa kupata aibu kubwa kiasi hiki, na kisha wahusika wawajibishwe. Huu ndio utawala wa sheria.
 
Nchi ya kusadikika!! Wanachakachua hadi kwenye elimu!!

Kwa hiyo kwa kuwaongezea alama wamewaongezea uwezo wa kufikiri? Acha waendelee kuwadumaza kwa kuwadanganya hata mtoto akipata 21% amefaulu. Shame on them

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Sikusoma tanzania

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ok, lakini almost 99% of Tanzanians tumekuwa evaluated in this system lakini Wizara walitaka kufanya uhuni. Sio mbaya kutumia system mpya ili kuwa-push wanafunzi kupiga msuri zaidi lakini lazima jambo hilo inabidi lifahamike in advance tofauti na ambavyo wizara + necta ambavyo walifanya.
 
marks za mezani,aibu hiyo tunaaribu elimu yetu,elimu imeingiliwa na siasa,kiongoz wa siasa ana haki ya kufuta matokeo na kuyangapa apendavyo,aibu hiiii jaman tuikemeeeeeee
Sio maksi za mezani, ni haki yao!
 
Hata hivyo, habari kutoka Necta zinasema kuwa licha ya kuwezesha kuongezeka kwa waliofaulu, matumizi ya kanuni mpya ya kukokotoa matokeo hayo yalisababisha zaidi ya wanafunzi 2,500 kushuka ufaulu ikilinganishwa na awali.

Maofisa mbalimbali wa Necta pamoja na wale wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na taasisi zake, walikutana mwishoni mwa wiki iliyopita kukubaliana masuala mbalimbali juu ya matokeo hayo pamoja na suala la matokeo ya wanafunzi hao 2,500 kabla ya kutangazwa wiki hii.

“Baada ya wajumbe kujadili suala lile, busara ilibidi itumike kwa hiyo hakuna mwanafunzi ambaye alama yake itashuka, kwa kawaida isingewezekana mtoto ambaye matokeo yalitoka akiwa amefaulu leo umwambie ameshuka,” kilieleza chanzo chetu.

hainikai akilini The National Examinations Council ni vinyonga
 
hainikai akilini The National Examinations Council of Tanzania ni vinyonga
 
Back
Top Bottom