Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

Kwa Wale waliopangwa SUA kozi hizi hapa tujuzane niwape utaratibu na mikakati ya kuchomoka SUA salama
Agricultural engineering,Irrigation & water resource engineering na Bio processing engineering
KARIBUNI SANA SUA
 
Oya wadau mnaokuja mwaka wa kwanza msitishwe na watu kwamba SUA pagumu,NO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
It depends na wew mwenyew.elimu ni ya kawaida tuu mtaipenda but SUP na SCORING of 0 in TEST kitu cha kawaida sana wadau
 
wale wa BVM.hakuna mchezo.ukifika SUA.JITAMBUE.soma saana.la sivyo utaishia first year tu.
hiyo ndo hali halisi.SISI tulianza 105 mpaka sasa tupo 50.
 
wale wa BVM.hakuna mchezo.ukifika SUA.JITAMBUE.soma saana.la sivyo utaishia first year tu.
hiyo ndo hali halisi.SISI tulianza 105 mpaka sasa tupo 50.

DUUU!Hatari hyo hongera kaka kwa kuendelea kubaki kwenye hyo kozi!
 
Aliyechaguliwa kupitia NACTE anijze ktk list ya SUA
 
UKIJIpanga na ukaweka ratiba yako vizuri basi sua ni sehemu nzuri kimasomo.but oposite yake ni kujuta kwanini ulichagua sua.

NB.jiamini kua unaweza and for sure utaweza.mtaangulize mungu na kua bize na masomo.tenga mda wa kusocialize na ku relax.UKIZINGATIA HAYO NO DOUGHT UTA GRADUATE SUA.

KARIBUNI WALE WA VETERINARY MEDICINE NA BIOTECHNOLOGY AND LABORATORY SCIENCE..WOTE TUPO FACUTY MOJA YA TIBA YA MIFUGO.

KARIBUNI SAANA SUA.
 
Kujipanga ndo mpango mzima... huji sua kucheza wala kuuza sura., ukicheza tu anasombwa na mafuriko ya discontinue...
 
Oya wadau mnaokuja mwaka wa kwanza msitishwe na watu kwamba SUA pagumu,NO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
It depends na wew mwenyew.elimu ni ya kawaida tuu mtaipenda but SUP na SCORING of 0 in TEST kitu cha kawaida sana wadau

Kama hujawahi kupata zero tangu uanze kusoma Utaipata sua kiroho safi ukileta mzaha
 
Waambie ukweli, na huku jf waache kuingia kabisa bila sababu.

Watu wengi wanafika pale wana one, basi wanajiona wao ndio wao...kusoma hawasomi...starehe madem ndio wao!!! Sasa baada ya UE anajikuta ana sup 5 mpaka netwek ya kichwa inakata hahahaha!!! Hapo ndio anazinduka na kuanza kusoma!!
 
Kaka mimi nimechaguliwa kozi ya AGRICULTURAL ENGINEERING, naamin sote tupo kozi moja cha msingi tuombeane kaka.

Prof mpanduji mkuu wa mechanics, dr baanda, prof tarimo, prof mahoo, kihupi, terengia and the alike!!! Jiandae na engineering drawing, engineering mechanics..
 
Kwa Wale waliopangwa SUA kozi hizi hapa tujuzane niwape utaratibu na mikakati ya kuchomoka SUA salama
Agricultural engineering,Irrigation & water resource engineering na Bio processing engineering
KARIBUNI SANA SUA

Uko mwaka wa ngapi hapo DAELP???
 
Watu wengi wanafika pale wana one, basi wanajiona wao ndio wao...kusoma hawasomi...starehe madem ndio wao!!! Sasa baada ya UE anajikuta ana sup 5 mpaka netwek ya kichwa inakata hahahaha!!! Hapo ndio anazinduka na kuanza kusoma!!

Sup 5 kuzisapua mbona akili lazima imkae sawa mtu.
 
Back
Top Bottom