Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

Pale DAELP Eng department kulikuwa na Mlengera bado yupo alitutesa sanaaa.Pia SM Mpanduji anamawe ya hatariiii kuna test moja niliwahi pata 04% halafu below 10% wanasomwa mbele hicho kitu cha STRENGTH OF MATERIALS ila mwisho wa UE nikamkazia Na kupata B+.Wale wote mnaokwenda Engineering acheni woga ukikomaa hata SUP utakuwa unazisikia kwa jiraaaani tuu.

hayo ni moja ktk maneno mazur mno yanayo2tia moyo, ila hata walo2tisha wapo sahih maana wame2fanya tuwe TAYARI kwa yatakayo2kabili, maana tushapata fununu fununu kip ktakua mbele yetu!
so, KAZ KWE2
 
Wadau me nimechaguliwa B .s in mathematics and informatics, plz nijuzeni wandugu!
 
Pale DAELP Eng department kulikuwa na Mlengera bado yupo alitutesa sanaaa.Pia SM Mpanduji anamawe ya hatariiii kuna test moja niliwahi pata 04% halafu below 10% wanasomwa mbele hicho kitu cha STRENGTH OF MATERIALS ila mwisho wa UE nikamkazia Na kupata B+.Wale wote mnaokwenda Engineering acheni woga ukikomaa hata SUP utakuwa unazisikia kwa jiraaaani tuu.

mkuu unasoma kozi gani pale sua?
 
Wadau me nimechaguliwa B .s in mathematics and informatics, plz nijuzeni wandugu!
Hiyo ni kozi ya education ambayo utasoma sana informatics(ambayo ni sawa na computer science) na mathematics (pure maths). Uzuri wa hii kozi ni kwamba unajengewa misingi ya maths na computer science, hii kozi utaipenda kama unapenda maths na computer!!! japo ni ya education lakin ukimaliza still unaeza fanya kazi kama mtu wa copmuter scice au IT!!!
hongereni kwa kuchaguliwa SUA.muhimu ni juhudi, Mungu,respect. sio muda wote unakula msuli tu...hapana, pata muda pia kuingia samaki samaki, viber kurefresh. allth best wote

MKUU jina lako limenikumbusha mbali sanaaaa!!! FREEDOM SQUARE!!
 
Me Nimechaguliwa Agricultural Economics And Agribusnes, Vp Hii Coz Ipo Kwenye Soko La Ajira?
 
Me Nimechaguliwa Agricultural Economics And Agribusnes, Vp Hii Coz Ipo Kwenye Soko La Ajira?

ajira zake zinasumbua kidogo, ingawa wengi huwa wana ajiliwa crdb.
Nina washikaji kama 5 hivi tangu 2013 bado hawajapata ajiriwa
 
Tayari chuo kimeshaanza kuwatumia watu username pamoja password kwa ajili ya suasis,hvyo bas kila first aangalie kwenye email yake.
 
Sup 5 kuzisapua mbona akili lazima imkae sawa mtu.

Unashangaa sup tano wengine wanaingia na sita na wanazichomoa kikubwa ni mpangilio wa ratiba, ushirikiano na malecture na wanafunzi wenzako utachomoka tu
 
Waache Waingie Saizi Waiage Maana Asignment Hazijaanza Ndiomaana Hata Wewe Umeingia.

ILA KIUKWELI SIWATISHI SUA SI KWA WAZEMBE,WALABATA WALA WASIOJIWEZA. Ila kama ulikuwa unafaulu kihalali ukiweka juhudi unamaliza vzr tu.
KARIBUNI CHUO CHA WAZEE WA KUTINGWA(BUSY) MUDA WOTE
Aksante sana kwa kuwa muwazi kwa first year kwani bora uwaambie ukweli ili wajipange
 
hahaaa Mlengera alistafu mkuu, pia STRENGTH OF MATERIALS inafundishwa na Prof. G. Mrema....Engineering mechanics(statics and dynamics) by Prof. Mpanduji...Daaah "Engineers ni wamoja sana".
 
Vijana kasomeni achaneni na ubishoo
 
Back
Top Bottom