Waliofanikiwa hawakutuambia kuwa tutafanya kazi Mara 5 zaidi ya walioajiriwa

sometimesyes

JF-Expert Member
Dec 5, 2017
355
284
Anaandika SJ

Hawa waliobahatika kufanikiwa ktk biashara kitu peace walichotuambia ni kuwa "ukiingia ktk biashara utafanikiwa Sana na hautakua na boss".

Hawakutuambia kuwa tutafanya kazi Mara 5 zaidi ya walioajiriwa, hawakutuambia kuwa tutafeli mara 5 kabla ya kufanikiwa, hawakututahadharisha kuwa tutafanya makosa ya kipuuzi na yatatucost vby sana. Hawakutuambia kuwa tutaingia kwny mikopo na kushindwa kulipa madeni na kuishia kufilisiwa.

Hawakutuambia kuwa kuna kukesha, kupata huzuni na maumivu,,hawakutuambia kuwa tutakuja kugombana na ndugu, jamaa na marafiki, hawakutuambia kuwa tutakua vituko kwny jamii, unajiita mfanyabiashara huku unatembea kwa miguu!?
Hawakutuambia kuwa tutaishia kutoka biashara hii kwenda ile, mwisho unajikuta unauza mitumba, hawa cjui kwnn hawakutustua mapema!?

Hakuna alietuambia unwz Ku hustle miezi 6 bila kuingiza ht laki 2,hakuna alietuambia kuna uwezekano ht hela ya kula ikatupiga chenga. Hakuna alietuambia umuhimu wa kuwa na connections.

Hakuna alietuambia mtaji unwz kukata kbs ukajikuta unaligned vibarua vya mateja, hakuna alietuambia unwz kupoteza mkeo kisa hueleweki, hakuna alietuambia kuogea protex itakua an award, sabuni ya kuogea ndo ya kuoshea vyombo na unaswaki ma chumvi.

Hawa jamaa walituambia tu mahesabu ya 10 m lkn hawakutuambia khs kuuza kitanda na godoro, hawakutuambia kuwa yahitaji moyo na uvumilivu mkubwa.

Wengine waliishia njiani lkn kuna sie were ngozi ya chura haturudi nyuma, tumeshafika mtoni lzm daraja livukwe, umbali tuliofika, kurudi kule tulipotoka ni upimbi, wengine tumeapa afe Simba afe mmasai lzm tufanikiwe, miili ishaota August hatusikii maumivu tn. Mungu Hana ushabiki, hawezi kubariki wale hlf atuache sisi tulale njaa kizembe.

Bottom line is the pain will leave u once it has finished teaching u life lessons.

SJ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata huku kwny kuajiriwa hatukuambiwa:

1.Siku 1 mh. Jokate atakuja kua boss wetu na tutamheshimu balaa.

2.Hatukuambiwa mwenye GPA Ya 4.5 na mwenye Gentleman mkiajiriwa sehemu 1 mshahara ni sawasawa achilia mbali ukiwa na GPA ya 32 kama yule msela.

3.Hatukuambiwa sisi wafanyakazi wa huku Songwe serikalini tutatakiwa kuanza kuvaa Shirt za vitenge kila J3 na T-shirt zimeandikwa KARIBU SONGWE kila J5,hii ni lazima.

4.Hatukuambiwa pia increment sio lazima tupewe kila mwaka itetegemea na vipaumbele vya serikali kwa wkt huo.

5.Hatukuambiwa pia ma boss zetu ndio MIUNGU yetu huku vibaruani kwetu

Inshort,hatukuambiwa mambo mengi saaaaana.Bado sijajua upande upi umeficha mambo mengi
 
Sasa hv ukihamishwa hulipwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baki kuajiriwa huko huko uwapigie magoti maboss zako kama unaogopa changamoto za kujiajiri.
 
Hata huku kwny kuajiriwa hatukuambiwa:

1.Siku 1 mh. Jokate atakuja kua boss wetu na tutamheshimu balaa.

2.Hatukuambiwa mwenye GPA Ya 4.5 na mwenye Gentleman mkiajiriwa sehemu 1 mshahara ni sawasawa achilia mbali ukiwa na GPA ya 32 kama yule msela.

3.Hatukuambiwa sisi wafanyakazi wa huku Songwe serikalini tutatakiwa kuanza kuvaa Shirt za vitenge kila J3 na T-shirt zimeandikwa KARIBU SONGWE kila J5,hii ni lazima.

4.Hatukuambiwa pia increment sio lazima tupewe kila mwaka itetegemea na vipaumbele vya serikali kwa wkt huo.

5.Hatukuambiwa pia ma boss zetu ndio MIUNGU yetu huku vibaruani kwetu

Inshort,hatukuambiwa mambo mengi saaaaana.Bado sijajua upande upi umeficha mambo mengi
kwaiyo bila bila sio
 
Back
Top Bottom